Historia kuandikwa leo Tanzania: Yanga na Laliga kusaini mkataba wa mchakato wa mabadiliko wa mfumo wa klabu

Team ya wananchi inafanya mambo yake kisasa zaidi

Hii inadhihirisha kuwa katikaa mchakato huu Yanga imejipanga vizuri zaidi maanaa wao ndo timu ya kwanza hapa Tz kuanza mchakato wa kuindesha timu kisasa

Mbumbumbu wanaumia sana kusikia hii habari

Daima mbele
 
Yanga wapuuzi sana. Wanapenda vitu cheap ndio mana wamewafata laliga ambao wameshindwa kuifanya ligi yao kuwa maarufu duniani ingawa Wana facilities zote.
Mawazo cheap haya.
Uingereza haina ubora zaidi ya nguvu ya ya media zao.
 
Nchi imezizima kila mtu yupo kwenye TV, nilikuambia lakini
 
Yaani hakuna mapoyoyo kama yanga simba walipocheza na as vita kwenye club bingwa afrika haraka wakaforce undugu wakawaalika kwenye tamasha lao la wananchi lakini wakatolewa nje simba walipocheza na sevilla tayari wameforce undugu kwa kifupi wanataka kutembelea nyota ya simba ila hawataweza sababu simba ni baba lao
 
Yanga wapuuzi sana. Wanapenda vitu cheap ndio mana wamewafata laliga ambao wameshindwa kuifanya ligi yao kuwa maarufu duniani ingawa Wana facilities zote.
Duniani kuna mamia ya ligi, ebu orodhesha ligi 5 tu maarufu duniani.
 
Mkuu, kunywa maji donge lishuke.
 
Sevillawameletwana Sportspesa. Abbas Tarimba akunga, hapo Simba walicheza na Sevilla kwa sababu tu walifika hatua ya mbele kombe la Sportspesa zaidi ya Yanga. lakini Tarimbaa aliwaunganisha Yanga kwa sababu yeye aliwahi kuwa Rais wa yanga.
kauka mkia.
 
Hivi jana yanga tukio lao lilikuwa linahusu nini hasa? Mwenye uelewa zaidi yangu naomba anieleweshe tafadhali.
 
Hivi jana yanga tukio lao lilikuwa linahusu nini hasa? Mwenye uelewa zaidi yangu naomba anieleweshe tafadhali.
Hata mm nilishaa sn, hv kujikusanya kote kule najiuliza n kutiliana saini tu ama kunalingine
 
Hivi jana yanga tukio lao lilikuwa linahusu nini hasa? Mwenye uelewa zaidi yangu naomba anieleweshe tafadhali.
Kusaini mkataba kati ya Yanga na La Liga kama mshauri wa mabadiliko ya uendeshaji. pia klabu ya Sevilla kama timu rafiki Kwa kifupi ni kama sherehe ya kuweka jiwe la msingi na siyo ufunguzi wa jengo.
bado, mtashangaa sana.
 
Dooh, yanga na laliga, Gsm na Sevilla πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Vyura bhana! Usijeshangaa kuwa hawajui kwamba La Liga wapo Tanzania mwaka wa 4 huu wakiizamini Azam TV na Azam FC lakini hakuna walichokifanya zaidi ya Azam kuporomoka. πŸ˜›πŸ˜›

Sasa ngoja tuone Next season watakavyotafutana hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…