Historia Tanzania: Twitter account ya UEFA Europa waposti picha ya Mbwana Samatta

Historia Tanzania: Twitter account ya UEFA Europa waposti picha ya Mbwana Samatta

Huyu jamaa ni fighter sana. Namtakia kila la kheri.
 
na

we fanya mambo uliletee sifa taifa lako acha siasa
Mkuu mbona una mawazo kama Bashite!!! Hapo kipi kilichokufanya uje kutoa ushauri ambao hata Samata hapo alipofikia hajawahi kupewa.

Naamini kwanza katika kuangalia maisha yangu binafsi halafu taifa baadae kwani Taifa mimi limenipa sifa gani mpaka sasa hivi ili kunishawishi na mimi nirudishe hisani?
 
Safi sana kwa kuwafungulia njia vizuri vijana wetu, sasa waige mfano mzuri kutoka kwake sio kulewa sifa za SIMBA na yanga
 
Mkuu mbona una mawazo kama Bashite!!! Hapo kipi kilichokufanya uje kutoa ushauri ambao hata Samata hapo alipofikia hajawahi kupewa.

Naamini kwanza katika kuangalia maisha yangu binafsi halafu taifa baadae kwani Taifa mimi limenipa sifa gani mpaka sasa hivi ili kunishawishi na mimi nirudishe hisani?
mawazo tegemezi hayo ok endelea kumuwaza bashite
 
madee: hakuna jipya uefa kupost picha yake...ni kawaida tu( in madee voice)
 
Itasikia tu siku c nyingi... jamaa hakukamilisha taratibu za uhamisho... anatakiwa arud nchini kwake..... fitina zinatuponza saaana
 
Back
Top Bottom