Historia ya Jackson Namfua

Historia ya Jackson Namfua

Naskia huyu alikuwa mwenyeji wa Mkuu, Rombo. Alichukua sehemu kidogo ya ardhi ya kanisa katoliki pale Mkuu Rombo na kuifanya itumike kwa shughuli za serikali ya wilaya. Kanisa bado lilibaki na eneo kubwa.

Hii inasemekana sio mbaya kiviiile kwa sababu ukoo wa huyu Namfua ndio ma mangi wa mkuu Rombo ambao babu wa babu yao (Mangi Kinabo) ndio alilipa kanisa eneo hilo.

Inasemekana kichini chini kwamba kifo chake kilikuwa kina utata.
 
Asante kwa taarifa.
 
Hakuna hata mmoja alietaja miaka si ya

kuzaliwa kwake
utumishi wake wala
kifo chake

huu ni upopoma
 
Yaani walikosa jina la Kisingidasingida hadi uwanja wetu wauite jina la Kichaga!
 
Back
Top Bottom