Historia ya Daraja la Selander la Jijini Dar es Salaam

Historia ya Daraja la Selander la Jijini Dar es Salaam

8990485413_a44631ba4a_z.jpg
 
Pale Sealander kuna madaraja mawili. La zamani nadhani lilijengwa mwaka 1957 na likapewa jina la aliyekuwa Director of public works sawa na waziri wa ujenzi Sir John Sealander.
La pili nadhani lilijengwa mwaka 1984 kwa ufadhili wa Japan.
 
View attachment 952588

Selander Bridge almaarufu kama “Daraja la Salenda” lililopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam, Tanzania linaunganisha kaskazini magharibi mwa jiji la Dar es Salaam na mjini kati na maeneo jirani ya Kinondoni na Oyster Bay.

Daraja hili lilijengwa mwaka 1929 na lilipewa jina lake kumuezi Ndg. John Einar Selander, ambaye alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Tanganyika Public Works.

Daraja linaloonekana kwa sasa ni matokeo ya uboreshaji uliofadhiliwa na JICA mwaka 1980.

View attachment 940307
View attachment 940306
View attachment 940305
Asante kwa taarifa nzuri! Naomba tujuzwe connection ya Sweden katika hilo daraja?? Asante.
 
Babu umenikumbusha aisee,.

Hilo daraja ni funika kabisa kwa ubora, gari za aina zote zenye mizigo tofauti yenye uzito tofauti zinapita humo.

Na hilo lilijengwa lini? Mkandarasi/ Engineer wake alikuwa nani?
Wami lilijengwa tangu 1959 lakini mpaka Leo limesimama imara tu
 
Umejibu kifasaha sana. Ni daraja la kawaida kabisa. Na kuna wakati kama kumbukumbu ziko sawa maji yalishawahi kupita juu yake... water tide ilikuwa juu...

Mi daraja ninalolivulia kofia ni daraja la mto wami. Daraja kongwe na jembamba lipitishalo matani ya mizigo bila kutetereka.
Picha tafadhari
 
View attachment 952588

Selander Bridge almaarufu kama “Daraja la Salenda” lililopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam, Tanzania linaunganisha kaskazini magharibi mwa jiji la Dar es Salaam na mjini kati na maeneo jirani ya Kinondoni na Oyster Bay.

Daraja hili lilijengwa mwaka 1929 na lilipewa jina lake kumuezi Ndg. John Einar Selander, ambaye alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Tanganyika Public Works.

Daraja linaloonekana kwa sasa ni matokeo ya uboreshaji uliofadhiliwa na JICA mwaka 1980.

View attachment 940307
View attachment 940306
View attachment 940305

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Back
Top Bottom