Historia fupi ya Oman

Historia fupi ya Oman

Tokyo40

Kati ya Mombasa na Zanzibar, wa Omani walianza kuvamia wapi? Nakumbuka kusoma kwamba walianza kuvamia Mombasa na kwenda Zanzibar. Lakini naona hapo juu imeandikwa kwamba walianza kuvamia Zanzibar then wakaenda Mombasa.

Hii ikoje?
 
Oman mwanzo raia wake wengi walikimbia kwa hali duni za kimaisha na hasa waliingia east africa kujitafutia maisha baada ya qaboos kupata usultan raia walianza kuombwa kurudi isipokuwa ni wachache walirudi na wengine walienda kuchukua uraia kamili na kurudi east africa kitu kilichopelekea kupata ugumu sana wa kupata uraia wa oman kwa sasa!oman ni nchi ambayo hata mahakamani au polisi wanaongea kiswahili fasaha kabisa huwezi kumteta mtu kwa kiswahili oman.oman ina uchumi mzuri kipindi cha mtikisiko wa uchumi iliweza kuikopesha dubai pesa.ingawa kwa sasa utajiri wa mafuta wa nchi unapungua kutokana na mafuta kuanza kuisha.nchi kama dubai ilipogundua rasilimali mafuta inaanza kuisha alibuni kuifanya dubai iwe mega tourist in the world ili uchumi usiyumbe na amefanikiwa kwa asilimia 1000.
Kuhusu qaboos kutokuwa na mke na watoto ni kuhofia watoto kuja kumpindua kama alivyompindua baba yake kwa kusaidiwa na uingereza.taarifa zisizo rasmi ni kwamba bwana qaboos anakula mgongo anafuga mashoga ikulu na ndo chakula chake!najua umefnanisha mashoga wa qaboos na mashoga wa magomeni kwa haraka haraka.ila wako tofauti sana hawa wa qaboos ni laini sana afu nywele zimewashuka watoto hadi kwenye visigino achilia mbali walivyo bomba kuliko wanawake
Aisee...
 
Tupe kidogo hio ya Saudia mkuu ....!!

Mfalme wa kwanza wa Saudi Arabia alikuwa Abdul Aziz ibn Saud (ukoo wao ndiyo jina la nchi vile vile).

Alimuoa Hassa Al- Sudairi, mke wa nane.

Wakazaa watoto 11. Wanaume 7.

Kwa kuwa alizaa watoto wengi wa kiume, akawa mke mwenye kuheshimiwa sana.

Hawa ndiyo wanaitwa The Sudairi Seven au The Magnificant Seven.

Waliitwa hivyo kwa sababu watoto wake walikuwa na vyao vikubwa vingi na baadhi yao wakawa Wafalme,

Kati ya watoto wa Hassa Al- Sudairi, Wafalme wakawa:

King Fahd ( Mfalme wa Tano)

King Salman ( Mlalme wa Sasa, wa Saba)

Waliobakia wakashika nchi katika Wizara zote muhimu. Kwa kifupi, watoto wa Kiume wa huyu Mama ndiyo maofisa wakubwa wote wa Serikali ya Saudi Arabia.

Watoto wa kiume wa wake wengine, inabidi wakomae tu kwa kuwa The Magnificant Seven walikaa madarakani mpaka walipozeeka au kufa wakiwa in their 70's or 80's.
 
Nimecheka sana ulivyosema kuwa siyo kama mashoga wa Magomeni. LMAO!!

Kuna story nyingi za vijiweni kuhusu kutokuwa na mtoto. Lakini kama Sultani na jinsi anavyowapenda wananchi wake, nadhani, angekuwa na uwezo wa kuzalisha , angezalisha watoto wengi tu kama kawaida ya Wafalme wa Uarabuni.

Kila mtoto wa kiume anahakikisha jina la familia linazidi kuongoza Oman. Pamoja na kuwa na POWER.

Kwa kuwa hana mtoto, lazima atakuwa na matatizo ya kiafya au ni Homo.

