Historia Tanzania: Twitter account ya UEFA Europa waposti picha ya Mbwana Samatta

Historia Tanzania: Twitter account ya UEFA Europa waposti picha ya Mbwana Samatta

huyu kijana sio wa dunia hii.......inabidi waondoke na messi wakacheze soka na ma allien ndio level zao
umefikia hatua ya kuongea pumba sasa acha kufananisha messi na upuuuzi......samatta anajua ila usimgrade kwa level hizo za messi tutaku sue kwa kifungu cha sheria kisichojulikana....
 
Tumaini pekee lililobaki huku kwa sizonje hali mbaya uncle samatta Tanzania oyeeee simba oyeeeee tanga oyeeeee![emoji23]
 
Tunahitaji samatta wengine kama kumi hivi

[HASHTAG]#WelldoneSamatta[/HASHTAG]
 
Hana matatizo yupo sahihi, samatta angekuwa anatokea timu ilee asingeuzwa tp mazembe maana hawana tabia ya kuuza wachezaji.
 
Abbas Pira at Kiss FM Dar es Salaam on Mbwana Ally Samatta

Tanzanian born Abbas Pira a Former Chelsea Fc, Birmigham City, Mk Dons, Colchester United, Leyton Orient Fc Trialist


Source: Jabir Johnson

Interview with Abbas Pira, on the need of Tanzania to have proper strategy to turn Serengeti Boys into international football players

Source: Sebastian Kolowa
 
Back
Top Bottom