Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. Uganda haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. Uganda haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

Kuna mtu ana softcopy ya kitabu cha THE STATE OF BLOOD kilichoandikwa na Henry Kyemba, Waziri wa zamani kwenye serikali ya Idi Amin? Naomba nisaidie nipate kusoma.
 
Fashist alikuwa nduli kweli gwiji wa ndumba na ulozi akajikoroga kwa Waisrael wakamnyoosha
 
Kuna mtu ana softcopy ya kitabu cha THE STATE OF BLOOD kilichoandikwa na Henry Kyemba, Waziri wa zamani kwenye serikali ya Idi Amin? Naomba nisaidie nipate kusoma.
Sidhani kama unaweza kupata Soft copy.
Labda ununue kwenye mtandao - Amazon.
Mimi ninayo hard copy, ungekuwa jirani nami ningekuazima.
 
Hakuna viashiria vyovyote vilivyowahi kuoneshwa wazi kwamba idd amin aluwahi kuwa na interest na kagera hakipo! Hizo ni story za kupikwa na ikawa chanzo cha yy kutoka madarakani! Ukielewa mauwaji ya kimbali ya mwaka 1994 basi utakuwa unaelewa na hili
Bad thing ni kusema hichi sio kweli bila kuwa na ushahidi wowote, wala kuonesha ukweli ni upi.
Na hii ni Tabia ya watanzania tulio wengi.
 
Pia walitundisha kwamba eti KAMBONA kaolewa uingereza kwenye Ile nyimbo kisa tu hakukubaliana na mawazo yao ya kijamaa.

Cha ajabu mawazo ya Sasa tunayoyaishi ndio alioyokuwa nayo KAMBONA 1960'S

JUST IMAGINE tungefuata mawazo ya KAMBONA miaka Ile.

Kuingia jeshi vitani vita ya kijinga Yan kutafuta misifa wakati diplomasia tu ingeweza tumika. Kumeturudisha nyuma kama TAIFA kiuchumi hadi Leo effects zake tunaziishi.

Pengine this time hii nchi ingekuwa superpower hapa AFRICA Ikila sahani Moja na misri, Nigeria, na south Africa.

Leo hata hata wachimbachumvi wakenya hatuwawezi.

Na zaidi viongozi wengi tuliona nao Sasa wanajenha dynasties za kiuchumi za kifamilia zao kwanza.

Damn it
Wajinga nao wanazeeka kumbe.
 
Kwa nini alivamia kagera na kwa nn alikua anatesa na kuua watu wake kwenye gereza za la mateso
 
Bad thing ni kusema hichi sio kweli bila kuwa na ushahidi wowote, wala kuonesha ukweli ni upi.
Na hii ni Tabia ya watanzania tulio wengi.
Tupe ushahidi wa hayo wewe sasa! Nimesema hakipo na nikwasababu hakipo
 
Kulikuwa na haja gan kuivamia Kagera , mi nafkr madikteta wengi huwa Wana uchungu na nchi zao Ila huwa wanakosa akili na busara , nafkr ghadafi alikuwa Bora sana
Ghadafi hakuwa dikiteta bro
 
1. Idd Amin Uganda
1725347023387.png



  1. Idi Amin (Uganda, 1971-1979): Idi Amin's rule in Uganda was marked by extreme violence, oppression, and human rights abuses. He engaged in mass killings, torture, and persecution of political opponents and ethnic minorities. Amin's regime was characterized by a reign of terror, and his actions led to the deaths of an estimated 100,000 to 500,000 people.

2. Mobutu Sese Seko (Democratic Republic of the Congo, 1965-1997):

3. Robert Mugabe (Zimbabwe, 1980-2017):

4. Hissène Habré (Chad, 1982-1990):

Ongeza
 
wapo watawala wa zama hizi wamefanya uyama zaidi ya hizo nyimbo ulizokaririshwa za idd amin, head up.
 
Back
Top Bottom