Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe kidogo hio ya Saudia mkuu ....!!
Aisee...Oman mwanzo raia wake wengi walikimbia kwa hali duni za kimaisha na hasa waliingia east africa kujitafutia maisha baada ya qaboos kupata usultan raia walianza kuombwa kurudi isipokuwa ni wachache walirudi na wengine walienda kuchukua uraia kamili na kurudi east africa kitu kilichopelekea kupata ugumu sana wa kupata uraia wa oman kwa sasa!oman ni nchi ambayo hata mahakamani au polisi wanaongea kiswahili fasaha kabisa huwezi kumteta mtu kwa kiswahili oman.oman ina uchumi mzuri kipindi cha mtikisiko wa uchumi iliweza kuikopesha dubai pesa.ingawa kwa sasa utajiri wa mafuta wa nchi unapungua kutokana na mafuta kuanza kuisha.nchi kama dubai ilipogundua rasilimali mafuta inaanza kuisha alibuni kuifanya dubai iwe mega tourist in the world ili uchumi usiyumbe na amefanikiwa kwa asilimia 1000.
Kuhusu qaboos kutokuwa na mke na watoto ni kuhofia watoto kuja kumpindua kama alivyompindua baba yake kwa kusaidiwa na uingereza.taarifa zisizo rasmi ni kwamba bwana qaboos anakula mgongo anafuga mashoga ikulu na ndo chakula chake!najua umefnanisha mashoga wa qaboos na mashoga wa magomeni kwa haraka haraka.ila wako tofauti sana hawa wa qaboos ni laini sana afu nywele zimewashuka watoto hadi kwenye visigino achilia mbali walivyo bomba kuliko wanawake
Tupe kidogo hio ya Saudia mkuu ....!!
Oman mwanzo raia wake wengi walikimbia kwa hali duni za kimaisha na hasa waliingia east africa kujitafutia maisha baada ya qaboos kupata usultan raia walianza kuombwa kurudi isipokuwa ni wachache walirudi na wengine walienda kuchukua uraia kamili na kurudi east africa kitu kilichopelekea kupata ugumu sana wa kupata uraia wa oman kwa sasa!oman ni nchi ambayo hata mahakamani au polisi wanaongea kiswahili fasaha kabisa huwezi kumteta mtu kwa kiswahili oman.oman ina uchumi mzuri kipindi cha mtikisiko wa uchumi iliweza kuikopesha dubai pesa.ingawa kwa sasa utajiri wa mafuta wa nchi unapungua kutokana na mafuta kuanza kuisha.nchi kama dubai ilipogundua rasilimali mafuta inaanza kuisha alibuni kuifanya dubai iwe mega tourist in the world ili uchumi usiyumbe na amefanikiwa kwa asilimia 1000.
Kuhusu qaboos kutokuwa na mke na watoto ni kuhofia watoto kuja kumpindua kama alivyompindua baba yake kwa kusaidiwa na uingereza.taarifa zisizo rasmi ni kwamba bwana qaboos anakula mgongo anafuga mashoga ikulu na ndo chakula chake!najua umefnanisha mashoga wa qaboos na mashoga wa magomeni kwa haraka haraka.ila wako tofauti sana hawa wa qaboos ni laini sana afu nywele zimewashuka watoto hadi kwenye visigino achilia mbali walivyo bomba kuliko wanawake
Asante mkuu...kwaio kuna watoto wa mke wa kwanza wa mfalme Abdul Aziz bado wapo hai na wanasubiria madaraka kutoka kwa Salman mfalme wa sasa..?Mfalme wa kwanza wa Saudi Arabia alikuwa Abdul Aziz ibn Saud (ukoo wao ndiyo jina la nchi vile vile).
Alimuoa Hassa Al- Sudairi, mke wa nane.
Wakazaa watoto 11. Wanaume 7.
Kwa kuwa alizaa watoto wengi wa kiume, akawa mke mwenye kuheshimiwa sana.
