Historia ya Dkt John Pombe Magufuli

Kwa nn Magufuli alifukuzwa seminari ya wakatoliki wenzake alikokuwa akisoma?
 
Kwani kufukuzwa shule kunaathiri chochote kwenye historia yake.
Au mimi sijaelewa
SANA TU huwa yanajirudia
kwani hata Mkiti wa CCM Mkoa wa Mwanza antony Diallo alisema tusirudie kuwachagua watu waliopitia Mirembe
 
SANA TU huwa yanajirudia
kwani hata Mkiti wa CCM Mkoa wa Mwanza antony Diallo alisema tusirudie kuwachagua watu waliopitia Mirembe
Kwani kufukuzwa shule ndio kupita milembe? Kwanza sisi tunaamini huo ndio umwamba
 
Kwani kufukuzwa shule ndio kupita milembe? Kwanza sisi tunaamini huo ndio umwamba
mm nilidhani namuelimisha mtu kumbe mtoto MFU
hao viongozi wa chama kilichokosea mpaka leo wanajuta wakati walijua ni Mirembe wewe unasema milembe kweli hujui kitu hapa, upo km msukule, ukikua utaelewa vizuri
 
Kumbe hujui hata historia uliyoiandika mwenyewe! Mwaka 1975 alijiunga seminary ya Katoke huko Mkoa wa Kagera, ilikuwaje akahamia Lake Secondary ambayo ni ya serikali mkoa wa Mwanza akiwa form 4? So sad hujui halaf bado unabisha...Kama hujui uliza!!!
Lake Secondary sio ya Serikali!
 
Kunaathiri maana yake huyu alionekana mbele ya viongozi wa kanisa lake kuwa hafai
Huenda walitaka afanye wanayo taka wao kwa mfano swala la wito, huku wanaweza kukufanyisha kazi ngumu eti kisa ni wito.
Hivyo mateso hayo aliyakataa yeye
 
View attachment 1928086 mm nilidhani namuelimisha mtu kumbe mtoto MFU
hao viongozi wa chama kilichokosea mpaka leo wanajuta wakati walijua ni Mirembe wewe unasema milembe kweli hujui kitu hapa, upo km msukule, ukikua utaelewa vizuri
Wanao sema hivyo labda walikuwa nae huko.
Ila najua unajua kazi yake
 
Muulize marehemu aliwezaje?
itakua wamemsingizia maana zamani private zilikua zinaitwa shule za kufeli ,government ndio waliofaulu sasa hata sasa huwezi kutoka private kwenda government
 
itakua wamemsingizia maana zamani private zilikua zinaitwa shule za kufeli ,government ndio waliofaulu sasa hata sasa huwezi kutoka private kwenda government
Hilo nalo neno
 
Mleta uzi nimepita hapa shekilango road sinza ...kati ya vitu vinanifanya nimmiss ni hizi barabara

Yaan sinza kumekuwa kutamu balaa ni unaslide tu, sawa ni hela za kodi yetu but namshukuru Kwa utekelezaji
Barabara za Dar, Magu kateleza na ganda la ndizi tu! Yeyote ambae angeingia madarakani angejenga kwa sababu by March 2015, World Bank walikuwa wamesha-approve mkopo!!

Tena hivi umewahi kufika Kijichi?! Sinza ina-sound kwa sababu ni "main road" inayotumiwa na watu wengi, na majority wanafika Sinza!!

But last time nilivyoenda Mtoni Kijichi... jamaa naona ni kama wamependelewa, though ndo lengo lenyewe la DMDP! Karibu barabara zote za mitaani, full mkeka unlike Sinza ambako barabara za mitaani bado za hovyo (at least from the last time nilivyoenda huko)
Asante madam kwa kurejesha shuhuda hiyo.
Kiukweli mzee alifanya mambo japo haters wanapinga.
Sio HATERS, tatizo mkiambiwa ukweli, tunaosema ukweli mnatuita haters, na u-hater wetu unatokana na kuweka kumbukumbu sawa!! Mnatamani hata UDSM, mseme imejengwa na JPM!!

Barabara za Dar zimejengwa chini ya the so-called Dar es salaam Metropolitan Development Project(DMDP), na mradi kuwa financed na mkopo World Bank.

JPM kaingia madarakani, kakuta mkataba umeshasainiwa, na mkopo umeshakuwa approved. So, yeyote ambae angeingia madarakani, barabara za Dar angejenga tu labda awe mwendawazimu!!

Au kama ingetokea emergence ya kumfanya Mzee wa Msoga aendelee kukaa madarakani kwa angalau mwaka mmoja zaidi, ambae angefuata angekuta barabara zimeshaanza kujengwa, na zingine kukamilika!

Project Details ni hizi hapa chini:-

 
Asante kwa taarifa
 
unauhakika alizaliwa CHATO? tuwekee cheti chake cha kuzaliwa na utuambie alizaliwa hospital gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…