Historia imejirudia! 20% walitaka vyama vingi na 80% walitaka chama kimoja

Historia imejirudia! 20% walitaka vyama vingi na 80% walitaka chama kimoja

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
279
Reaction score
480
Yaliyotokea sasa katika uchaguzi huu mkuu wa 2020 ni kujirudia kwa historia hasa hile tume ya Nyalali ambayo ilipita nchi nzima wakati wa utawala wa Aliy Mwinyi Junia na kurudi na hayo mapendekezo ya 20% kwa 80% aproksimetili.

Watanzania wanatabia tofauti na watu wowote wa bara la Afria huwa wanaamua tofauti vitu vyao ukilinganisha na mataifa mengine ya kiafrika.

Ukombeleni tutakuja kujua tu na kuelewana kwanini mtu wa kwanza aliishi katika Tanganyika zaidi ya mamilioni ya miaka na si Adamu na Eva kama Musa alivyotwambia.

Tutakuja kujua tu kwanini Mlima mrefu barani Afrika upo Tanganyika na si kwingineko ulitokea au kuwepo kwa bahati mbaya?

Ukisoma katika Biblia utashangaa kidogo kwani kuna jamaa alikuwa ni mtoto wa Amozi ambaye alipewa unabii na Mungu wao katika eneo lao kutabiri mambo yao, lakini yeye aliingiwa na kihelehele na kunyoosha macho mbali kama anatumia dalubini vile.

Kutoka kule Mashariki ya kati alinyoosha macho mpaka Afrika yalipofika Afrika akakazia macho nchi za Afrika Mashariki lakini akaanza kuizumu Tanganyika yote. Kasome Isaya 18: 1 kuendelea. Ukishindwa kuelewa nipigie simu.

Leo Dunia nzima inataabika na Korona lakini sisi tunapeta, tutajua vizuri mda umebaki kidogo tutaelewa, Shangaa Kenya na Uganda walijaribu kufanya maombi kama Tanzania tulivyofanya wakamwita Yesu na Mtume na Alah lakini miungu wote wamechomoa, yaani walivyomba ndiyo kama wamezidisha, tutajua.

Haya maziwa 3 Tanganyika, Victoria na Nyasa ambayo yamekaa kama mafiga ya utatu kubandikia sufuria au chungu cha kupikia chakula unaweza kuzania ilikuwa bahati mbaya kutokea hivyo, mtaelewa mda mfupi kidogo.

Katika kalne ya 21 anatokea mfalme wa nchi anazungumzwa dunia nzima tena kila kichochoro, tena mpaka watu wa chini kabisa wana mzungumza hili pia mtaelewa tu. Naile mito inayoelezwa katika isaya pia mtaelewa tu ni muda kidogo.

Hata mengi ambayo wazungu walipokuja hapa Tanganyika wametuficha na kusema historia ya uwongo hata wakakichukuwa kichwa cha mkwawa na kwenda nacho kwao Ulaya na kuacha vichwa vingine vingi pia tuta jua tu. Kama ilifika wakati hiliwabidi wachukuwe kichwa kufanya nacho nini tutajua tu.

Ata uwezo wa kuongea Lugha moja tena si ya kigeni ni yetu nchi nzima tofauti na nchi yoyote ile Afrika hili pia tutajua tu. Kuanzia Mtwara hadi Bukoba wote wanaongea lugha moja tutaelewa tu.

Hata hiyo habari ya wanyama kuishi na binadamu pamoja katika Ngorongoro Kreta tangia zamani hata kabla ya Adam kuwepo hadi leo watu na wanyama wanakaa pamoja kwa amani na utulivu pia mtaelewa tu.

Kwa maswali ya kujenga tu piga au SMS 714 733 111

Anza kusema Mtoto wa mchungani habari.
 
Umenifikirisha sana mkuu!! Kweli lazima Mungu anaitambua vizuri sana Tanzania na ameibariki. Dunia karibu nzima wanahangaika sana na Corona na wazungu na vibaraka wao walisema watz watakufa na mizoga yao itaonekana mabarabarani lakini hakuna kitu kama hicho. Hapa nilipo sasa tunapiga bia tu hakuna cha barakoa wala nini!! Kweli Mungu mkubwa!
 
Kama unaamini huu ulikuwa ni uchaguzi, We tangulia mwenyewe mirembe ukifika waambie naomba mnipe kitanda
 
Kura za lumbesa kwenye mabegi na vikapu unazianzishia mada?

Kama unaamini kura za wananchi ndo zilizotoa matokeo basi ukapimwe akili.

Hakukuwa na uchaguzi pale kulikuwa na uchafuzi.
Yaani huwa nashangaa nikikutana na thread ya aina hiyo! Sasa sijui nao wanaamini kutoka moyoni kwa hayo wanayo yaandika....au ni KUJITOA TU UFAHAMU...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaamini huu ulikuwa ni uchaguzi, We tangulia mwenyewe mirembe ukifika waambie naomba mnipe kitanda
Labda kama uko kwa mabeberu ndiyo unaweza sema hivyo! Lakini sisi tulioshiriki kwenye uchaguzi huu tunaona ulienda safi mno ukilinganisha na ule wa 2015.
 
Ila prophecy ya isaya 18 am not sure kama ni tz probably ni kenya
 
Hii mada sio nyepesi sana kwa sisi tunaokurupukia kuibiwa kura, miaka kumi na tano mfululizo kuibiwa kura na hujui ufanye nini ili usiibiwe!
Kama swala dogo namna hio la kuibiwa kura utaweza kweli kushugulika na masuala ya nchi ambao sio madogo na kila siku linakuju jipya na lililo kuu kuliko Jana.


Hii mada kwa muktadha mwingingine imebeba codes ndani yake na kuzivunja zinahitajika akili kubwa ambazo ndani yake hakuhitajiki mirengo na mahaba ya vyama.
 
Mtoto wa mchungaji kanisani kumeisha wateja sasa umehamia kutafuta wa mtandaoni.

Sidhani hata kama ulienda kupiga kura, ukiulizwa kulikoni utasema uliyoandika ni maono, umeoteshwa usingizini, nyie watu ndio mnafanya hili bara lizidi kuwa masikini.
 
Naona kijana unataka kutushika masikio..
Kwa hyo mzizi wa thread yako ni nini haswa?
 
Lissu Tundu Antipas 78%
Magufuli John Pombe 26%
 
Back
Top Bottom