Common Sense.
 
nashauri muwaambia waomani wengine wake haha tujadili

Thread mzuri sana nimeipenda

Je wanajiandaa tipi na life after Qabus amble naming yuk Ujrumani kwa matibabu?

je wraith wake ni wale wale 4 aliowasema au kuna bar nyingine kaandika?

napenda independent foreign policy ya oman. Hagombani na Iran na wala hawaburzwi na akina Saudia ndio maana hawakuenda kupigana vita ya saudia Yemen
 
Mfalme wa kwanza wa Saudi Arabia alikuwa Abdul Aziz ibn Saud (ukoo wao ndiyo jina la nchi vile vile).

Alimuoa Hassa Al- Sudairi, mke wa nane.

Wakazaa watoto 11. Wanaume 7.

Kwa kuwa alizaa watoto wengi wa kiume, akawa mke mwenye kuheshimiwa sana.

Hawa ndiyo wanaitwa The Sudairi Seven au The Magnificant Seven.

Waliitwa hivyo kwa sababu watoto wake walikuwa na vyao vikubwa vingi na baadhi yao wakawa Wafalme,

Kati ya watoto wa Hassa Al- Sudairi, Wafalme wakawa:

King Fahd ( Mfalme wa Tano)

King Salman ( Mlalme wa Sasa, wa Saba)

Waliobakia wakashika nchi katika Wizara zote muhimu. Kwa kifupi, watoto wa Kiume wa huyu Mama ndiyo maofisa wakubwa wote wa Serikali ya Saudi Arabia.

Watoto wa kiume wa wake wengine, inabidi wakomae tu kwa kuwa The Magnificant Seven walikaa madarakani mpaka walipozeeka au kufa wakiwa in their 70's or 80's.
Asante mkuu...kwaio kuna watoto wa mke wa kwanza wa mfalme Abdul Aziz bado wapo hai na wanasubiria madaraka kutoka kwa Salman mfalme wa sasa..?

Kwani hairuhusiwi kuhamisha ufalme kwa watoto wa wake wengine wa uyo mfalme Abdul Aziz..?

Kingine ufalme wa Saudia wanapeana watoto tu waliokua wa mfalme pekee au mfalme alieko madarakani anaweza pia kumwachia mtoto wake wa kumzaa na sio mdogo wake waliochangia baba yani King Abdul..?

Kama kuna maswal mengine takuuliza baada ya haya

Samahani mleta uzi kwa kauliza maswali yalio nje ya uzi huu
 
majibu yako haya hapa

Nimecheka sana ulivyosema kuwa siyo kama mashoga wa Magomeni. LMAO!!

Kuna story nyingi za vijiweni kuhusu kutokuwa na mtoto. Lakini kama Sultani na jinsi anavyowapenda wananchi wake, nadhani, angekuwa na uwezo wa kuzalisha , angezalisha watoto wengi tu kama kawaida ya Wafalme wa Uarabuni.

Kila mtoto wa kiume anahakikisha jina la familia linazidi kuongoza Oman. Pamoja na kuwa na POWER.

Kwa kuwa hana mtoto, lazima atakuwa na matatizo ya kiafya au ni Homo.

Common Sense.
Sio maskhara jamaa ana mipunga.kuna limoja kwao mombasa mara ya kwanza karudi kuja kusalimia kwao baba yake kaenda kumpokea airport akashindwa kumtambua mwanae alivyobadilika kwanza hao bodigadi wamebeba mabegi ya kutosha kumlinda huyo firstlady wa qaboos mzee alikataa kabisa we sio mwanangu jinsi mtoto alivyoiva nywele hadi magotini lipstic mawanja anamwambia ndo me mwanao huku kabana pua mzee kidogo kwa presha
 
Tokyo40

Kati ya Mombasa na Zanzibar, wa Omani walianza kuvamia wapi? Nakumbuka kusoma kwamba walianza kuvamia Mombasa na kwenda Zanzibar. Lakini naona hapo juu imeandikwa kwamba walianza kuvamia Zanzibar then wakaenda Mombasa.

Hii ikoje?

Mkuu Kiranga,

Oman walianza Zanzibar mwaka 1652.

Mombasa ilikuja baadae kwa sababu ilikuwa siyo kazi rahisi kutokana na Ngome ya Mombasa ( Fort Jesus) .Sultan wa Oman alijaribu 1661, sacked Mombasa, halafu akaja tena 1698 na kukaa mpaka 1728.

