Historia mpya ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

Qwy,
Unaweza kuamini upendavyo.

Siku zote mimi huwaambia wanaonisoma na kupinga haya ninayowaeleza kama ninavyoyajua kuwa si lazima wala si muhimu kwangu kwa wao wakaniamini.

Kwa miaka mingi walikuwa wakiamini historia rasmi na hakutokea mtu kuipinga.

Lakini mimi nilipokuja na historia ya kweli na ni kweli kwa sababu wazee wangu walihusika katika African Association hadi kuja kuunda TANU kwa hiyo ninajua mengi hapo ndipo waliposimama kupinga historia hii.

Mimi sina tattizo ya kupokea nisiyoyafahamu lakini pale ninapoona kuwa hayakubaliani na historia ya TANU ya wazee wangu kwa ''facts'' na ''chronology,'' hapo sina budi kusema niyajuayo.

Kuwa yale yaliyokuwa Kariakoo ndiyo kila kitu huu ni ukweli la huamini hapana shida unaweza kuamini kuwa harakati za kuunda TANU zilianza Tosamaganga.

Mimi nitakueleza kuwa mikutano yote ya siri ya kuunda TANU ikifanyika nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu na ni nyumba hii ndipo alipoishi Nyerere baada ya kuacha kazi mwaka wa 1955 na TANU ilipoundwa kadi ya TANU ya Abdul ni no. 3 na mdogo wake Ally ni no. 2 na Nyerere no.1.

Nitakueleza pia na kadi za TANU 1000 za mwanzo alichapisha Ally Sykes kwa fedha zake na hata usanifu wa kadi aliufanya yeye kutoka na kadi yake ya Tanganyika Legion.

Ikiwa historia ya TANU itaanza Tosamaganga ni wazi ni hii itakuwa ni TANU nyingine si hii iliyotokana na mazungumzo nyumbani kwa Hamza Mwapachu mwaka wa 1953 kati ya Abdul Sykes, Ali Mwinyi na Mwapachu mwenyewe kumjadili Nyerere.

Wala TANU hii haitakuwa TANU ya babu yangu Salum Abdallah ambae alikuwa akihudhuria mikutano yake ya siri kila Jumapili Town School Tabora mwaka wa 1953.

Wala sitasema kuwa mazungumzo hayo ya Tosamaganga hayakuwapo.
Labda nitauliza hiyo TANU ya Tosamaganga ilikuwa mwaka gani?

Kabla Nyerere hajafahamiana na Abdul Sykes au baadae?
Alright, let's agree to disagreed on the so called facts. Umeelemea zaidi upande unaofurahisha nafsi yako na truly kuna mengi sana usiyoyafahamu na hauko tayari kuufungua ubongo wako kwa yale yasiyofurahisha nafsi yako.
Story ulizopewa na wazee wako inawezekana kabisa wakawa walizitia chunvi ili kuzinogesha au kudanganya kwa maslahi yao au kuchanganya ukweli na uongo au kusimulia tu baadhi ya matukio kwa faida au kuonekana walikuwa muhimu kuliko wanavyochukuliwa.
Anything is possible, hivyo kwenye hilo hatuwezi kufikia muafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu mimi ndiye niliyekufanya wewe leo uzungumze kuhusu historia hii.
Ipo historia ya TANU iliyoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni (1981).

1576579584450.png

Labda nikuulize umepata kusema lolote kuhusu kitabu hiki?
Hii historia imewafuta wazee wangu.

Ilikuwa baada ya kuisoma historia hii ndipo nilipoamua kuandika historia ya TANU na historia ya uhuru kama nilivyoifahamu.

Wewe unathubutu kusema ati imechanganywa na uongo.
Ati wazee wangu wanajifanya muhimu.

Ati hatuwezi kufikia muafaka.
Muafaka gani mimi niutafute ilhali mimi naeleza historia ya wazee wangu?

Unaiamini historia hii sawa la unaona ni uongo kwangu pia ni sawa.
Ila nitakufahamisha kitu kimoja.

