Historia ya Bahima empire ni ipi?

Historia ya Bahima empire ni ipi?

Hima wamechanua sana Uganda kiuchumi kwa jina hilo hilo.

Hapa kwetu chizi wetu ni mtu wao ndiyo maana kapewa bomba la mafuta pamoja na kutokidhi mikokotoo ya kiuchumi.
 
Nasikia hata kale kadikteta uchwara ketu ni sehemu ya bahima empire, ila tukipata uhakika tutachukua hatua za kukatoa
 
Kwa hiyo mnataka kuniambia hili li chama letu linaongozwa kutoka Rwanda na Uganda?Basi kweli ndio maana wanapenda watanzania wote wawe kama yule jamaa wa gods must be crazy ili uwe mzalendo
 
tanzania bahima wako karagwe ,ngara,kigoma na bukoba


mimi nmezaliwa na kukulia Karagwe mpakani mwa Tanzania na uganda (near Murongo boarder) kandokando ya mto Kagera. hili ni eneo ambalo linakaliwa sana na mchanganyiko wa makabila ya watu kutoka nchi za maziwa makuu yaani Batutsi, bahutu from rwanda, barundi from burundi, banyankole, baganda and bachiga, barela from uganda, bakongo from DRC,etc. Padre Privatus Karugendo aliwahi kuelezea short history ya BAHIMA na chimbuko lao kwenye moja ya makala zake kwenye gazeti la Raia Mwema. Kihistoria kuna tofauti kati ya hao BAHIMA na BATUTSI ukisoma kitabu cha THE SHORT HISTORY OF TANGANYIKA ; Bahima( pastoralists) waliingia eneo la maziwa makuu na kujipenyeza mpaka kaskazini magharibi mwa tanzania miaka mingi hta kabla ya ujio wa wakoloni. Kuna nadharia kwamba ukitrace chimbuko la BAHIMA utakuta asilimia kubwa ya wakazi wa wilaya za KARAGWE, KYERWA NA NGARA ni jamii ya watu hao ingawa bahima wenyewe ni pastoralists in nature wakati wakazi wa wilaya tajwa hapo juu ni wakulima na wafugaji, hapa tunapata watu wengine amabao ni BAHIRU ambao kiasili ni Cultivators , wenyewe hawa ndio wabantu wa asili wa eneo hilo (Rejea historia ya BUNYORO KITARA uone 'batembuzi', 'bahima', 'bahiru', 'bachwezi', 'batwarwa' na 'batwazi'). Nadharia nyingine inaelezea kwamba asili ya wakazi wa eneo la maziwa makuu hususani Ankole,Buganda,Toro, bunyoro, karagwe na Buhaya(bukoba) ni BUNYORO KITARA nchini Uganda (Rejea kitabu cha Prof, Israel Katoke, THE MAKING OF KARAGWE KINGDOM). Nijuavyo mm, wakazi wengi wa Karagwe na Kyerwa hawajui kutofautisha kati ya Bahima na Batutsi... wanawaita wote kwa pamoja 'Bahima' ( abhahima) means, the pastolalists from RWANDA with tutsi bood in nature. Niko nafanya utafiti, hivi soon ntawafahamisha hii Bahima empire ni nini, chimbuko lao ni lipi? Je, bahima ndio batutsi? vipi kuhusu kuwepo kwa sehemu inaitwa Mpororo kingdom ambayo ndio inasadikiwa kuwa chimbuko la Bahima empire? vipi kuhusu mambo ya Museveni na Kagame kuhusu mpango wa kuendeleza Bahima empire?....n.k. ILa ukitaka kufahamu vizuri hii dhana ya Bahima empire kwanza ni vizuri ukajua kuhusu:
-The Kingdom of Bunyoro Kitara.
-Karagwe kingdom.
-The kingdoms of Ankole, toro and Buganda
.
-The kingdoms of Rwanda-Urundi.

NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK.
 
Kwa wale walio karibu na Kagame na Mseveni wanaweza kukupa majibu maana chimbuko liko maeneo hayo .


Kuna sehemu mpakani mwa UGANDA na RWANDA kama siyo ISINGIRO district ni NTUNGAMO district kuna sehemu inaitwa MPORORO hapa ndo inasadikiwa kwamba zamani ilikuwepo MPORORO kingdom ambayo ndiyo chimbuko la Bahima kingdom. kipindi cha vita ya Kagera MUSEVENI alikuwa anajificha kwenye pango eneo linaitwa 'Kabusha" wilayani KYERWA mkoani Kagera na kikundi chake akina kanali OYTE OJOK. ili kundi lilikuwa na Batutsi wengi mno na hili eneo mpaka sasa linakaliwa na watutsi. baadaye akiwa katika vita ya msituni ya kumuondoa TITO okello Rutwa alilitumia hili eneo na kundi lake la wahasi miaka ya 1980s pia katika kijiji cha Nyamiyaga wilayani kyerwa amejenga shule ya Nyamiyaga sec. school km kumbukumbu pia kuwashukuru wanakijiji waliomficha kipindi anawindwa na wapinzani wake. Kagame pia alikuwa miongoni mwa askari wa mseveni kummg'oa Tito Okello. Hawa wote chimbuko lao ni hapo Mpororo na ndio maana wanataka kuendeleza Bahima empire. vijiji vya kaisho, nyamiyaga, kibare, mabira , isingiro, nkwenda na kihanga wilayani Kyerwa pia na kijiji cha Bushangaro wilayani karagwe asilimia kubwa ni asili ya Bahima. They are not likely the Banyambo as many people think them of.
 
Mmmm nimejarb sana kuunganisha dot, aisee kuna ukweli flan kbsa, nina demu wangu wa kitusi sa nyingne kuna baadh ya maswali ananiuliza chini chini(hayahusian kbsa na mahusiano) hua simjibu naonaga ni nonsense nampotezea, ila inabd nianze kuyafuatilia sasa, kuna kitu
 
c programming ukitrace back wahima ,watutsi,banyamulenge wametoka ethiopia lakini inasemekana ni wana wa israel angalia pua zao,wale sio wabantu nadhani ni nilo hamit au hamit not sure,nikisema waisrael nadhan unaelewatwalivyo na akili
Kwani Jamii yoyote ambayo siyo Wabantu ndo Waisraeli? Kwa hiyo na Wasandawe nao tuwaite Waisrael kwa vile tu siyo wabantu?
 
Jamani hii story niliwahi kuisikia kipindi cha Mtikila kuhusu Dola ya Bahima lakini historia yake hadi leo sijaifahamu ilianza mwaka gani, ni nani aliianzisha lakini pia ni wapi inapopatikana wapi.

Kuna tetesi niliwahi kusikia ipo Rwanda, mara Uganda, mara ipo kanda ya Ziwa, mara ipo Congo, mara Burundi, mara Ethiopia.

Anyway tuyacheni hayo yote mimi ningependa kufahamu ipi historia ya Bahima empire

IMG_6249.jpg
 
c programming ukitrace back wahima ,watutsi,banyamulenge wametoka ethiopia lakini inasemekana ni wana wa israel angalia pua zao,wale sio wabantu nadhani ni nilo hamit au hamit not sure,nikisema waisrael nadhan unaelewatwalivyo na akili
KWANI WAISRAELI NI NILO HAMITES?
 
Back
Top Bottom