Historia fupi ya Oman

Historia fupi ya Oman

Hizo ni Propaganda zao.

Sawa sawa na sababu Nyerere Apologists wanazotoa kuhusu uchumi mbovu chini yake (vita vya Kagera). Bahati nzuri wikileaks wameonyesha anaomba msaada tangu 1974, kabla ya vita.

Biashara kubwa haziji mpaka hali ya siasa itulie na kura za wananchi wa Zanzibar ziheshimike.

Siyo kila mfanyabiashara ana uwezo wa kwenda London na Geneve kutafuta Arbitrator akidhulumiwa.
Corruption initafuna nchi na kama kawaida wanapotakiwa kuelezea sababu ya uchumi mbaya na maendeleo finyu husingizia ukoloni mambo leo na baada ya miaka 55 ya Uhuru bado wanasema Tanzania nchi Changa hali ina utajiri wa mali asiki kupitiliza Saudi Arabia.
Oman baada ya 1970 katika kipindi cha miaka 25 ilishapiga hatua katika maendeleo na hali utajiri wake mdogo sana wa mafuta na gesi.
Kwa mfano baada ya miaka 16 ya utawala mpya 1986 ilipata Chuo Kikuu chake cha kwanza SQU na hata hivyo leo Oman inaisaidia Znz katika Scholarships za vyuo vikubwa maarufu ulimwenguni na bado Wahafidhina wanadiriki kupanda majukwani kutukana Waarabu wa Oman na siasa za chuki zinaendelea.
 
Ni kweli Qaboos alizaliwa Kigoma?

Halafu ana wake wangapi?
why hana mtoto?
 
Ni kweli Qaboos alizaliwa Kigoma?

Halafu ana wake wangapi?
why hana mtoto?

Sifahamu kama kuna ukweli kuhusu Kigoma.

Mke mmoja. Divorced.

No kids. 1 million dollar question .

1. Infertile

2. Homosexual

3. All of the above
 
Sifahamu kama kuna ukweli kuhusu Kigoma.

Mke mmoja. Divorced.

No kids. 1 million dollar question .

1. Infertile

2. Homosexual

3. All of the above

Middle East hiyo no 2 huwa inavumishwa sana kwa wafalme sijui why
 
Corruption initafuna nchi na kama kawaida wanapotakiwa kuelezea sababu ya uchumi mbaya na maendeleo finyu husingizia ukoloni mambo leo na baada ya miaka 55 ya Uhuru bado wanasema Tanzania nchi Changa hali ina utajiri wa mali asiki kupitiliza Saudi Arabia.
Oman baada ya 1970 katika kipindi cha miaka 25 ilishapiga hatua katika maendeleo na hali utajiri wake mdogo sana wa mafuta na gesi.
Kwa mfano baada ya miaka 16 ya utawala mpya 1986 ilipata Chuo Kikuu chake cha kwanza SQU na hata hivyo leo Oman inaisaidia Znz katika Scholarships za vyuo vikubwa maarufu ulimwenguni na bado Wahafidhina wanadiriki kupanda majukwani kutukana Waarabu wa Oman na siasa za chuki zinaendelea.

Corruption kila nchi ipo.
Marekani wanaita "lobbying".
Hata Oman, ukikaa kidogo, utasikia, biashara kubwa zimeshikwa na mkubwa Fulani. Kupewa kazi nzuri lazima uwe na connection.

Wamejiendeleza kwa kuwa viongozi ni wazuri na wanawajali raia wao hata wakiiba pembeni. Pia , ni rahisi kusomesha watu kidogo, 2.5 million in Oman.

Lakini tukirudi nyuma, tukumbuke pia, hamna kupiga kura kuchagua kiongozi.

Tanzania, kuendelea ni shida. Tunahitaji viongozi nje ya "CCM school of thought".

Socialism and dictatorship is alive and kicking.

Mabepari ni adui wa taifa na Rais anajua kila kitu na hakosolewi.
 
Middle East hiyo no 2 huwa inavumishwa sana kwa wafalme sijui why

#2 naisikia sana Oman.

Lakini wapenzi wake wanasema kamficha Mtoto wake, asiuliwe , as a cover up for it. Most Wapemba I met, buy it.
 
#2 naisikia sana Oman.

Lakini wapenzi wake wanasema kamficha Mtoto wake, asiuliwe , as a cover up for it. Most Wapemba I met, buy it.

Ila most Homo Leaders huko middle east wanakuwaga viongozi wazuri sana
nchi zao huwa zinastawi sana
kuna mmoja aliwahi kuwa kiongozi Iran zamani...nae nchi ilistawi
 
Corruption kila nchi ipo.
Marekani wanaita "lobbying".
Hata Oman, ukikaa kidogo, utasikia, biashara kubwa zimeshikwa na mkubwa Fulani. Kupewa kazi nzuri lazima uwe na connection.

Wamejiendeleza kwa kuwa viongozi ni wazuri na wanawajali raia wao hata wakiiba pembeni. Pia , ni rahisi kusomesha watu kidogo, 2.5 million in Oman.

Lakini tukirudi nyuma, tukumbuke pia, hamna kupiga kura kuchagua kiongozi.

Tanzania, kuendelea ni shida. Tunahitaji viongozi nje ya "CCM school of thought".

Socialism and dictatorship is alive and kicking.