Historia hii kwa miongo miwili sasa ni moja ya rejea muhimu katika ''political history,'' ya Tanganyika na ni rejea katika kuijua historia ya Mwalimu Nyerere.

Nimetafiti na kuandika histori hii kutoka Nyaraka na Kumbukumbu za Sykes.
Huwezi kutia chumvi nyaraka.
 
Tafiti zako si lazima ziwe sahihi,uwezekano ya 'wazee wako' kutia chumvi ili kunogesha uhusika wao katika harakati za uhuru pia ni possibility mojawapo, ndiyo maana tafiti nyingi duniani hukinzana na huwa ni process kwa tafiti zinazokinzana kufikia kukubaliana.
Sipingi uhusika wa 'wazee wako' bali maelezo yako unayatoa kishabiki, unayapamba na haukubali ya kuwa wapo wengine either kwa kupambania harakati za TANU na uhuru kwa ujumla ya kuwa walitia naguvu au walikuwa muhimu sawa au hata kuwazidi hao 'wazee wako'.
Ukiwa unafanya tafiti with a wishful thinking in your head nalo ni tatizo na hauwezi kupata matokeo yaliyo sahihi.
Uwezekano mwingine ni kuwa kuna ukweli mwingine ambao unaufahamu lakini kwa makusudi unaufika hivyo kuwawekea watu references zitakazoendana na utashi wako, hivyo kuamua kuwalisha wasomaji 'matango pori' kwa makusudi kabisa. Wapo wengi ambao hutumia dirty tricks bora wafanikishe upotoshaji japo pia inawezekana kabisa unachokiandika ndipo ulewa wako ulipoishia na unaamini kwa dhati kabisa kuwa ndiyo ukweli wote wa historia ya Tanganyika.
Jaribu kufanya tafiti kutoka vyanzo tofauti kabisa na maelezo ya 'wazee wako' bila ya kujifunga kwenye taswira uliyonayo nadhani utapata mambo mapya mengi ambayo either haukuwa ukiyafahamu au unayafahamu bali haukubalini nayo kwani yanakinzana na yale uliyosimuliwa na wazee wako.

Mimi nina kitabu huu mwaka wa 21 kinafundishwa vyuo mbalimbali duniani kama rejea muhimu.

Kipo ndani ya Cambridge Journal of African History na majarida mengine.

Kitabu kimebadili historia ya Tanganyika kwa kuwarejesha wale waliofutwa.

Hadi hii leo tunavyozungumza hakuna aliyekuja na kitabu kingine kupinga kitabu changu.

Wewe unazungumza hapa JF ambako hakataliwi mtu.

Huna kitabu una maneno tu.

Lete kitabu umtoe Abdul Sykes ambae mimi nimemrudisha na kuwashangaza wana historia wa sifa katika African History.

Leo humsomi Nyerere sharti umsome na Abdul Sykes na baba yake Kleist Sykes na wale wote waliounda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika .

Leo huisomi historia ya TANU sharti uisome na historia ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika ujue uhusiano wa vyama hivi.

Leo hulitaji gazeti la TANU "Sauti ya TANU," hadi usome historia ya "Zuhra,"na mhariri wake Ramadhani Mashado Plantan.

Leo husomi vipi TAA ilichukuliwa na vijana 1950 lazima umsome Schneider Abdillah Plantan.

Vijana hawa ni Abdul Sykes na Dr. Vedasto Kyaruzi.

Huielezi safari ya kwanza UNO sharti ujue historia ya Iddi Faiz Mafungo Mwekahazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na TANU.

Haya yote hamkuyajua hadi nilipoyaeleza katika kitabu cha Abdul Sykes.

Vipi kuhusu Kura Tatu na Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la TANU ?

Ulikuwa ukiyajua?

Historia hii ndiyo iliyonisimamisha Northwestern University Evanston Chicago Eduardo Mondlane Hall kwa mwaliko wa Jonathon Glassman nikaeleza historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika na vipi ilivyofanyiwa khiyana na vipi nilivyoinusuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifatilia kwa jicho huru liso na kisokorokwinyu cha kwa nini dini hii au majina haya au wazee hawa utagundua kuwa;

Mzee Mohamedi Said hana shida na Historia ya kupatikana uhuru wa Tanganyika kuanzia pale Nyerere alipoingia rasmi katika mapambano.

