Historia Tanzania: Twitter account ya UEFA Europa waposti picha ya Mbwana Samatta

Big up kijana wa Msimbazi.. Siku zote tutajivunia wewe.
Toa neno Msimbazi. Wenzako wote tunashangilia utanzania wetu, wee unang'ang'ana na Msimbazi!
 
Taarifa chini ya kapeti zinadokeza kuwa msimu ujao atakuwa Juventus. Wapo katika hatua za mwisho za mazungumzo. Stay tuned.
Hata kama uzushi, naombea iwe kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…