Mapepari ni adui wa taifa na Rais anajua kila kitu na hakosolewi.
Hata hivyo kwa Oman ni bora isiwepo hiyo what us called 'kura' ingawa ipo siku hizi wanapiga kura kuchagua member wa "Majlis Shura" na kampeni zinafanywa. Majlis Dawlah anawateuwa yeye mwenyewe na most of them are technocrats. Yes wananchi wa oman 2.5mil ni kidogo naningawa corruption ipo lakini haki inapatikana anagalia hapa kuna sakata la rushwa mahakama kuu[emoji116]
1470734676569.jpg
1470734699681.jpg

Hilo gazeti waandishi wake wawili wanashikiliwa na polisi kwa kufichua maovu ya mahakama kuu akiwemo CJ na naibu wake sasa mkuregenzi Mratibu wa Mahakama anatishia kufungua kesi ya rushwa dhidi ya CJ na Naibu wake.

Kila nchi ina mambo yake, Oman rushwa husalimiki ingawa yako matukio hayana tofauti na TZ kama ya wale wadau wa adhabu ya kudadadeki hospitali ya Sinza.[emoji23] [emoji23]
 
To me, Oman imeendelea haraka kwa sababu Sultan Qaboos is a clever leader.

Ametumia technocrats wa nje kujenga nchi yake huku anasomesha raia wake.

Siyo tofauti na style ya Pinochet wa Chile.

Marekani , na utajiri wote, na vyuo vikuu 5000, ukiwa msomi fulani, anakupa Green Card usaidie uchumi.

Hawafukuzi wasomi. Hata Japan wana copy sasa, baada ya watu kukataa kuzaa.
 
Hata hivyo kwa Oman ni bora isiwepo hiyo what us called 'kura' ingawa ipo siku hizi wanapiga kura kuchagua member wa "Majlis Shura" na kampeni zinafanywa. Majlis Dawlah anawateuwa yeye mwenyewe na most of them are technocrats. Yes wananchi wa oman 2.5mil ni kidogo naningawa corruption ipo lakini haki inapatikana anagalia hapa kuna sakata la rushwa mahakama kuu[emoji116] View attachment 378401View attachment 378402

Hilo gazeti waandishi wake wawili wanashikiliwa na polisi kwa kufichua maovu ya mahakama kuu akiwemo CJ na naibu wake sasa mkuregenzi Mratibu wa Mahakama anatishia kufungua kesi ya rushwa dhidi ya CJ na Naibu wake.

Kila nchi ina mambo yake, Oman rushwa husalimiki ingawa yako matukio hayana tofauti na TZ kama ya wale wadau wa adhabu ya kudadadeki hospitali ya Sinza.[emoji23] [emoji23]

Raia wote wa nchi za GCC hawajali demokrasia. Wameona state control inawapa kazi , nyumba, elimu , maji bure etc.

Wameamua kuendelea na Status Quo over instability and civil war.
 
Ila most Homo Leaders huko middle east wanakuwaga viongozi wazuri sana
nchi zao huwa zinastawi sana
kuna mmoja aliwahi kuwa kiongozi Iran zamani...nae nchi ilistawi

Lakini Masheikh wengine, bila ya wake wanne, hawana raha.
 
Kumbe hii historia ilianzia mbali hivi? Nakumbuka sisi tumeanza kusoma hapo kwa Said bin Sultan wa mwaka 1837
 
Lakini Masheikh wengine, bila ya wake wanne, hawana raha.

Shida ya wake wengi wanaleta watoto wengi
na watoto wanakuja kugombania kurithi

nafikiri unaijua historia ya Saudia na Sudairi seven.....
 
Shida ya wake wengi wanaleta watoto wengi
na watoto wanakuja kugombania kurithi

nafikiri unaijua historia ya Saudia na Sudairi seven.....

Halafu Marehemu King Abdullah alikuwa anazalisha mpaka karibu na 70's. Full starehe.

It's everywhere though.

Ulaya wamechinjana kugombania Ufalme. Ndugu tumbo moja, wanauana.

Power, not religion, is the opium of the people.

Hata katika biashara, kuna ndugu mabilionea maarufu wanagombania power.

India: Mukesh na Anil Andani.

USA : Antony na Jay Robert Pritzker ( Hyatt Hotel fortune)
Dada Yao Penny alikuwa Waziri wa Biashara wa Obama.
 
Shida ya wake wengi wanaleta watoto wengi
na watoto wanakuja kugombania kurithi

nafikiri unaijua historia ya Saudia na Sudairi seven.....
Tupe kidogo hio ya Saudia mkuu ....!!
 
Oman mwanzo raia wake wengi walikimbia kwa hali duni za kimaisha na hasa waliingia east africa kujitafutia maisha baada ya qaboos kupata usultan raia walianza kuombwa kurudi isipokuwa ni wachache walirudi na wengine walienda kuchukua uraia kamili na kurudi east africa kitu kilichopelekea kupata ugumu sana wa kupata uraia wa oman kwa sasa!oman ni nchi ambayo hata mahakamani au polisi wanaongea kiswahili fasaha kabisa huwezi kumteta mtu kwa kiswahili oman.oman ina uchumi mzuri kipindi cha mtikisiko wa uchumi iliweza kuikopesha dubai pesa.ingawa kwa sasa utajiri wa mafuta wa nchi unapungua kutokana na mafuta kuanza kuisha.nchi kama dubai ilipogundua rasilimali mafuta inaanza kuisha alibuni kuifanya dubai iwe mega tourist in the world ili uchumi usiyumbe na amefanikiwa kwa asilimia 1000.
Kuhusu qaboos kutokuwa na mke na watoto ni kuhofia watoto kuja kumpindua kama alivyompindua baba yake kwa kusaidiwa na uingereza.taarifa zisizo rasmi ni kwamba bwana qaboos anakula mgongo anafuga mashoga ikulu na ndo chakula chake!najua umefnanisha mashoga wa qaboos na mashoga wa magomeni kwa haraka haraka.ila wako tofauti sana hawa wa qaboos ni laini sana afu nywele zimewashuka watoto hadi kwenye visigino achilia mbali walivyo bomba kuliko wanawake
 
Back
Top Bottom