M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,512 Reaction score 6,882 Aug 29, 2020 #161 Sawa tumemsikia ngoja tusubiri na historian ya yule aliyeokotwa jalalani kwenye vinyesi na mapepo wachafu
Sawa tumemsikia ngoja tusubiri na historian ya yule aliyeokotwa jalalani kwenye vinyesi na mapepo wachafu
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 8,457 Reaction score 3,033 Nov 10, 2020 #162 Mtu makini hawezi kupoteza muda kuangalia hizo futuhi za bunge hilo
Mwanamageuko JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 8,604 Reaction score 5,583 Nov 10, 2020 #163 Erythrocyte said: Mara nyingi hawa waliokulia dhiki hugubikwa na roho mbaya sana ! Click to expand... Mi nilitaka kuuliza hivi "Je baada ya yeye kuupata ukuu wa jengo lile dhiki na shida zake vimeisha?" Je hizo dhiki zake ndizo zilimfanya asijali maradhi au madhila ya wenzake? Je ndizo sababu za kumtwanga rungu mpinzani wake? Ah najiuliza tu...
Erythrocyte said: Mara nyingi hawa waliokulia dhiki hugubikwa na roho mbaya sana ! Click to expand... Mi nilitaka kuuliza hivi "Je baada ya yeye kuupata ukuu wa jengo lile dhiki na shida zake vimeisha?" Je hizo dhiki zake ndizo zilimfanya asijali maradhi au madhila ya wenzake? Je ndizo sababu za kumtwanga rungu mpinzani wake? Ah najiuliza tu...