Naomba mwenye uwezo na uzoefu wa hii biashara iliyo tapakaa katika kila kundi la whatssap atujuze ukweli
Kwa usawa huu maisha yalivyo tight na wanavyo tutamanisha hata kama ni matapeli wanakaribia sana kunasa fedha yangu.
Naomba wana jukwaa mwenye kujua hii biashara atufahamishe
BITCLUB ADVANTAGE (faida)
karibu bitclub advantage
uwekeze kwa faida
*IFAHAMU BITCLUB ADVANTAGE NA FAIDA ZAKE*
HII ni kampuni ya kimataifa inayofanya biashara ya ubadilishaji wa fedha dijitali (crypto currencies exchange)
Imelenga katika kutumia teknolojia maalumu inayowawezesha kupata faida kubwa na kugawana faida hiyo na wajasiriamali waliowekeza mitaji yao katika kampuni kwa muda wa wiki 52. Mwekezaji ataweza kutengeneza faida hadi 300% ya uwekezaji wake.
*Tofauti ya Bitclub Advantage na kampuni nyinginezo ni:*
[emoji67][emoji264]Hakuna bidhaa za kutembeza au kuuza ndio ulipwe
[emoji51]Hakuna malipo ya kianzio (starter pack) bali pesa yote unayowekeza ni sehemu ya mtaji wako
[emoji39] Makato ya kila mwezi (monthly fee) ni chini ya 2.6% ya kifurushi chako
[emoji39]Vifurushi 7 vyenye gharama kuanzia $25 hadi $1999 hivyo kila mtu anaweza kuingia.
Kiwango cha chini cha kutoa (minimum withdraw) ni kuanzia $10 hadi $300 kulingana na ukubwa wa kifurushi.
[emoji651]Hakuna kiwango cha mwisho cha juu (maxmum withdraw) cha kutoa fedha zako.
Kushirikisha wengine ni hiari yako
[emoji536]Huhitaji kufungua ofisi au kuacha kazi yako ya sasa.
Ili kuanza uwekezaji wako chagua kati ya vifurushi vifuatavyo:
(malipo yanayoonyeshwa ni bila kumshirikisha yeyote, iwapo utashirikisha wengine (networking) utalipwa bonus nyingi sana)
*PACKAGES Pamoja na MALIPO YAKE* (bei zilizoonyeshwa ni pamoja na transfer charges na pia zinaweza kubadilika kutokana na thamani ya $ kwa wakati husika)
1. *CLIENT PARTNER* :: 30$ (67,500tshs)
UNALIPWA $1.4 (3150Tshs) KILA WEEK,
$6.16)13,860Tshs KWA MWEZI
2. *CLIENT BASIC* : 55$ (123,750tshs)UNALIPWA $2.8(6,300tshs)/KILA WIKI,
$12.32(27,720tshs)/KWA MWEZI
3. *CLIENT BRONZE* :110$ (247,500tshs) UNALIPWA $6.75 (15,180tsh)/KWA WIKI,
, $29.7(67,000Tsh)/ KWA MWEZI.
4. *CLIENT SILVER* :270$ (607,500tshs) UNALIPWA $16.93(38,100tshs)/ KWA WIKI, $74.5(167,630tshs)/ KWA MWEZI
5. *CLIENT GOLD* :550$ (1,237,500tshs) UNALIPWA KWA WIKI $33.93(76,340 tshs) UNALIPWA
$149.3 (336,000tsh)/ KWA MWEZI
6. *CLIENT PREMIUM* :1060$ (2,385,000tshs)
UNALIPWA, $67.93(152,800tshs) /KWA WIKI , $298.9 (672,500tsh) KWA MWEZI
7. *CLIENT BLACK*: 2060$ (4,635,000tshs) UNALIPWA, $153.92(346,300tshs)/ KWA WIKI, $677.26(1,501,000tshs)/KWA MWEZI
NB:1 usd = 2,250tshs
MALIPO HAYO UTALIPWA HATA BILA KUMSHIRIKISHA MTU YEYOTE. UKIMSHIRIKISHA MTU HAPO NDO Unapata FAIDA ZAIDI MAANA KUNA *AINA 5 ZA BONUS* ZITAKAZOKUHAKIKISHIA KIPATO KIKUBWA SANA AMBACHO HUJAWAHI KUWAZIA (amini usiamini Ingia huku utajionea)
(1) direct bonus
(2)indirect bonus
(3)binary bonus
(4)daily commission
(5) points kwaajiri ya zawadi[emoji91][emoji91][emoji123]
KARIBU TUKUZE KIPATO NA Tutengeneze faida maradufu kwa BIASHARA HII YA KARNE YA 21 YA CRYPTOCURRENCY TRADING KUPITIA KAMPUNI YA BITCLUB ADVANTAGE.
Kumbuka, Mkataba na bitclubadvantage ni wa mwaka mmoja (52weeks)kwa kila kifurushi utachokinunua
Pakua PDF PRESENTATION hapa[emoji116]
https://bitcoins.bitclubadvantage.com/downloads/bitclub_2017_en.pdf
Usipitwe na fursa hii..