Historia ya Daraja la Selander la Jijini Dar es Salaam

Pale Sealander kuna madaraja mawili. La zamani nadhani lilijengwa mwaka 1957 na likapewa jina la aliyekuwa Director of public works sawa na waziri wa ujenzi Sir John Sealander.
La pili nadhani lilijengwa mwaka 1984 kwa ufadhili wa Japan.
 
Asante kwa taarifa nzuri! Naomba tujuzwe connection ya Sweden katika hilo daraja?? Asante.
 
Babu umenikumbusha aisee,.

Hilo daraja ni funika kabisa kwa ubora, gari za aina zote zenye mizigo tofauti yenye uzito tofauti zinapita humo.

Na hilo lilijengwa lini? Mkandarasi/ Engineer wake alikuwa nani?
Wami lilijengwa tangu 1959 lakini mpaka Leo limesimama imara tu
 
Picha tafadhari
 

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…