Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika hii hafla ya kiuananchi kabisa
Ahsante mkuu. Kama nawaona Mnyero Fc walivyokunjs sura zao
Mawazo cheap haya.Yanga wapuuzi sana. Wanapenda vitu cheap ndio mana wamewafata laliga ambao wameshindwa kuifanya ligi yao kuwa maarufu duniani ingawa Wana facilities zote.
Boss mkataba huu utatekelezwa kwa mwaka mzima na unahusu transformation ya timu na si kingine.
.
Ujio wa La liga Tanzania ndio kitu kikubwa kuliko vyoote na wapo hapa nadhani huu ni mwaka wa nne.
Wana mikataba na Azam tv pamoja na Azam Fc hatujaona cha ajabu!
.
Tusubiri kuona hizo ideas watakazokuja nazo ili kuiboresha hiyo club.
Tafsiri ya nchi kuzizima unaijua?Nchi imezizima kila mtu yupo kwenye TV, nilikuambia lakini
Duniani kuna mamia ya ligi, ebu orodhesha ligi 5 tu maarufu duniani.Yanga wapuuzi sana. Wanapenda vitu cheap ndio mana wamewafata laliga ambao wameshindwa kuifanya ligi yao kuwa maarufu duniani ingawa Wana facilities zote.
Mkuu, kunywa maji donge lishuke.Yaani hakuna mapoyoyo kama yanga simba walipocheza na as vita kwenye club bingwa afrika haraka wakaforce undugu wakawaalika kwenye tamasha lao la wananchi lakini wakatolewa nje simba walipocheza na sevilla tayari wameforce undugu kwa kifupi wanataka kutembelea nyota ya simba ila hawataweza sababu simba ni baba lao
Sevillawameletwana Sportspesa. Abbas Tarimba akunga, hapo Simba walicheza na Sevilla kwa sababu tu walifika hatua ya mbele kombe la Sportspesa zaidi ya Yanga. lakini Tarimbaa aliwaunganisha Yanga kwa sababu yeye aliwahi kuwa Rais wa yanga.Yaani hakuna mapoyoyo kama yanga simba walipocheza na as vita kwenye club bingwa afrika haraka wakaforce undugu wakawaalika kwenye tamasha lao la wananchi lakini wakatolewa nje simba walipocheza na sevilla tayari wameforce undugu kwa kifupi wanataka kutembelea nyota ya simba ila hawataweza sababu simba ni baba lao
Hata mm nilishaa sn, hv kujikusanya kote kule najiuliza n kutiliana saini tu ama kunalingineHivi jana yanga tukio lao lilikuwa linahusu nini hasa? Mwenye uelewa zaidi yangu naomba anieleweshe tafadhali.
Kusaini mkataba kati ya Yanga na La Liga kama mshauri wa mabadiliko ya uendeshaji. pia klabu ya Sevilla kama timu rafiki Kwa kifupi ni kama sherehe ya kuweka jiwe la msingi na siyo ufunguzi wa jengo.Hivi jana yanga tukio lao lilikuwa linahusu nini hasa? Mwenye uelewa zaidi yangu naomba anieleweshe tafadhali.
Dooh, yanga na laliga, Gsm na Sevilla 🤔🤔🤔Kusaini mkataba kati ya Yanga na La Liga kama mshauri wa mabadiliko ya uendeshaji. pia klabu ya Sevilla kama timu rafiki Kwa kifupi ni kama sherehe ya kuweka jiwe la msingi na siyo ufunguzi wa jengo.
bado, mtashangaa sana.
😷😷Dooh, yanga na laliga, Gsm na Sevilla 🤔🤔🤔