Baada ya 1698, chanzo kinaeleza , Oman wakaongeza koloni hii pamoja na Zanzibar na Pemba.

... In February 1661 the Sultan of Oman sacked the Portuguese town of Mombasa but did not attack the fort.

It was in 1696 that a large Omani Arabs expedition reached Mombasa, from 13 March 1696 the fort was under siege, in the morning of 13 December 1698 the Omani Arabs did the decisive attack and took the fort.

With the conquest of Fort Jesus , the whole coast of Kenya and Tanzania with Zanzibar and Pemba fell to the Omani Arabs.

The Portuguese retook the fort in 1728, because the African soldiers in the fort mutined against the Omanis.

Chanzo:
Mombasa-city.com

Zanzibar Chronology
www.zanzibar.cc/chronology.htm

1591 AD 17th November:
The “Edward Bonaventure”, under the command of Sir James Lancaster, reached Zanzibar on her journey east trying to reach the Indies. The ship dropped anchor at Unguja Ukuu, the old capital city on Zanzibar’s main island of Unguja, where water was drawn from the ancient well.

They took on provisions of fish, fruit, beef and chickens and remained till 15th Febrary 1592.

This was the first visit of an English ship to Zanzibar and Captain Lancaster noticed at this time that there were vessels arriving from Indian ports.

They came from Cutch, Kathiawar and Gujarat, in the north-west part of India.

This expedition led to the establishment of the British trade route to India and the founding of the British East India Company of which Lancaster became a director.

The “Edward” was wrecked in the East Indies later during this expedition and therefore never returned to England.

1594 AD The Portuguese built Fort Jesus at Mombasa.

1608 AD December: Captain Sharpey visited Pemba en route to India.

Together with some of his men, he was beguiled ashore and then attacked and killed by the inhabitants, at the instigation of the Portuguese.

1622 AD The Portuguese lost the straits of Hormuz to the Oman Arabs again.

1627 AD Mombasa and Pemba rebelled against the Portuguese.

1635 AD Arab insurrection in Mombasa and Pemba put down by the Portuguese.

1651 AD The Portuguese driven out of Muscat of Oman by Imam Sultan bin Saif. Imam Sultan then attacked the Portuguese possessions in East Africa.

1652 AD The Oman Arabs attacked Zanzibar Island.

This led to a general revolt against the Portuguese who quelled the rebellion with great severity. In doing so they destroyed the old capital, Unguja Ukuu.

1696 AD The Oman Arabs, under Imam Saif bin Sultan, conquered Mombasa from the Portuguese.

1699 AD Saif bin Sultan drove the Portuguese out of Pemba and Kilwa.

1711 AD Imam Saif bin Sultan died.

1727 AD The Portuguese re-took Mombasa temporarily.

1729 AD The Portuguese were finally driven out of Mombasa by the Oman Arabs after more than 200 years.
 
1470832600490.jpg
 
Huyu jamaa alifanyiwa unyama sana na magufuli

Kila Rais mpya, anakuja na watu wake.
Hii ni kawaida.

Kazi za Ubalozi nyingi wanapewa marafiki wa Rais (political appointees).

Hata Balozi wa Marekani hapa Tokyo ni rafiki wa Obama na mtoto wa pekee wa Rais aliyeuawa John Kennedy (Caroline Kennedy). Kabla yake, alikuwa Balozi John Roos aliyemchangia Obama milioni ya dola kugombea Urais. Kupewa cheo cha Ubalozi ndiyo Ahsante ya Rais.

So, sishangai kama Rais Magufuli akabadilisha Mabalozi wote na kuwaweka wakwake, ni haki yake kisheria.
 
Sheikh the issue here is the manner which jamaa alivyorudishwa Tanzania it was brutal and inhumane to say the least considering how he succeeded in bringing multibillion investments from Oman to Tanzania
 
It doesn't matter, Sheikh, how good the Ambassador was in his job.

His position is the prerogative of the sitting President.
 
It doesn't matter, Sheikh, how good the Ambassador was in his job.

His position is the prerogative of the sitting President.
Tusimulieni kisa cha kutudishwa kwake, ambacho hakutendewa vyema ni kipi?

Kaka ...
 
Back
Top Bottom