Historia haitamsahau Lissu kwa kuipigania Tanganyika

Historia haitamsahau Lissu kwa kuipigania Tanganyika

Chadema acheni kupora sera na agenda za marehemu mtikila n DP yake, sera zenu zinajulikana zisimamieni, sasa hivi mna yumba huku na kule mara mkataba wa bandari mara muungano, kwani lissu alishawahi enda zanziber akafukuzwa?
 
Tena zitengenezwe nyingi ili Watanganyika wazibandike maeneo yote yasiyo ya Muungano.
Wajasiriamali walidake hili! Zinahitajika sana. Binafsi ninazihitaji, hata kama zitauzwa ghali.
 
Nadhani ungesema mwamba Mtikila.
Nilikuwa nimemsahau huyo shujaa.

Ila kwa zama hizi, Lissu ndiye ameonekana kung'ara katika hilo.

Kama tutaangazia nyakati zote, wanaweza wakapitikana wengi: wabunge wa G55, Warioba, Mch Mtikila, n.k.
 
Tunaitaka Tanganyika yetu waache Ujinga wao wa kijani na manjano.
 
Back
Top Bottom