Historia ya Kabila la Wahaya

Historia ya Kabila la Wahaya

Aaaaah ! Mkuu hebu muogope Mungu , mimi ni mhaya na nyumbani kwa Babu yangu ni bukoba vijijini , jina la kijiji nimelihifadhi , kwenye hicho kijiji hakuna barabara , huduma ya maji watu wanachota kwenye chemchemi , umeme , huduma ya afya na shule ni majanga na watu ni walevi wa pombe za kienyeji na ni masikini wa kutupwa , nyumba ni za hovyo , nyingi ni mabanda ya nyasi na tope chache sana ndo unakuta mtu kajenga mjengo wa maana , it is simply a ghost town to put it into perspective , hebu niambie ni kijiji gani hicho ulichotembelea ukakuta hakuna nyumba ya nyasi..........Tatizo la wahaya ni dharau na nyodo unakuta mtu anakaa kwenye banda la mbuzi halafu anashupaza shingo , kiufupi I'm not proud of my ethnicity as a Haya
Wewe muongo
 
Wahaya gani unawazungumzia mimi uzuli nimekaa sana wahaya

Nipo nao hapa manzese darajani yaani wengi wao wananiambia wanajuta kuzaliwa bukoba kwa sababu kuna hali ngumu ya maisha ndio maana wengiiii wanaona bora waje mjini kupiga biashara ya ngono.

Biashara ambayo wanapanga nyumba nzima wanaigawa katika vyumba huku wakiuzaaa papuchii elfu 2 baoo mojaa pamoja na chumba na pia hata baadhi wanaume wanatoa kwa bei cheeee.

Kama kuna mtu anabisha ajee manzese darajani au aende mwananyamala hospitali au buguruni sokoni au temeke hospitaliii .
Mkuu itabidi tukupe uwenyekiti wa mitaa.
 
mkuu pale bukoba mjin n kichekesho,stand kuu yao imejaa mashimo matupu na vumbi,hauna hotel ya maana,pia mji hauna daladala bodaboda ndio daladala zao sasa hii misifa yao vjui nn
pia kwa mujibu wa takwimu kagera n mkoa wa tatu kwa umaskin
Sasa nimeanza kuelewa ni kwa nini
magufuli analaumiwa kwa kujenga uwanja
wa ndege chato.Kujisifia kuwa na stand nzuri
ni wapi stand za mabasi au viwanja vya ndege
vinajengwa na wananchi wa eneo husika?
 
Wahaya gani unawazungumzia mimi uzuli nimekaa sana wahaya

Nipo nao hapa manzese darajani yaani wengi wao wananiambia wanajuta kuzaliwa bukoba kwa sababu kuna hali ngumu ya maisha ndio maana wengiiii wanaona bora waje mjini kupiga biashara ya ngono.

Biashara ambayo wanapanga nyumba nzima wanaigawa katika vyumba huku wakiuzaaa papuchii elfu 2 baoo mojaa pamoja na chumba na pia hata baadhi wanaume wanatoa kwa bei cheeee.

Kama kuna mtu anabisha ajee manzese darajani au aende mwananyamala hospitali au buguruni sokoni au temeke hospitaliii .
Duuh
 
Mtoa uzi pamoja na members wote
1. Umaskin haupimwi kwa kula ugali au nyumba za nyasi.Nadhani kama tukipima umaskin kwa vigezo hivyo tutakuwa tumekosea mno.Nadhani vipo vigezo vya kupima kiwango cha umaskin kuanzia mtu mmoja mmoja na Taifa
2.Jana 27/04/2018 nilikuwa naangalia TBC1 taarifa ya habari wakulima wa Kahawa Kagera kwenye wilaya moja hivi nimesahau kuna wananchi walikuwa wanauza kahawa kwa magendo na DC akamkamata mwenyekiti wa kitongoji kuhusiana na kujihusisha kwake na magendo hayoya kuuza kahawa kiholela tena kahawa mbichi.
3.Suala la maendeleo haliangalii kabila la mtu ni jitihada za mtu mwenyewe na jamii husika inavyohanikiza maendeleo.Hata mimi kwetu kuna maendeleo lakin siwez kuja hapa JF na kuanza kujisifia jamii yetu bora kuliko zingine.

Wandugu ifike wakati zile habari za matambo yasiyo na msingi tukaacha maana hazina msaada sana kwa sasa ni bora tupeane fursa za kujikwamua na umaskini kuliko kujisifia sijui mimi Muhaya bright ,sijui mimi Msambaa tajiri haitusaidii
Sorry mkuu, me nakupinga kwenye kuuza kahawa kimagendo sio tatzo Lao bali hawa jamaa watakuw wanaangalia wapi kuna bei kubwa. Niliwai kwenda kule kipindi cha kuuza kahawa ukweli unakuta watu kutoka Uganda wana bei nzuri ya kahawa wakati huo wabongo wana bei ya chin alafu serikali inawapiga marufuku hawa wanunuzi kutoka nje ya nchi. Hata kama ni ww, apo blackmarket lazma ihusike.
 
