TUKIWA TUNAENDELEA KATIKA HISTORIA HII YA REVOLUTION YA PESA YA KIDIGITALI ama CRYPTOCURRENCY pia tukaona zipo za aina nyingi kama vile Zcash,Monero,Dash,Ethereum
na Bitcoin (BTC) yenyewe ikiwa ndio coin yenye thamani kubwa zaid.
Leo kuna vitu vitatu ningependa kuvizungumzia ambavyo vitasaidia sana katika kujua nini hasa tunaweza kufanya ili kunufaika ama kufaidika na mabafiliko haya.
1.Buying and Holding bitcoin.
2.Buy and Sell through currency trading.
3.Mining with a bitcoin mining entity.
Sehemu hizi tatu kwa mtu anayetaka kupata faida katika utandawazi huu hakika hawezi kutoka kapa ifikapo mnamo mwaka 2019-2020 ni lazima atakuwa mtu mkubwa ki uchumi kuliko alivyodhani. Basi fatana nami Elite wa Geita tuchambue taratibu juu ya mambo haya.
1.Buy and Holding hii ni mojawapo ya shughuli unayoweza kufanya kupitia utandawazi huu yaani Kununu na kutunza Bitcoin(BTC) zako, utafanya vipi?
Unaweza kununu BTC kwa kutumia pesa yeyote kutokana na sehemu/nchi husika kwa kubadilishana na mtu mwenye BTC, unapotaka kuanza kununu ni muhimu kuwa na bitcoin wallet ambapo itakua ndio sehemu yako itakayohifadhi BTC zako pindi utumiwapo baada ya manunuzi hayo nayo unaweza kuipata kwa kutembelea
www.blockchain.com baada ya hapo utatembelea sehemu husika inayojishughulisha na manunuzi au uuzaji wa bitcoin ambapo utakutana na watu mbali mbali wanaojihusisha na maswala haya mfano ukienda kwenye
www.localbitcoins.com ama
www.bitpesa.co hapo utakutana na watu sahihi.
Baada ya kununua utazitunza BTC zako mpaka pale utakapoona ni muda sahihi wa kuuza au kununu bidhaa kwa kulipa kwa bitcoin amabapo tayar thamani ya BTC yako itakua juu zaid. Mfano leo hii 1btc = 9,407,695.59 Tsh kwa muda huu bila shaka kufika jion ama kesho ama week ijayo pengine mwakani ukapata 1btc = 20,000,000 Tsh sasa faida yake ni kuwa wewe ulinunua kwa 9m ila sasa unabitcoin zenye thaman ya 20M sio tena 9m.
2.Buy and Sell through currency trading;- hapa pia unaweza kufanya shughuli ya kununua na kuuza BTC kwa kununua na kuziuza kwa pesa kubwa zaid ya ulivyonunulia tukumbuke tumeona kuwa thaman ya BTC inabadilika hivyo utakaponunua wakat wa kuuza lazima utauza kwa bei tofaut either kwa faida ama kwa hasara. Na sehemu husika za kuuzia ama kununua ambazo ni salama na zinatambulika zipo hapo juu nimekwisha zionesha.
3.Mining with a bitcoin Mining entity ;- hapa pia naomba nitilie mkazo zaid maana ni moja ya sehemu ambayo unaweza kupata faida kubwa kubwa mpaka ukashanga na kwa kipindi kifupi ukawa ni mtu mwenye kipato cha juu sana je inakuaje hapa?
Ifahamike kuwa kuna baadhi ya makampuni yanayo jishughulisha na swala la Bitcoins Mining Operation mojawapo ni BitclubNetwork kwa website yao ya
www.bitclubnetwork.com utaona hayo.
Ila naomba nitoe angalizo pamekua na makampuni mengi yakisema yanafanya shughuli hii ya bitcoin mining na watu wengi wamekua wakitapeliwa pesa zao na kupotezewa muda pia, Mfano nimewahi kusikia watu flani walilizwa na kampuni kama la BITCLUB ADVANTAGE labda nikushauli jambo usijarbu kuingia kwenye sehemu hizo tunazoita Scams jambo moja nikushauli mtu yeyote akikwambia kampuni linafanya shughuli hii ya bitcoin mining hakikisha umeingia kwenye website inayoyatambua makampuni haya na yapo legit ambapo ni lazima ulikute kwenye list ya makampuni hayo mfano wa site hizo ni
Hashrate Distribution
Bitcoin Venture Capital Funding
Cryptocoin price index and market cap - WorldCoinIndex
Usipokuta hilo kampuni humo basi kuwa muangalifu.
Je unafaidika vipi? Mara nyingi huwa ni kwa kununua hisa kwa kiasi flani cha pesa ambapo unakua mwana hisa wa kampuni hiyo baada ya hapo unakua unanufaika na gawio lao la Bitcoin ambazo utakuwa ukitumiwa kila siku kama sehemu ya faida mfano ukianza na 0.00000 btc baada ya muda utakua na kiwango kadhaa cha bitcoin kutokana na gawio lako la kila siku baada ya kuwekeza.
Labda niwakumbushe jambo mwanzoni mwa ugunduz wa teknolojia mbali mbali tumeona wengi wetu tulijikuta tumekua watumiaji tu wa kawaida wala si wanufaikaji wa kipato kutokana na mauzo ya teknolojia hizo kumbe kama tungeweza kuwekeza ama kununua hisa kwenye moja ya makampuni husika nasisis tungekua wanufaikaji wa moja kwa moja kupitia faida za mauzo zinazofanya kampuni hizi na hivi leo tungekua mbali sana.
Hebu tuangalie teknolijia hizi mbali mbali na jinsi zilivyotoa fursa za kipato kwa wawekezaji wake.
Tecknologian ambazo mpaka sasa ivii zipo na zote unatumia lakini hakuna ata moja ambayo mimi na wewe tuna(shares) hisa
1.Nikianza na Teknolojia ya Television (Tv)
kwenye hii teknolojia kulizaliwa fursa nyingi mfano makampun ya hitachi,panasonic,samsung,televisin stations kama itv,vingamuzi,ajira kama waandishi wa habari n.k
2.Internet
Kipind cha zamani matajiri ndo walikuwa wanaeza pata taarifa nyeti lakini sasa ivi kila mtu ana uwezo huo,so makapuni kama google ya sasa ivi yakaibuka n.k
3.E commerce,maduka ya online kama ebay,amazon n.k
4.Mobilee phone,ndo kuna htc,iphone na vitu vingi sana kwenye simu vipo
5.Emails.
Hebu jiulize mara ya mwisho kutuma barua na stamp ni lini,apa ndo yahoo,hotmail,Gmail zikatokea,soko pa posta likafa
6.Social Network
Facebook,whatsapp,instagram,Eskimi,Telegram n.k
7.Na ya sasa ivii ni digital currency ambapo ndipo unapata hizo Cryptocurrency kama Zcash,Monero,Dash na Bitcoin.
Je? Upo tayari na Fursa hii ikupite? Mimi sijui utaamua vipi lakini ninahakika ukiamua unaweza kuwekeza na kupata faida kama vile watu waliowekeza kwenye teknolojia zile za mwanza kwa kufungua kampuni na kuwa wasambazaji au kwa kununua hisa kwenye kampuni na kunufaika kwa sehemu mpaka hivi leo.
TUKUTANE SIKU NYINGINE KWA MUENDELEZO WA MAKALA HII ILA KWA SWALI LOLOTE USISITE KUULIZA AMA KUNIFATA INBOX IKIWA UNAHITAJI MAELEZO ZAIDI KWA UPEKEE.