Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Usipende kwenda VIJIWENI.ndiyo huwa napita kila mahali nipate story za kuhadisia kijiweni
Kule VIJIWENI mtabambikiwa kesi kama ya Vanessa Mdee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kwenda VIJIWENI.ndiyo huwa napita kila mahali nipate story za kuhadisia kijiweni
nitapunguza rafikiUsipende kwenda VIJIWENI.
Kule VIJIWENI mtabambikiwa kesi kama ya Vanessa Mdee.
Sa kesho usiende VIJIWENI, twende tukashabikie timu yangu!nitapunguza rafiki
umefikia hatua ya kuongea pumba sasa acha kufananisha messi na upuuuzi......samatta anajua ila usimgrade kwa level hizo za messi tutaku sue kwa kifungu cha sheria kisichojulikana....huyu kijana sio wa dunia hii.......inabidi waondoke na messi wakacheze soka na ma allien ndio level zao
Big up kijana wa Msimbazi.. Siku zote tutajivunia wewe.
Big up kijana wa African lion no sorry ni Tipi mazembe nimekoseaBig up kijana wa Msimbazi.. Siku zote tutajivunia wewe.
Hahahaaaaaaaa naona mahaba yamekulevya mkuu.Bora yule Giroud atoke pale Arsenal aingie Samatta
ndo nini umeandikaTumaini pekee lililobaki huku kwa sizonje hali mbaya uncle samatta Tanzania oyeeee simba oyeeeee tanga oyeeeee![emoji23]
Usije ukanipunguza mpaka miminitapunguza rafiki
wewe sikupunguziUsije ukanipunguza mpaka mimi
Nakupendea tu Chagga babywewe sikupunguzi
nakupenda zaidi aiseeeNakupendea tu Chagga baby
(ndo=ndio ) we umeelewa nini au ndio kujitoa akilindo nini umeandika
Hahahaahahaha 7bu watz sio fighterz hivyohivi huyu samata si ni mkenya!??
hahahahahahha
TZ wanamuwaza bashite,wema na jpm,,unategemea niniHahahaahahaha 7bu watz sio fighterz hivyo