Historia ya Iddi Faiz Mafungo na Safari ya Nyerere UNO 1955

Nan...
Hakika.
Hizi video za historia ya wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika zinapendwa sana.

Siamini macho yangu zinatazamwa na watu 20K+.

Bahati mbaya sana kuwa wewe huzipendi.
Unajua unachofanya.
Hakuna anayechukia simulizi zako, zikiwakiliswa kama historia au histohisia. Ambacho wengi hatupendi ni ufitnishaji unaokuwepo kwenye hizo simulizi, ambapo unalenga kundi moja katika jamii lichukiane na kundi jingine.
 
Hajaanza leo
Amefanikiwa kuwabrainwash baadhi ya vijana ambao wanakufa na sonona kwa kutopata wanayoyatamani.
Mzee Nyerere atabaki kuwa juu
 
Unajitia hofu bila sababu.

Kitabu chenye historia hii sasa kipo sokoni robo karne na kinakwenda toleo la nne.

Sijasikia tatizo kuwa kitabu hiki kina uchochezi.

Jina la Mwalimu haliwezi kutawala historia ya Tanganyika na kuwa juu kwa kuwafuta wazalendo wengine.
 
Hajaanza leo
Amefanikiwa kuwabrainwash baadhi ya vijana ambao wanakufa na sonona kwa kutopata wanayoyatamani.
Mzee Nyerere atabaki kuwa juu
Necr...
Ningeandika historia hii kwa nia mbaya ningekiua kitabu changu mapema sana.

Kitabu hiki kimependwa kwa kuwa kimeeleza historia ambayo haikupata kuandikwa na kusomeshwa popote.

Tunakwenda toleo la nne katika miaka 26 ya kitabu hiki cha Abdul Sykes.
 
Unajua unachofanya.
Hakuna anayechukia simulizi zako, zikiwakiliswa kama historia au histohisia. Ambacho wengi hatupendi ni ufitnishaji unaokuwepo kwenye hizo simulizi, ambapo unalenga kundi moja katika jamii lichukiane na kundi jingine.
Ahsante sana.
 
Na shida kuu ndio hiyo..
Out of that ni historia nzuri
Pasiwepo udini, na undugi wa watu wake anaounasibisha
 
Inside10,
Huwezi kueleza historia ya uhuru wa Kenya bila kutaja mchango wa Wakikuyu na Mau Mau.

Huu si ukabila.

Huwezi kueleza historia ya uhuru wa Tanganyika bila kutaja mchango wa Waislam.

Huu si udini.
 
Back
Top Bottom