Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hatari sana.Alikunywa maji ya ujamaa, hakuona faida ya watawa kumiliki ardhi ambayo wana ujamaa wamgegaiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana.Alikunywa maji ya ujamaa, hakuona faida ya watawa kumiliki ardhi ambayo wana ujamaa wamgegaiwa.
Kleruu alikufa kwa ajali?Mbona watu wazuri wote enzi za Nyerere walikuwa wanakufa kwa ajali na yeye haikumtokea? Rejea,Sokoine,Shekilango,Kreluu etc.
Naskia huyu alikuwa mwenyeji wa Mkuu, Rombo. Alichukua sehemu kidogo ya ardhi ya kanisa katoliki pale Mkuu Rombo na kuifanya itumike kwa shughuli za serikali ya wilaya. Kanisa bado lilibaki na eneo kubwa.
Hii inasemekana sio mbaya kiviiile kwa sababu ukoo wa huyu Namfua ndio ma mangi wa mkuu Rombo ambao babu wa babu yao (Mangi Kinabo) ndio alilipa kanisa eneo hilo.
Asante kwa taarifa.Naskia huyu alikuwa mwenyeji wa Mkuu, Rombo. Alichukua sehemu kidogo ya ardhi ya kanisa katoliki pale Mkuu Rombo na kuifanya itumike kwa shughuli za serikali ya wilaya. Kanisa bado lilibaki na eneo kubwa.
Hii inasemekana sio mbaya kiviiile kwa sababu ukoo wa huyu Namfua ndio ma mangi wa mkuu Rombo ambao babu wa babu yao (Mangi Kinabo) ndio alilipa kanisa eneo hilo.
Hapa panahitaji jibuaongoze kilimanjaro then uwanje uwepo Singida mbona tofauti, au lengo ilikuwa kuitangaza k.njaro mi siamini kama aliongoza mkoa mmoja tu
Kleruu alipigwa Risasi hadharani na mzee mwenye hasira KaliKleruu alikufa kwa ajali?
siyo air hostage🤣🤣🤣Tumeshauita Fontferd
Ipo Tarakea inaitwa Namfua Sec School.Kuna shule huko rombo imelipewa jina lake... Sijui kama bado ipo