Historia Tanzania: Twitter account ya UEFA Europa waposti picha ya Mbwana Samatta

Halafu huyu kaka hana mambo ya kiulimbikeni kama sie wengine tukishapata majina makubwa
 
Mimi ni mpongeze tu, kwa kuyashinda majungu ya nchi ya waswahili na kufika huko aliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…