Mzee Mohamed Said anachukizwa na kitendo cha baadhi ya watu kuwaaminisha watu wengine kuwa historia ya kupatikana uhuru wa nchi hii ina anzia pale Nyerere alipoingia rasmi katika mapambano na nyuma ya hapo hapakuwa na lolote wala yeyote. Hapo ndio Mzee Mohamedi Said anaponyanyua kalamu

Swali la msingi hapa ni kwanini watu hawa wenye mchango mkubwa kiasi hiki waachwe bila kutajwa katika mitaala mashuleni vizazi vya leo viwasome? Na mbona katika simulizi za baadhi ya viongozi wakiwa katika mabaraza na majukwaa mbalimbali wanakiri kuwepo wazee 17(i atajwa idadi tu sio majina) waliojitoa katika kupigania uhuru wa Tanganyika lakini hawasomwi mashuleni, kwanini? Je hili linaweza kuwa bahayi mbaya hata baada ya Mzee Mohamedi Said kutueleza kuhusu hizi "Untold stories"?

Boywise,
Ahsante sana.

Pokea zawadi picha hizo mbili kutoka kwangu:

1576686860510.png

Aliyesimama mkono wa kulia wa Mwalimu Nyerere ni Iddi Faiz Mafungo kadi yake ya TANU ni no. 24 Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955

1576687134492.png

Kushoto wa kwanza ni Iddi Faiz Mafungo Dodoma 1955/56 wakati wa kuijenga TANU

Tafiti zako si lazima ziwe sahihi,uwezekano ya 'wazee wako' kutia chumvi ili kunogesha uhusika wao katika harakati za uhuru pia ni possibility mojawapo, ndiyo maana tafiti nyingi duniani hukinzana na huwa ni process kwa tafiti zinazokinzana kufikia kukubaliana.
Sipingi uhusika wa 'wazee wako' bali maelezo yako unayatoa kishabiki, unayapamba na haukubali ya kuwa wapo wengine either kwa kupambania harakati za TANU na uhuru kwa ujumla ya kuwa walitia naguvu au walikuwa muhimu sawa au hata kuwazidi hao 'wazee wako'.
Ukiwa unafanya tafiti with a wishful thinking in your head nalo ni tatizo na hauwezi kupata matokeo yaliyo sahihi.
Uwezekano mwingine ni kuwa kuna ukweli mwingine ambao unaufahamu lakini kwa makusudi unaufika hivyo kuwawekea watu references zitakazoendana na utashi wako, hivyo kuamua kuwalisha wasomaji 'matango pori' kwa makusudi kabisa. Wapo wengi ambao hutumia dirty tricks bora wafanikishe upotoshaji japo pia inawezekana kabisa unachokiandika ndipo ulewa wako ulipoishia na unaamini kwa dhati kabisa kuwa ndiyo ukweli wote wa historia ya Tanganyika.
Jaribu kufanya tafiti kutoka vyanzo tofauti kabisa na maelezo ya 'wazee wako' bila ya kujifunga kwenye taswira uliyonayo nadhani utapata mambo mapya mengi ambayo either haukuwa ukiyafahamu au unayafahamu bali haukubalini nayo kwani yanakinzana na yale uliyosimuliwa na wazee wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa maandiko walitia "chumvi" picha nazo walitia magadi?
 
Picha(taswira za picha) ni sehemu tu ya harakati zilizokuwepo na ndiyo maana siupingi upotoshaji wake kwa 100%, anachanganya ukweli na uongo ili kutimiza ajenda anazokusudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Qwy,
Historia iliyomo ndani ya ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) the Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' imewashtua wengi sana wengine ni wataalamu wa African History.

Achilia mbali niliyoandika.

Picha za nyakati zile ambazo kabla yangu hazikuwa zinafahamika zimefanya historia hii ipendeze zaidi.

