Historia na kumbukumbu ya kifo cha Bob Marley

Historia na kumbukumbu ya kifo cha Bob Marley

Hii ya Nyerere kukataa kumpa Bob mkono nimeisikia hapa na pale lakini hakuna picha au hata clip za magazeti kuthibitisha hili..? Hebu tujiulize Nyerere alikuwepo kwenye uhuru wa Zimbabwe..?
Akikujibu niite Mkuu.
 
chronixx - Roots
Huyu jamaa ni shida... Kuna ile ameimba kwenye tropical escape riddim inaitwa aint giving in... Ni wimbo ambao hua unanipa moyo sana ktk maisha.. Pia napenda na ile access granted.
 
Huyu jamaa ni shida... Kuna ile ameimba kwenye tropical escape riddim inaitwa aint giving in... Ni wimbo ambao hua unanipa moyo sana ktk maisha.. Pia napenda na ile access granted.
Yuko vizuri sana karithi kutoka kwa babake,kuna nyengine inaitwa here comes trouble
 
Tusiongelee mazur tu ya bob.... bob pia ana mabaya mengi tu..... ile band ilikuwa bomba sana.... na hizo sababu unazotoa sio.. bob mission yake awazunguke wenzake apige PESA.. n he achieved for that....
Bob hakua na njaa ya pesa
 
Back
Top Bottom