Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
just listen to his lyrics n u'll realize that proof u needCan you prove that
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
just listen to his lyrics n u'll realize that proof u needCan you prove that
Akikujibu niite Mkuu.Hii ya Nyerere kukataa kumpa Bob mkono nimeisikia hapa na pale lakini hakuna picha au hata clip za magazeti kuthibitisha hili..? Hebu tujiulize Nyerere alikuwepo kwenye uhuru wa Zimbabwe..?
Huyu jamaa ni shida... Kuna ile ameimba kwenye tropical escape riddim inaitwa aint giving in... Ni wimbo ambao hua unanipa moyo sana ktk maisha.. Pia napenda na ile access granted.chronixx - Roots
Yuko vizuri sana karithi kutoka kwa babake,kuna nyengine inaitwa here comes troubleHuyu jamaa ni shida... Kuna ile ameimba kwenye tropical escape riddim inaitwa aint giving in... Ni wimbo ambao hua unanipa moyo sana ktk maisha.. Pia napenda na ile access granted.
Mkuu, huyu jamaa nae baba ke ni musian kama babake Tarrus Rirey?Yuko vizuri sana karithi kutoka kwa babake,kuna nyengine inaitwa here comes trouble
Bob hakua na njaa ya pesaTusiongelee mazur tu ya bob.... bob pia ana mabaya mengi tu..... ile band ilikuwa bomba sana.... na hizo sababu unazotoa sio.. bob mission yake awazunguke wenzake apige PESA.. n he achieved for that....