Averoes
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 985
- 513
Corruption initafuna nchi na kama kawaida wanapotakiwa kuelezea sababu ya uchumi mbaya na maendeleo finyu husingizia ukoloni mambo leo na baada ya miaka 55 ya Uhuru bado wanasema Tanzania nchi Changa hali ina utajiri wa mali asiki kupitiliza Saudi Arabia.Hizo ni Propaganda zao.
Sawa sawa na sababu Nyerere Apologists wanazotoa kuhusu uchumi mbovu chini yake (vita vya Kagera). Bahati nzuri wikileaks wameonyesha anaomba msaada tangu 1974, kabla ya vita.
Biashara kubwa haziji mpaka hali ya siasa itulie na kura za wananchi wa Zanzibar ziheshimike.
Siyo kila mfanyabiashara ana uwezo wa kwenda London na Geneve kutafuta Arbitrator akidhulumiwa.
Oman baada ya 1970 katika kipindi cha miaka 25 ilishapiga hatua katika maendeleo na hali utajiri wake mdogo sana wa mafuta na gesi.
Kwa mfano baada ya miaka 16 ya utawala mpya 1986 ilipata Chuo Kikuu chake cha kwanza SQU na hata hivyo leo Oman inaisaidia Znz katika Scholarships za vyuo vikubwa maarufu ulimwenguni na bado Wahafidhina wanadiriki kupanda majukwani kutukana Waarabu wa Oman na siasa za chuki zinaendelea.