Njia nyepesi kabisa ya kupima ukweli wangu katika historia ya TANU ni kusoma historia zote zilizoandikwa kuhusu TANU.

Nyaraka ya awali kabisa katika historia ya TANU ni mswada wa kitabu alioacha Kleist Sykes (1894 - 1949) kabla ya kufariki kwake.

Mswada huu ni sura katika kitabu alichohariri John Iliffe, ''Modern Tanzanians,'' (1973) ndani ya kitabu hiki utasoma historia ya Kleist Sykes kama ilivyoandikwa na mjukuu wake Aisha ''Daisy,'' Sykes na mchango wake katika siasa za Waafrika wa Tanganyika.

Mswada huu unaeleza historia ya kuundwa kwa African Association mwaka wa 1929.
Nadhani unafahamu kuwa chama hiki ndicho kilichokuja kuzaa TANU mwaka wa 1954.

Kleist wanae Abdu, Ally na Abbas wote hawa wameona kila kitu katika kuundwa kwa TANU wenyewe wakiwa washiriki.

Hawa walikuwa rafiki wa baba yangu na majirani toka utoto wao nyumba zao zikitazamana Mtaa wa Kipata katika Dar es Salaam ya 1930s.

Hili la kwanza.

Pili hawa watoto wa Kleist ndiyo waliompokea Mwalimu Nyerere nyumbani kwao mwaka wa 1952.

Hapa tunaweza kurudi nyuma katika historia ya TANU kuanzia mwaka wa 1945 wakati wa WW II wakati Abdul na Ally Sykes wako Burma.

Kumbukumbu za Sykes mbali na kuwa na historia ya African Association zinaeleza kuwa Abdul Sykes alikuwa na fikra ya kuunda TANU toka Burma na mkutano wa mwisho ambao askari wa KAR 6th Battalion waliazimia kuunda chama cha siasa ulifanyika Kalieni Camp, nje kidogo ya Bombay India, mkesha wa Christmas 1945 wakati wanasubiri kurudishwa Tanganyika baada ya vita.

Taarifa hizi zipo katika shajara ya Abdul Sykes ya mwaka huo.

Lakini ukitaka kupata taarifa zaidi za harakati hizi za kuunda TANU ni muhimu pia ukajua historia ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) na mchango wake katika kuwahamasisha vijana wasomi wa nyakati zile kuhusu kudai uhuru wa Tanganyika.

Mchango huu wa Mwapachu ulifikia kileleni mwaka wa 1950 yeye na Abdul Sykes walipofanya mapinduzi na kuondoa uongozi wa Thomas Plantan aliyekuwa Rais wa TAA na Clement Mtamila Katibu wake.

Habari zaidi ya kipindi hiki ambacho ulifanyika uchaguzi na Dr. Vedasto Kyaruzi akachaguliwa kuwa Rais na Abdul Sykes Katibu unaweza ukausoma katika mswada wa Dr. Kyaruzi, ''The Muhaya Doctor.''

Mswada huu ninao katika maktaba yangu.

Unaweza pia kupata historia zaidi ya kipindi hiki katika kitabu cha Judith Listowel, ''The Making of Tanganyika, '' (1965).

Ikiwa utapita kwenye rejea hizi zote haitakuwa kazi kubwa kwako kujua ukweli wa historia ya TANU na historia ya uhuru wa Tanganyika.

Nimeandika historia ya TANU kutokana na kumbukumbu za Sykes na kitabu hiki kina mengi ambayo hayakuwa yanafahamika kabla.

Mfano mmoja ni mazungumzo baina ya Abdul Sykes na Chief Kidaha Makwaia kutaka kumtia Chief Kidaha katika uongozi wa TANU kisha waunde TANU na Chief Kidaha aongoze harakati za kudai uhuru.

Unaweza kusoma kitabu hiki kujua kina nini tofauti na historia iliyozoeleka.

Hebu ingia hapo chini ka taarifa zaidi:
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Qwy,
Mimi nina kitabu huu mwaka wa 21 kinafundishwa vyuo mbalimbali duniani kama rejea muhimu.

