mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jul 6, 2023 #281 Msela Baharia said: Mkimaliza pia mje kwa warangi Click to expand... Wakitoka kwa warangi waje kwa wasingida Ova
Msela Baharia said: Mkimaliza pia mje kwa warangi Click to expand... Wakitoka kwa warangi waje kwa wasingida Ova
LURIGA JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 2,436 Reaction score 3,723 Jul 6, 2023 #282 sanalii said: Kuna kundi la wachaga ambao wao ni weupe sana au tuseme kabisa, hawa asili yao ni wapi? Click to expand... Nadhani hii hoja yako ndio zile tunazoziita "HOJA SHIKIZI" ila naamini una hoja yenye hoja iliyojichimbia kwenye sakafu ya moyo wako kuhusu hawa wanawake wachaga weupe!πππ
sanalii said: Kuna kundi la wachaga ambao wao ni weupe sana au tuseme kabisa, hawa asili yao ni wapi? Click to expand... Nadhani hii hoja yako ndio zile tunazoziita "HOJA SHIKIZI" ila naamini una hoja yenye hoja iliyojichimbia kwenye sakafu ya moyo wako kuhusu hawa wanawake wachaga weupe!πππ
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jul 6, 2023 #283 Migranti toka Ethiopia na wengine ni kazi ya wajerumani kujikinga na baridi kali enzi hizo