Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Wewe ndio mjinga na huelewi chochote hata ukiambiwa mfumo wa lazima kwa wahitimu wa kidato cha sita kwenda JKT ulianza 1963 na ulitumia mwaka mzima kwa (compulsory) na kujitolea (volunteer) miaka miwili utabisha kwa sababu ya kuwa na matope kichwani.ujinga umekujaa kichwani uwe unasoma historian basi itakusaidia sana .unalinganisha nyakati hizi na hizo za kipindi kile
Hujaona hapo palipoandikwa o level cambrige certificate 1963-1966View attachment 2918909
Andrew Chenge ni mzee anayefahamika kwa wanaofuatilia siasa nchini. Video yake ya hivi karibuni ambayo alikuwa anamuuliza kijana mmoja kama amesoma imenifanya nimtafute huko bungeni ana elimu.
Elimu yake imeanza kwa kuweka elimu ya msingi (CPEE) ila ghafla imeenda kwenye elimu ya sekondary ya kati, yaani advance, huku ikiwa haina taarifa alisoma wapi sekondary ya upili (CSEE)
Nadhani alishindwa kung'amuaMbna hapo nyegezi seminary ana o level cambridge?
Hapana,Paschal kamshangaa huyo kilaza ndo maana kamuuliza hukuiona palipoandikwa o levelOho, na wewe Pascal ulikuwa hujui? Ndivyo ilivyokuwa. Wahitimu wa shule za sekondari zetu walikuwa wanatunukiwa vyeti vya Cambridge University incorporating a general certificate of education. Fanya utafiti kidogo utajua.
Baada ya Jibu hili Nilitegemea Moderator wafunge Uzi kwa kuandika "No Further replies Needed"Kijana, hilo Baraza la Mitihani Tanzania (National Examination Council of Tanzania aka NECTA) ambalo wewe ndilo lilikutahini, lilianzishwa mwaka 1971. Kabla ya hapo kulikuwa na baraza la mitihani nchi zote za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya na Uganda) ie The East Africa Examination Council ambalo lililosimamiwa na Uingereza na mitihani yake ilitungwa na Cambridge University huko London.
The Ordinary Level Certificate ilikuwa ina incorporate a General Certificate of Education (GCE) ambayo ni ya nchi zote za Jumuiya za Madola ya Muingereza zilizokuwa makoloni ya Muingereza.
Hivyo hata hiyo ACSEE ya Chenge ya mwaka 1968 ni Cambridge University na siyo ya NECTA kama ya kwako. Baada ya nchi zote za EA kujitoa kwenye baraza hilo la mitihani la Cambridge University mwaka 1971, ndipo kila nchi nchi hizo ikaanzisha baraza lake la mitihani na kutunga curriculum zake kwa wanafunzi wake wa shule za sekondari. Curriculum hizi hapa kwetu zimekuwa zilibadilishwa kila kukicha kwa matakwa ya wanasiasa hadi kupelekea elimu ya vijana wetu kushuka sana ukilinganisha na viwango vya kimataifa.
Kushuka huku kwa elimu ya vijana wetu ni hadi kwenye vyuo vikuu vyetu. Utakuta sasa mhitimu wa shahada ya udaktari wa binadamu hawezi kufanya operesheni ya kutoa kidole tumbo kwa mgonjwa wa acute appendicitis. Utakuta wahitimu hawa hawawezi kutoa mtoto kwa njia ya operesheni (Ceaserian Section) kwa mama mjamzito mwenye pingamizi la uzazi (obstructed labour) ili hali huko nyuma wahitimu ya diploma in medicine (AMO) waliweza kufanya operesheni hizo kwa ufanisi mkubwa.
Hivyo ndivyo kwa wahitimu wetu wa sasa kwa profession zote hususani wanasheria na wapelelezi wa kesi za jinai, wahandisi, wahasibu na kadhalika. Wanachokijua na walichobobea kwa sasa ni kupiga dili tu.
Kwa Curriculum ya Necta Ni sawa lakini kumbuka Necta imeanza mwaka 1971 na yeye kamaliza kabla ya Necta kasome Elimu ya CambridgeKwa kawaida kidato cha tano huanza mwezi wa tano na hukamilika mwaka mzima kwa mwaka unaofuata hivyo huyu alitakiwa kuwa amemaliza mwaka 1969 sio 1968
Law School zaman haikuwepo..Hivi Chenge kapita Law School?
Hata UD pia ilikuwa ni constituent ya University of London mkuu.Siyo porojo. Waulize wakubwa zako kujua elimu ya enzi hizo hadi za akina Kikwete na Mkapa. Enzi za Mwl Nyerere O level ya Cambridge ukiifaulu unakuwa admitted Makerere University College huko Uganda ambayo ilikuwa ni constituent college ya London University. Nakufundisha historia ya elimu yetu, tulikotoka.
