Sainya Jnr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 467
- 1,112
Nenda kwa daktari akakupime mkojo kwanza..Hii thread ni ya wale wenye akili kubwa. Wewe tafuta threads za udaku. Hapa hutaona ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwa daktari akakupime mkojo kwanza..Hii thread ni ya wale wenye akili kubwa. Wewe tafuta threads za udaku. Hapa hutaona ndani.
Huyo muandishi wako mwenyewe ana IQ ndogo.. Maana hata uandishi wake ni mbovu kuwah kutokea hapa JFHii thread ni ya wale wenye akili kubwa. Wewe tafuta threads za udaku. Hapa hutaona ndani.
Si unaona ameweka namba ya simu!Sasa sijui nao wanaamini kutoka moyoni kwa hayo wanayo yaandika....au ni KUJITOA TU UFAHAMU...!
Na hao WEZI wa kura tutaambiwa ni chaguo la MUNGU. Yaani anachagua wezimiaka kumi na tano mfululizo kuibiwa kura na hujui ufanye nini ili usiibiwe!
Nitokee hapa na umburula wako!Mnachekesha kweli, IQ my foot!Kwa akili yako huwezi elewa mada hii. Ni watu wenye IQ kubwa tu!
Hii thread ni ya wale wenye akili kubwa. Wewe tafuta threads za udaku. Hapa hutaona ndani.
Umezaja taka taka Mbona tunaambiwa hii ni nchi yenye watu waso na furaha duniani, na nchi maslini Sana funianiYaliyotokea sasa katika uchaguzi huu mkuu wa 2020 ni kujirudia kwa historia hasa hile tume ya Nyalali ambayo ilipita nchi nzima wakati wa utawala wa Aliy Mwinyi Junia na kurudi na hayo mapendekezo ya 20% kwa 80% aproksimetili.
Watanzania wanatabia tofauti na watu wowote wa bara la Afria huwa wanaamua tofauti vitu vyao ukilinganisha na mataifa mengine ya kiafrika.
Ukombeleni tutakuja kujua tu na kuelewana kwanini mtu wa kwanza aliishi katika Tanganyika zaidi ya mamilioni ya miaka na si Adamu na Eva kama Musa alivyotwambia.
Tutakuja kujua tu kwanini Mlima mrefu barani Afrika upo Tanganyika na si kwingineko ulitokea au kuwepo kwa bahati mbaya?
Ukisoma katika Biblia utashangaa kidogo kwani kuna jamaa alikuwa ni mtoto wa Amozi ambaye alipewa unabii na Mungu wao katika eneo lao kutabiri mambo yao, lakini yeye aliingiwa na kihelehele na kunyoosha macho mbali kama anatumia dalubini vile.
Kutoka kule Mashariki ya kati alinyoosha macho mpaka Afrika yalipofika Afrika akakazia macho nchi za Afrika Mashariki lakini akaanza kuizumu Tanganyika yote. Kasome Isaya 18: 1 kuendelea. Ukishindwa kuelewa nipigie simu.
Leo Dunia nzima inataabika na Korona lakini sisi tunapeta, tutajua vizuri mda umebaki kidogo tutaelewa, Shangaa Kenya na Uganda walijaribu kufanya maombi kama Tanzania tulivyofanya wakamwita Yesu na Mtume na Alah lakini miungu wote wamechomoa, yaani walivyomba ndiyo kama wamezidisha, tutajua.
Haya maziwa 3 Tanganyika, Victoria na Nyasa ambayo yamekaa kama mafiga ya utatu kubandikia sufuria au chungu cha kupikia chakula unaweza kuzania ilikuwa bahati mbaya kutokea hivyo, mtaelewa mda mfupi kidogo.
Katika kalne ya 21 anatokea mfalme wa nchi anazungumzwa dunia nzima tena kila kichochoro, tena mpaka watu wa chini kabisa wana mzungumza hili pia mtaelewa tu. Naile mito inayoelezwa katika isaya pia mtaelewa tu ni muda kidogo.
Hata mengi ambayo wazungu walipokuja hapa Tanganyika wametuficha na kusema historia ya uwongo hata wakakichukuwa kichwa cha mkwawa na kwenda nacho kwao Ulaya na kuacha vichwa vingine vingi pia tuta jua tu. Kama ilifika wakati hiliwabidi wachukuwe kichwa kufanya nacho nini tutajua tu.
Ata uwezo wa kuongea Lugha moja tena si ya kigeni ni yetu nchi nzima tofauti na nchi yoyote ile Afrika hili pia tutajua tu. Kuanzia Mtwara hadi Bukoba wote wanaongea lugha moja tutaelewa tu.
Hata hiyo habari ya wanyama kuishi na binadamu pamoja katika Ngorongoro Kreta tangia zamani hata kabla ya Adam kuwepo hadi leo watu na wanyama wanakaa pamoja kwa amani na utulivu pia mtaelewa tu.
Kwa maswali ya kujenga tu piga au SMS 714 733 111
Anza kusema Mtoto wa mchunQgani habari.
Uchagu ambao mpaka leo tume bado inajumlisha Kura kupata matokea halisi Wakati raisi ameshatangazwaLabda kama uko kwa mabeberu ndiyo unaweza sema hivyo! Lakini sisi tulioshiriki kwenye uchaguzi huu tunaona ulienda safi mno ukilinganisha na ule wa 2015.
Kumbe ni Ccm ndio inaogopa upinzani inataka ibaki yenyewe nilidhani ni Wananchi.Wala siyo hivyo, kwa mujibu wa CCM sasa hivi 100% ya Watanzania wanataka chama kimoja![emoji1782]
Unaona hiyo ndiyo hoja yako!!Nenda kwa daktari akakupime mkojo kwanza..
Wanawapima nyinyi ambao hamna furaha kwenye mitandao lakini mitaani watu wanapata wanachopenda!Umezaja taka taka Mbona tunaambiwa hii ni nchi yenye watu waso na furaha duniani, na nchi maslini Sana funiani
Ndo akili mlizonazo!Uchagu ambao mpaka leo tume bado inajumlisha Kura kupata matokea halisi Wakati raisi ameshatangazwa
Kabla ya Tarehe 27 p tulishajua matokea ya nec TISs police