Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
RIP, naomba sababu za kifo chake.
Mtu ni askari wa damu, diplomasia wapi na wapi? Tueleze maana only truth will set us freealikuwa mwanajeshi mzuri lakini diplomasia ilimshinda, wakati yupo Nigeria alikuwa mkorofi huyu
all in all keshatangulia mbele ya haki na si vyema kuanza kumkandia now
tusubiri 40 ipite ndio taunze na legacy yake maana sie watanzania ni watu wa MUHALI sasa utakuja ambiwa ohh unachafua hali kwa kuwa na mawazo tofauti
alikuwa mwanajeshi mzuri lakini diplomasia ilimshinda, wakati yupo Nigeria alikuwa mkorofi huyu

Ninawakubuka makamanda wa vita ya Uganda waliopigana kishujaa, nitawataja wachache ninaowakumbuka
1: Gen. David Musuguri: code named Commander "Mutukura"
2: Gen. Abdallah Twalipo (RIP): code named ....
3: Maj. Gen. John Warden (RIP🙂 code named Commander "Black Mamba"
4: Maj. Gen. Mwita Marwa (RIP): code named Commander "Kambale"
5: Maj. Gen. Silas Mayunga (RIP): code named Commander "Mti mkavu"-FISADI UBALOZINI NIGERIA
5: Maj. Gen. Muhidin Kimario: code named Commander "Kambale"-FISADI KAUA CDA DODOMA
6: Maj. Gen. Tumainieli Kiwelu: code named Commander "......."
7: Maj. Gen. Herman Lupogo: code named Commander "......"FISADI TACAIDS
Wako wengi, ila nimewasahau. Mnaowakumbuka wengine endelezeni. Kuna kitabu kiliandikwa na Prof. Mhina (?), nitakitafuta ili kutengeneza kumbukumbu ya kielectroniki.
Yaani huyo ndie baba wa ufisadi,RA,RL,CHENGE,RICKY COSTA MAHALU wote wanafunzi wake,ndie alienzisha mtindo wa kukwapua.alipokua balozi Nigeria,alikula hela yote ya Ubalozi,alipoulizwa akasema ndio nimekula....wakati sie tunakomboa nchi nyie mlikua mnakunywa mvinyo tu..ole wenu mniguse!Mkapa kuambiwa hivyo kamrudisha nyumbani kimya kimya
Ufisadi hauna itikadi wala ukakamavu,jamaa walikomboa nchi,walipopewa nafasi nyingine tu wakaharibu.
Profesa Mwandosya alipata nafasi kuwatembelea wa Tanzania waliolazwa katika hospitali ya Apollo, New Delhi. Hapa anasalimiana na Meja Generali (Msitaafu) Silas Mayunga View attachment 34942
RIP Mayunga, Mkuu nahisi hapo kwenye Red una refer the triangle among Luteni Maganga RIP, Pius Rugangira(uncle Tom) na Maj. Gen Mayunga.RIP Gen. Mayunga. Ulipotea ama kupotezwa kabisa kwenye masikio yetu baada ya yale ya mwaka 1982-83. Kwa vyovyote vile, uliyofanya kwa uadilifuyatasimama na kukulinda daima kama mtu uliye na mchango positive kwa Taifa letu.