Hawa ndiyo wanaitwa The Sudairi Seven au The Magnificant Seven.
Waliitwa hivyo kwa sababu watoto wake walikuwa na vyao vikubwa vingi na baadhi yao wakawa Wafalme,
Kati ya watoto wa Hassa Al- Sudairi, Wafalme wakawa:
King Fahd ( Mfalme wa Tano)
King Salman ( Mlalme wa Sasa, wa Saba)
Waliobakia wakashika nchi katika Wizara zote muhimu. Kwa kifupi, watoto wa Kiume wa huyu Mama ndiyo maofisa wakubwa wote wa Serikali ya Saudi Arabia.
Watoto wa kiume wa wake wengine, inabidi wakomae tu kwa kuwa The Magnificant Seven walikaa madarakani mpaka walipozeeka au kufa wakiwa in their 70's or 80's.
Asante mkuu...kwaio kuna watoto wa mke wa kwanza wa mfalme Abdul Aziz bado wapo hai na wanasubiria madaraka kutoka kwa Salman mfalme wa sasa..?
Kwani hairuhusiwi kuhamisha ufalme kwa watoto wa wake wengine wa uyo mfalme Abdul Aziz..?
Kingine ufalme wa Saudia wanapeana watoto tu waliokua wa mfalme pekee au mfalme alieko madarakani anaweza pia kumwachia mtoto wake wa kumzaa na sio mdogo wake waliochangia baba yani King Abdul..?
Kama kuna maswal mengine takuuliza baada ya haya
Samahani mleta uzi kwa kauliza maswali yalio nje ya uzi huu


Daaa...huu ukoo nchi ishakua yao hii aisee [emoji3] [emoji3]
Ndio nchi pekee duniani ina jina la mtuDaaa...huu ukoo nchi ishakua yao hii aisee [emoji3] [emoji3]
Sio maskhara jamaa ana mipunga.kuna limoja kwao mombasa mara ya kwanza karudi kuja kusalimia kwao baba yake kaenda kumpokea airport akashindwa kumtambua mwanae alivyobadilika kwanza hao bodigadi wamebeba mabegi ya kutosha kumlinda huyo firstlady wa qaboos mzee alikataa kabisa we sio mwanangu jinsi mtoto alivyoiva nywele hadi magotini lipstic mawanja anamwambia ndo me mwanao huku kabana pua mzee kidogo kwa preshaNimecheka sana ulivyosema kuwa siyo kama mashoga wa Magomeni. LMAO!!
Kuna story nyingi za vijiweni kuhusu kutokuwa na mtoto. Lakini kama Sultani na jinsi anavyowapenda wananchi wake, nadhani, angekuwa na uwezo wa kuzalisha , angezalisha watoto wengi tu kama kawaida ya Wafalme wa Uarabuni.
Kila mtoto wa kiume anahakikisha jina la familia linazidi kuongoza Oman. Pamoja na kuwa na POWER.
Kwa kuwa hana mtoto, lazima atakuwa na matatizo ya kiafya au ni Homo.
Common Sense.
Tokyo40
Kati ya Mombasa na Zanzibar, wa Omani walianza kuvamia wapi? Nakumbuka kusoma kwamba walianza kuvamia Mombasa na kwenda Zanzibar. Lakini naona hapo juu imeandikwa kwamba walianza kuvamia Zanzibar then wakaenda Mombasa.
Hii ikoje?
Huyu jamaa alifanyiwa unyama sana na magufuli
Sheikh the issue here is the manner which jamaa alivyorudishwa Tanzania it was brutal and inhumane to say the least considering how he succeeded in bringing multibillion investments from Oman to Tanzania
Tusimulieni kisa cha kutudishwa kwake, ambacho hakutendewa vyema ni kipi?It doesn't matter, Sheikh, how good the Ambassador was in his job.
His position is the prerogative of the sitting President.