GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Sijazungumzia Tanganyika iliyokuwa kiloni la Mzungu, bali Tanganyika iliyokabidhiwa uhuru wake halali kisha hayati Nyerere akaukabidhi uhuru huo kwa mkononi mwingine, Zanzibar.Waliopigania Tanganyika huwajui wewe, hebu muulize mzee Mohamed Said akupe historia japo kwa ufupi.
Nashangaa kwa nini Magufuli aliwashughulikia wafanyakazi hewa akauacha Muungano hewa!Tuleteeni mkataba orjino wa Muungano tuyaone hayo mambo ya Muungano na yasiyokuwa ya Muungano.
Akili yenye uelewa itafahamu Mambo ya Muungano ni yahusuyo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ,ambayo inajulikana kama Tanzania na yasiyo ya Muungano ni yale yahusuyo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Hivyo tuna
1) Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya/wa Tanzania
2) Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
Unaposikia kuna mambo si ya Muungano huwaga unajiuliza mambo hayo ni ya nani na ya serikali ipi ?
Isije kuwa bajeti inayoingia kwenye hayo tunayoambiwa si ya Muungano wala si ya Serikali ya Zanzibar inaishia kwa wajanja .
Lisu ana faida kuliko chadema yote. anakosa tu chama cha kwenda.Lissu anaweza kuwa na mapungufu yake kwa sababu ni binadamu. Lakini kwa jinsi alivyoipigania Tanganyika tokea akiwa bungeni hata sasa akiwa nje ya Bunge, Historia haitamsahau.
Watanganyika wa leo wasipomwelewa, wazalendo wa kesho watakuja kumjengea sanamu la heshima kumuenzi.
Kajipatia heshima Zanzibar na Tanganyika kwa kuusimamia ukweli kuhusu Muungano.
Mungu ambariki Tundu A. Lissu.
Nchi ya pili ni nchi nzuri, kubwa, thabiti iitwayo Tanganyika. Watawala wamejitahidi kwa miongo kadhaa kuifisha lakini wameshindwa, na hawatakaa wafanikiwe kuiua.Kuhoji Je Tanganyika ipo wapi ndaji ya muungano wetu ndiyo kupinga.?
Zanzibar ni Muungano wa nchi mbili na kuzaa Jamhuri ya Muungamo waTanzania, sasa hiyo nchi ya pili ni ipi? tusaidie mtoa hoja.
Chadema kimebaki kuwa chama cha hovyo sana.Lisu ana faida kuliko chadema yote. anakosa tu chama cha kwenda.
AnaipiganiaLissu kazaliwa enzi Tanganyika haipo, aliipigania wapi?
Hiyo Tanganyika sasa iko wapi?Anaipigania
Kumbe kulikuwa na watu wenye bendera ya Tanganyika? Kwa sasa inaweza kupatikana wapi?Hata Mchungaji Christopher Mtikila haki wahi shusha bendera ya Tangany kwenye ofisi yake.
Wazee wa G-55 waliona mbali sana.Tanganyika iliuzwa na bwana haambiliki.
Kumbe kulikuwa na watu wenye bendera ya Tanganyika? Kwa sasa inaweza kupatikana wapi?
Je ni zaidi ya Huyu Mheshimiwa (R.I.P) enzi za uhai wake??Lakini kwa jinsi alivyoipigania Tanganyika tokea akiwa bungeni hata sasa akiwa nje ya Bunge, Historia haitamsahau.