K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 May 3, 2024 #21 Nadhani ungesema mwamba Mtikila.
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 16,054 Reaction score 11,568 May 3, 2024 #22 Chadema acheni kupora sera na agenda za marehemu mtikila n DP yake, sera zenu zinajulikana zisimamieni, sasa hivi mna yumba huku na kule mara mkataba wa bandari mara muungano, kwani lissu alishawahi enda zanziber akafukuzwa?
Chadema acheni kupora sera na agenda za marehemu mtikila n DP yake, sera zenu zinajulikana zisimamieni, sasa hivi mna yumba huku na kule mara mkataba wa bandari mara muungano, kwani lissu alishawahi enda zanziber akafukuzwa?
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 May 3, 2024 Thread starter #23 Bams said: Tena zitengenezwe nyingi ili Watanganyika wazibandike maeneo yote yasiyo ya Muungano. Click to expand... Wajasiriamali walidake hili! Zinahitajika sana. Binafsi ninazihitaji, hata kama zitauzwa ghali.
Bams said: Tena zitengenezwe nyingi ili Watanganyika wazibandike maeneo yote yasiyo ya Muungano. Click to expand... Wajasiriamali walidake hili! Zinahitajika sana. Binafsi ninazihitaji, hata kama zitauzwa ghali.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 May 3, 2024 Thread starter #24 kibobori mahoro said: Nadhani ungesema mwamba Mtikila. Click to expand... Nilikuwa nimemsahau huyo shujaa. Ila kwa zama hizi, Lissu ndiye ameonekana kung'ara katika hilo. Kama tutaangazia nyakati zote, wanaweza wakapitikana wengi: wabunge wa G55, Warioba, Mch Mtikila, n.k.
kibobori mahoro said: Nadhani ungesema mwamba Mtikila. Click to expand... Nilikuwa nimemsahau huyo shujaa. Ila kwa zama hizi, Lissu ndiye ameonekana kung'ara katika hilo. Kama tutaangazia nyakati zote, wanaweza wakapitikana wengi: wabunge wa G55, Warioba, Mch Mtikila, n.k.
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 May 3, 2024 #25 Tunaitaka Tanganyika yetu waache Ujinga wao wa kijani na manjano.