Historia ya Idd Amin Dada

Historia ya Idd Amin Dada

Nyerere si alikuwa jambazi tu nashangaa mnamuenzi kupita kiasi ndo maana anaogopa waislam wasijue ukweli maana mda wowote wanakinukisha
Waislam ni watu wa PEACE!
Wewe usiyejua dini ndiyo unaweza kuandika haya madudu. Nonsense!
 
Yes sir!
Sarah alifanya kosa kubwa kushea mapenzi kati ya Jessy Kasirivu (boy friend wake) na pia Nduli Idd Amin.
Jessy Kasirivu alikuwa band-mate wa Sarah ktk band ya jeshi.
Amin alipogundua kuwa Sarah anaendelewa kutoa 'service' kwa Jessy, alituma watu wa State Research Bureau na kumwangamiza vilivyo. Mabaki ya mwili wa Jessy Kasirivu hayakuwahi kuonekana hadi leo!
Inawezekana Sarah alikua anarusha mchuzi juu,ndo maana dingi akapagawa😴😴
 
Dini ya kiislamu inaruhusu kashfa kiasi hiki :: imani huwa haiitaji nguvu ndo maana Mungu hakumlazimisha shetani kumwabudu
imani huwa haiitaji nguvu ndo maana Mungu hakumlazimisha shetani kumwabudu[emoji1545][emoji1752]
 
Yes sir!
Sarah alifanya kosa kubwa kushea mapenzi kati ya Jessy Kasirivu (boy friend wake) na pia Nduli Idd Amin.
Jessy Kasirivu alikuwa band-mate wa Sarah ktk band ya jeshi.
Amin alipogundua kuwa Sarah anaendelewa kutoa 'service' kwa Jessy, alituma watu wa State Research Bureau na kumwangamiza vilivyo. Mabaki ya mwili wa Jessy Kasirivu hayakuwahi kuonekana hadi leo!
Alienda naye Saudia? Maana haya mambo ya mapenzi ni magumu mno
 
Mnamo 1972, Amin alikasirishwa na unyanyasaji wa Waafrika, na walowezi wa Waasia, ambao waliletwa Uganda na Waingereza, akawapa hati ya mwisho; ama kukataa uraia wao wa Asia, na kuwa Waganda walio na mamlaka kamili, au kuondoka ndani ya miezi sita, au kufukuzwa.

Wengi wa wakazi wa Asia, ambao walikuwa kati ya 50,000 na 70,000, walikataa kuachia uraia wao wa Asia wakitumaini kwamba serikali ya Uingereza ingewaokoa, na kusitisha kufukuzwa, lakini hawakufanya hivyo, na Waasia walifukuzwa.
 
Kuna mmoja anacheza kwa nidhamu ya woga na tahadhari sana hapo mambo yanaweza kubadilika dakika yoyote
1666600607967.png
 
Back
Top Bottom