Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Hahaaa...kabisa awe na akili la sivyo atakuja hapa tumchezeshe simba na yanga kwa mkopo na masimango juu
Ataenda Mbeya City kama kijeba babu Ngassa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa...kabisa awe na akili la sivyo atakuja hapa tumchezeshe simba na yanga kwa mkopo na masimango juu
duh nampa ushauri tu ajipange ili aringeHahaaa...
Ataenda Mbeya City kama kijeba babu Ngassa.
aaaaaaaaa pesa anayo nyingi tu euro elfu70 kwa mwez ni peasa nzuriaweke akiba ya pesa
akiendekeza bata pesa ndogo sanah
aaaaaaaaa pesa anayo nyingi tu euro elfu70 kwa mwez ni peasa nzuri
keza nini mfano me nadhani akistaafu,,,maana ana magari4 nyumba3 na anajenga ya4 kwenye kiwanja alichopewa na serikarikwa kweli aje bongo awekeze asiwe jinga
kweli lakini sio mtu wa bata ndo maana kiwango kinapanda anademu wake anaitwa happynessakiendekeza bata pesa ndogo sana
bado haitoshikuwe
keza nini mfano me nadhani akistaafu,,,maana ana magari4 nyumba3 na anajenga ya4 kwenye kiwanja alichopewa na serikari
aaaani umesema ukweli hajioni sio mtu wa kiki wakati ana kila kitu namkubali sanaHalafu huyu kaka hana mambo ya kiulimbikeni kama sie wengine tukishapata majina makubwa
Kwni Madee ana bifu gani na Samatta?Ngoja Madee aje kuponda.
basi ni vyemakweli lakini sio mtu wa bata ndo maana kiwango kinapanda anademu wake anaitwa happyness
atawekeza zaidi akistafu na kuoabado haitoshi
adee wapinawapi na samatta kwanza samagosl hanaga bifuKwni Madee ana bifu gani na Samatta?
haaaa aende kichuyaBora yule Giroud atoke pale Arsenal aingie Samatta
jambo jemaatawekeza zaidi akistafu na kuoa
haaaa mnapenda waliofanikiwa tuAje kuzitumia na toto la kichagga sio? Akuze uchumi wetu asijeenda kula na mnigeria au mkongo pesa zikaenda huko.
Nami nimeshangaa hio comment hapo juu!m
adee wapinawapi na samatta kwanza samagosl hanaga bifu