NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Samatta sio wa nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babaake kakaa kmyaa[emoji23] [emoji23]
We ulitaka aseme kijana wa Yanga?
tena atakuwa na matatzo mengi na kubwa inabd akatibiwa indiawewe una matatizo.
magoli ya kichuYear bado yamo kichwani mwako pole sanakichuya akishaifunga yanga anajiona amemaliza
Acha utapeli wewe Mbwana anaenda MadridTaarifa chini ya kapeti zinadokeza kuwa msimu ujao atakuwa Juventus. Wapo katika hatua za mwisho za mazungumzo. Stay tuned.
Alikanusha mwenyewe habari za kwenda juventusTaarifa chini ya kapeti zinadokeza kuwa msimu ujao atakuwa Juventus. Wapo katika hatua za mwisho za mazungumzo. Stay tuned.
Wa eeee eeee eeee eeeeBig up kijana wa Msimbazi.. Siku zote tutajivunia wewe.
NI MKENYASamatta sio wa nchi hii
Atakuwa na roho ya kibaniani!Ngoja Madee aje kuponda.
Toa neno Msimbazi. Wenzako wote tunashangilia utanzania wetu, wee unang'ang'ana na Msimbazi!Big up kijana wa Msimbazi.. Siku zote tutajivunia wewe.
Kumbe na huku Upo?kaza buti kijana
Hata kama uzushi, naombea iwe kweli!Taarifa chini ya kapeti zinadokeza kuwa msimu ujao atakuwa Juventus. Wapo katika hatua za mwisho za mazungumzo. Stay tuned.
ndiyo huwa napita kila mahali nipate story za kuhadisia kijiweniKumbe na huku Upo?
Wee sema wazi, wengine wote BASHITEkweli kabisa jamaa anajua ndo star wabongo ninaye mkubali wengine waganga njaa tu
Usimfananishe Samagoal na wehu! Samatta ni Mshindi wa Klabu Bingwa.Bora yule Giroud atoke pale Arsenal aingie Samatta