Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu


And how fast I can sale in case nahitaji kuuza faster. Kuna madalali

Na hii ina tofauti gani na alibaba
unaweza kuingia remitano.com
au localbitcoins.com unapata hela yako chapchap kwa mpesa, tigo pesa airtel money n.k
 
Akili yangu ilishajigomea kuyaelewa haya madude na akili yangu huwa ina tabia hizo dhidi ya mambo yasiyo na tija wala uhalisia.
 
Bitcoin nayo sio salama kama unavodhani (biashara kichaa). Bado bei yake inaweza kuathiriwa na sheria za wanasiasa wetu. Kwa mafano kipindi cha kuanzia mwanzoni mwa desemba 2017 bei yake ilikua 'around' usd 20,000 kwa 1btc. mwezi wote wa desemba na januari bei iliporomoka hadi kufikia 'around' usd 7,000 kwa 1btc japo sasa inaanza kupanda iko 'around' 10,000.

Sababu kubwa ya anguko hilo ni baadhi ya nchi kubwa ambazo raia wake walikua watumiaji wakubwa (India, korea na china) kipiga marufuku utumiaji wa sarafu hiyo.
Juzi juzi tu ilianguka kutoka dola 20,000 ikawa less than 10,000$.
Na sababu kubwa ni hawa wawekezaji wadogo yani wale wenye mitaji midogo.
Kupanda na kushuka kwa pesa ni jambo la kawaida na mwekezaji mkubwa anayejua anayejua undani wa bitcoin na biashara ya fedha haiwezi kumshtua lakini hawa wawekezaji wadogo ikishuka tu wanakimbilia kuondoa mutaji yao jambo linaloifanya izidi kushuka na kushuka zaidi maana wanaondoa pesa zao kwa wingi wakiogopa kula hasara zaidi na hapo ndipo wanaifanya ishuke zaidi na zaidi.
 
Wawekezaji wadogo wa sarafu ya bitcoin wapo katika wakati mgumu hivi sasa na wiki ya tatu hii sarafu imeshuka thamani hadi baadhi ya ya viongozi wao wa juu kuanza kujitoa kwenye sarafu hii ni majonzi makubwa
 
Wawekezaji wadogo wa sarafu ya bitcoin wapo katika wakati mgumu hivi sasa na wiki ya tatu hii sarafu imeshuka thamani hadi baadhi ya ya viongozi wao wa juu kuanza kujitoa kwenye sarafu hii ni majonzi makubwa
Si walionywa lakini tangu mwanzo kuhusiana na hii sarafu. Acha waisome namba
 
Ingia remitano.com au localbitcoin.com tumia $ zako nunua BTC
 
Huwezi ukaelewa muelekeo Wa Bitcoin usipotambua hidden factors zinazoiendesha bei ya Bitcoin.

Unapaswa utambue pia key players ikiwa ni pamoja na kujua Psychology ya hawa key players.
 
Back
Top Bottom