Kipo ndani ya Cambridge Journal of African History na majarida mengine.

Kitabu kimebadili historia ya Tanganyika kwa kuwarejesha wale waliofutwa.

Hadi hii leo tunavyozungumza hakuna aliyekuja na kitabu kingine kupinga kitabu changu.

Wewe unazungumza hapa JF ambako hakataliwi mtu.

Huna kitabu una maneno tu.

Lete kitabu umtoe Abdul Sykes ambae mimi nimemrudisha na kuwashangaza wana historia wa sifa katika African History.

Leo humsomi Nyerere sharti umsome na Abdul Sykes na baba yake Kleist Sykes na wale wote waliounda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika .

Leo huisomi historia ya TANU sharti uisome na historia ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika ujue uhusiano wa vyama hivi.

Leo hulitaji gazeti la TANU "Sauti ya TANU," hadi usome historia ya "Zuhra,"na mhariri wake Ramadhani Mashado Plantan.

Leo husomi vipi TAA ilichukuliwa na vijana 1950 lazima umsome Schneider Abdillah Plantan.

Vijana hawa ni Abdul Sykes na Dr. Vedasto Kyaruzi.

Huielezi safari ya kwanza UNO sharti ujue historia ya Iddi Faiz Mafungo Mwekahazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na TANU.

Haya yote hamkuyajua hadi nilipoyaeleza katika kitabu cha Abdul Sykes.

Vipi kuhusu Kura Tatu na Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la TANU ?

Ulikuwa ukiyajua?

Historia hii ndiyo iliyonisimamisha Northwestern University Evanston Chicago Eduardo Mondlane Hall kwa mwaliko wa Jonathon Glassman nikaeleza historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika na vipi ilivyofanyiwa khiyana na vipi nilivyoinusuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikupingi kwa asilimia mia moja,don't get it twisted.
Maelezo(matokeo ya tafiti zako) kuna sehemu nyingi tu yanatia shaka hasa pale unaposahau kuwa harakati,mikakati na mipango ya kujikomboa ilikuwa Tanganyika nzima na si Kariakoo peke yake.
Nakubali umefanya tafiti lakini umezifanya kwa matukio ya mitaa miwili au mitatu tu ya Kariakoo.
IMG_20191222_230618_760.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikupingi kwa asilimia mia moja,don't get it twisted.
Maelezo(matokeo ya tafiti zako) kuna sehemu nyingi tu yanatia shaka hasa pale unaposahau kuwa harakati,mikakati na mipango ya kujikomboa ilikuwa Tanganyika nzima na si Kariakoo peke yake.
Nakubali umefanya tafiti lakini umezifanya kwa matukio ya mitaa miwili au mitatu tu ya Kariakoo.View attachment 1301952

Sent using Jamii Forums mobile app
Qwy,
Inaelekea hukijui kitabu cha Abdul Sykes bado hujakisoma na ndiyo maana unasema utafiti wangu ni wa mitaa ya Kariakoo.

Angalia hapo chini:

The Life and Times of Abdulwahid Sykes
(1924-1968)
The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika
Mohamed Said
Table of Contents
Dedication
Acknowledgements
Table of Contents
Introduction
Part One
Abdulwahid Sykes 1924-1968
Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929
The Old Town of Dar es Salaam and its Elites
Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949
World War One 1914-1918
The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933
Chapter 2.The Second World War and Tanganyika’s Political Foundation, 1938-1945
The Burma Infantry, 1942
Chapter 3. Dar es Salaam Dockworkers Movement 1947-1950
Dar es Salaam Port, 1947
Erika Fiah
The Dockworkers’ Union, 1948

Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954
The Tanganyika African Association, 1950
TAA Political Subcommittee, 1951
Tanganyika as a Mandate Territory
Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950
TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950
The Meru Land Evictions, 1950
Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere
The Story of Julius Nyerere, 1952
Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954
Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953
Ally Kleist Sykes
Part Two
Mass Mobilisation and Independence 1954-1961
Chapter 7. Mass Mobilisation 1954
The Elders’ Council and Nyerere’s Visit to the United Nations, New York, 1954
Idd Faiz Mafongo
The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950
Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952
Propagandists-The Bantu Group,1955
Incorporation of Swahili Women’s Societies into the Struggle, 1955
Football As a Political Weapon
Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces
Central Province, 1955
Southern Province, 1955
Western Province, 1955
Tanga Province, 1956
TANU in Mombasa, Kenya, 1957
Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958
The Tanga Strategy, 1958
The Debate for Tripartite Voting
Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958
Independence, 1961
Part Three
Conspiracy Against Islam 1961-1970
Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970
Islam: The Ideology of Colonial Resistance
The First Muslim Congress, 1962
Resistance to Change
The Second Muslim Congress, 1963
Proposal for an Islamic University, 1964
The Politics of Islam, Church, State and the African Christian
Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis’
Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis’
Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968
The Islamic National Conference, 1968
Omissions Analysed
Betrayal of Ideals
Conspiracy Theory
Epilogue
Bibliography
 
Naona umepiga mtu nyundo ya kichwa yenye kilo 50 uneuwa kabisa. [emoji2][emoji2]
 
  • Thanks
Reactions: LGF
Naona umepiga mtu nyundo ya kichwa yenye kilo 50 uneuwa kabisa. [emoji2][emoji2]
Matola,
Nia yangu ni kumfahamisha historia ya kweli ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
 
Naona umepiga mtu nyundo ya kichwa yenye kilo 50 uneuwa kabisa. [emoji2][emoji2]
N8 kitabu kizuri, it is a classic, naomba ukisome, khasa chapter ya 9 navkuendelea kwa vilebinsongea majina ya watu unaowafahamu, utakuta kura 3 AMNUT, Emaws, na Aga Khan. Utamkuta Nyerere na Kawawa na Sheikh Adam Naseeb. Soma.
 
Qwy,
Inaelekea hukijui kitabu cha Abdul Sykes bado hujakisoma na ndiyo maana unasema utafiti wangu ni wa mitaa ya Kariakoo.

Angalia hapo chini:

The Life and Times of Abdulwahid Sykes
(1924-1968)
The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika
Mohamed Said
Table of Contents
Dedication
Acknowledgements
Table of Contents
Introduction
Part One
Abdulwahid Sykes 1924-1968
Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929
The Old Town of Dar es Salaam and its Elites
Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949
World War One 1914-1918
The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933
Chapter 2.The Second World War and Tanganyika’s Political Foundation, 1938-1945
The Burma Infantry, 1942
Chapter 3. Dar es Salaam Dockworkers Movement 1947-1950
Dar es Salaam Port, 1947
Erika Fiah
The Dockworkers’ Union, 1948

Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954
The Tanganyika African Association, 1950
TAA Political Subcommittee, 1951
Tanganyika as a Mandate Territory
Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950
TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950
The Meru Land Evictions, 1950
Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere
The Story of Julius Nyerere, 1952
Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954
Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953
Ally Kleist Sykes
Part Two
Mass Mobilisation and Independence 1954-1961
Chapter 7. Mass Mobilisation 1954
The Elders’ Council and Nyerere’s Visit to the United Nations, New York, 1954
Idd Faiz Mafongo
The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950
Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952
Propagandists-The Bantu Group,1955
Incorporation of Swahili Women’s Societies into the Struggle, 1955
Football As a Political Weapon
Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces
Central Province, 1955
Southern Province, 1955
Western Province, 1955
Tanga Province, 1956
TANU in Mombasa, Kenya, 1957
Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958
The Tanga Strategy, 1958
The Debate for Tripartite Voting
Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958
Independence, 1961
Part Three
Conspiracy Against Islam 1961-1970
Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970
Islam: The Ideology of Colonial Resistance
The First Muslim Congress, 1962
Resistance to Change
The Second Muslim Congress, 1963
Proposal for an Islamic University, 1964
The Politics of Islam, Church, State and the African Christian
Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis’
Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis’
Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968
The Islamic National Conference, 1968
Omissions Analysed
Betrayal of Ideals
Conspiracy Theory
Epilogue
Bibliography
Balaaa.
 
Back
Top Bottom