TotoMarley
Member
- Feb 12, 2018
- 7
- 7
Nikikuita wewe ni zaidi ya professor utakataaBitcoin zinapatikana kwa kumine kwa kutumia hardware mbali mbali kama antiminer s9 ambazo zinakuwa connected na pc na pc inakuwa connected na internet n.k ukitaka kuelewa zaidi unaweza kugoogle/youtube au subiri wajuzi zaidi wajeView attachment 643752
[emoji23][emoji23] umenikumbusha advance watu walikuwa wananiita docta ila uproffessor bado sanaNikikuita wewe ni zaidi ya professor utakataa
[emoji23][emoji23] umenikumbusha advance watu walikuwa wananiita docta ila uproffessor bado sana
unaweza kuingia remitano.com
And how fast I can sale in case nahitaji kuuza faster. Kuna madalali
Na hii ina tofauti gani na alibaba
Juzi juzi tu ilianguka kutoka dola 20,000 ikawa less than 10,000$.Bitcoin nayo sio salama kama unavodhani (biashara kichaa). Bado bei yake inaweza kuathiriwa na sheria za wanasiasa wetu. Kwa mafano kipindi cha kuanzia mwanzoni mwa desemba 2017 bei yake ilikua 'around' usd 20,000 kwa 1btc. mwezi wote wa desemba na januari bei iliporomoka hadi kufikia 'around' usd 7,000 kwa 1btc japo sasa inaanza kupanda iko 'around' 10,000.
Sababu kubwa ya anguko hilo ni baadhi ya nchi kubwa ambazo raia wake walikua watumiaji wakubwa (India, korea na china) kipiga marufuku utumiaji wa sarafu hiyo.
Si walionywa lakini tangu mwanzo kuhusiana na hii sarafu. Acha waisome nambaWawekezaji wadogo wa sarafu ya bitcoin wapo katika wakati mgumu hivi sasa na wiki ya tatu hii sarafu imeshuka thamani hadi baadhi ya ya viongozi wao wa juu kuanza kujitoa kwenye sarafu hii ni majonzi makubwa