Historia: Jumatano ya Majivu, Mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima cha Siku 40

Kaka unasoma maandiko? Kila kitu nilazima ukipime kwenye neno la Mungu. Nje ya hapo nilazima upate ukakasi.

Na hapa nilazima tuwe na udadisi wa mambo. Siyo unaabudu kisa ulimkuta babu na baba wanafanya nawewe unafanya.

Kujua historia na kufatilia kwenye Biblia kwamba je ! Hili jambo linapingana na Neno la Mungu au Neno la Mungu linakubaliana na hicho unachokifanya?

Wakristo ni wanafunzi wa Yesu na Yesu Mwenyewe Alituagiza tufuate Yale aliyotuagiza kuyafanya na yote yapo kwenye Biblia.

Sasa kama wanatokea watu wanatuletea taratibu zao basi nivizuri tukazipima kwenye Neno la Mungu.

Huwezi kuniambia majivu nipakwe heti ndio identity ya ukristo siwezi kukubali maana majivu ni zao la Moto hapo lazima niombe kujua kwa undani nasio kukurupuka kupakwa kitu nisichojua kimetoka wapi.
nafikiri ni alama tu kuashiria we ni mkristo km wagogo ukienda dodoma utawajua kwa ndonye la usoni
 
sawa mkuu ngoja huyu Surya aje labda anauelewa
 
Kwanini Christmas inaangukia tarehe 25. December na pasaka inahamahama kila mwaka haitulii kama mwenzake
 
Nimevaa kipedo na makubazi hapa hivyo huu uzi haunihusu
 
Kwaresma imefika sasa wakristo mfunge maana nyie ndio mnaongoza kwa magonjwa ya tumbo kipindi kama hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…