Mzee hiyo sheria unayosema imeanza mwaka 1967..Wewe ndio mjinga na huelewi chochote hata ukiambiwa mfumo wa lazima kwa wahitimu wa kidato cha sita kwenda JKT ulianza 1963 na ulitumia mwaka mzima kwa (compulsory) na kujitolea (volunteer) miaka miwili utabisha kwa sababu ya kuwa na matope kichwani.
Typing error mkuu juu hapo o-level inaonekana mbonaView attachment 2918909
Andrew Chenge ni mzee anayefahamika kwa wanaofuatilia siasa nchini. Video yake ya hivi karibuni ambayo alikuwa anamuuliza kijana mmoja kama amesoma imenifanya nimtafute huko bungeni ana elimu.
Elimu yake imeanza kwa kuweka elimu ya msingi (CPEE) ila ghafla imeenda kwenye elimu ya sekondary ya kati, yaani advance, huku ikiwa haina taarifa alisoma wapi sekondary ya upili (CSEE)
Halafu aweke yakeUkimaliza yq Chenge fungua ya mwana FA kisja ulete mrejesho
Mleta mada amekurupuka..Mbna hapo nyegezi seminary ana o level cambridge?
Wote waliofanya mitihani mpaka mwaka 1969 ilitoka uingereza Cambridge siyo Kijitonyama.View attachment 2918909
Andrew Chenge ni mzee anayefahamika kwa wanaofuatilia siasa nchini. Video yake ya hivi karibuni ambayo alikuwa anamuuliza kijana mmoja kama amesoma imenifanya nimtafute huko bungeni ana elimu.
Elimu yake imeanza kwa kuweka elimu ya msingi (CPEE) ila ghafla imeenda kwenye elimu ya sekondary ya kati, yaani advance, huku ikiwa haina taarifa alisoma wapi sekondary ya upili (CSEE)
Acha kukariri kiboyaa wewe 😂😂Kwa kawaida kidato cha tano huanza mwezi wa tano na hukamilika mwaka mzima kwa mwaka unaofuata hivyo huyu alitakiwa kuwa amemaliza mwaka 1969 sio 1968
Point[emoji4][emoji106]Kijana, hilo Baraza la Mitihani Tanzania (National Examination Council of Tanzania aka NECTA) ambalo wewe ndilo lilikutahini, lilianzishwa mwaka 1971. Kabla ya hapo kulikuwa na baraza la mitihani nchi zote za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya na Uganda) ie The East Africa Examination Council ambalo lililosimamiwa na Uingereza na mitihani yake ilitungwa na Cambridge University huko London.
The Ordinary Level Certificate ilikuwa ina incorporate a General Certificate of Education (GCE) ambayo ni ya nchi zote za Jumuiya za Madola ya Muingereza zilizokuwa makoloni ya Muingereza.
Hivyo hata hiyo ACSEE ya Chenge ya mwaka 1968 ni Cambridge University na siyo ya NECTA kama ya kwako. Baada ya nchi zote za EA kujitoa kwenye baraza hilo la mitihani la Cambridge University mwaka 1971, ndipo kila nchi nchi hizo ikaanzisha baraza lake la mitihani na kutunga curriculum zake kwa wanafunzi wake wa shule za sekondari. Curriculum hizi hapa kwetu zimekuwa zilibadilishwa kila kukicha kwa matakwa ya wanasiasa hadi kupelekea elimu ya vijana wetu kushuka sana ukilinganisha na viwango vya kimataifa.
Kushuka huku kwa elimu ya vijana wetu ni hadi kwenye vyuo vikuu vyetu. Utakuta sasa mhitimu wa shahada ya udaktari wa binadamu hawezi kufanya operesheni ya kutoa kidole tumbo kwa mgonjwa wa acute appendicitis. Utakuta wahitimu hawa hawawezi kutoa mtoto kwa njia ya operesheni (Ceaserian Section) kwa mama mjamzito mwenye pingamizi la uzazi (obstructed labour) ili hali huko nyuma wahitimu ya diploma in medicine (AMO) waliweza kufanya operesheni hizo kwa ufanisi mkubwa.
Hivyo ndivyo kwa wahitimu wetu wa sasa kwa profession zote hususani wanasheria na wapelelezi wa kesi za jinai, wahandisi, wahasibu na kadhalika. Wanachokijua na walichobobea kwa sasa ni kupiga dili tu.
Mbona wanasema alisoma masters ya uchumiChunguzeni mpaka mgundue Nyerere hakuwa na degree ya pili (Masters).