Wahaya gani unawazungumzia mimi uzuli nimekaa sana wahaya

Nipo nao hapa manzese darajani yaani wengi wao wananiambia wanajuta kuzaliwa bukoba kwa sababu kuna hali ngumu ya maisha ndio maana wengiiii wanaona bora waje mjini kupiga biashara ya ngono.

Biashara ambayo wanapanga nyumba nzima wanaigawa katika vyumba huku wakiuzaaa papuchii elfu 2 baoo mojaa pamoja na chumba na pia hata baadhi wanaume wanatoa kwa bei cheeee.

Kama kuna mtu anabisha ajee manzese darajani au aende mwananyamala hospitali au buguruni sokoni au temeke hospitaliii .
Manzese upande upi mkuu
 
Kiukwel kwa watu waliowai kujaliwa kufika Bukoba .

Hapa nazungumzia maeneo ya vijijin kama bukoba vijijin yaani watu wa kule wanaishi maisha mazuri sana ukilinganisha na mikoa mingine ...yaani uwez kukuta muhaya anakula ugali na maharage au ananyumba ya nyasi...au analima huku mvua inanyesha.

Lakin ukienda mikoa mingine kwa maeneo ya vijijin kama Singida, Tabora ,Dodoma ,Morogoro , Nk
Isee ni hatar sana watu wanamaisha magumu sana.
We shika adabu yako, ni nani aliyekwambia kuwa kula ugali kwa maharage ni kuwa na maisha ya magumu? yawezekana wewe huijui Bukoba kabisa, ni vema ukae kimya. ukienda huko utakuta nyumba za nyasi nyingi tu na pia mambo mengine ambayo siweza kuyaandika hapa.
 
Halafu kitu kingine wahaya ninachowashangaa wanapenda sana kusema wanatokea bukoba badala ya kusema wanatokea kagera sijui kwanini hawapendi kulitaja hili neno kagera wao wanang'ang'ania sisi kwetu bukoba.

Kitu kibaya zaidi ukiwambia wakupeleke kwao bukoba unashangaa wengi wanashukia muleba wanaingia vijijini uko mpka unafika bukoba mjini mnajikuta waliobakia wengi ni wamanyema watu tokea congo ndio wenye bukoba yao ila cha kushangaza wahaya walivyo wa ajabu hawezi kukuambia anatokea muleba yeye atakwambia kwao ni bukoba na wanasema hivyo kwa sababu muleba hakuna maendeleooooooo
Bro una bifu na sisi?
Tulikukosea nini?
 
Tena wasogee maeneo ya Kyerwa au Kamachumu, wakishindwa huko basi walete hapo tu karibu Kabare ama Katoma, wakishindwa kabisa wapeleke Kitendaguro wakaone mahekalu kote huko maghorofa migombani
 
Wahaya gani unawazungumzia mimi uzuli nimekaa sana wahaya

Nipo nao hapa manzese darajani yaani wengi wao wananiambia wanajuta kuzaliwa bukoba kwa sababu kuna hali ngumu ya maisha ndio maana wengiiii wanaona bora waje mjini kupiga biashara ya ngono.

Biashara ambayo wanapanga nyumba nzima wanaigawa katika vyumba huku wakiuzaaa papuchii elfu 2 baoo mojaa pamoja na chumba na pia hata baadhi wanaume wanatoa kwa bei cheeee.

Kama kuna mtu anabisha ajee manzese darajani au aende mwananyamala hospitali au buguruni sokoni au temeke hospitaliii .
Mkuu hawaiti/hawatamki Bukoba,wanaita Bkoba
Muleba = Mleba.
 
Huwaga unajitokezaga tu siku maalum maalum.

Haya mdogo wako huyo naona anawapa sifa za kwenu [emoji23]
Nmetembea karibia mikoa yote Tanzania hata hapa nipo safarini ila sjabahatika kufika kagera ndo maana nmeishia tuu kucheka kulingan na comments za wakuu[emoji3] [emoji3]
 
Nmetembea karibia mikoa yote Tanzania hata hapa nipo safarini ila sjabahatika kufika kagera ndo maana nmeishia tuu kucheka kulingan na comments za wakuu[emoji3] [emoji3]
Ngoja kwanza nikuombee ufike salama.
Ila usilale nyumba za wageni za bei ya juu.
[emoji23][emoji23]
 
Hiyoo sehemu ipo karibia na hospitali ukishukaaa mwananyamala hospitali na basi utaonaaa kuna nyumba kuna wakina dada wamekaaa kwenye visturi basi wee ukifika ingia ndaniiiiiii.

Ukiingia ndani utampa elfu mbili kinachoendeleaaa utakuwa unajuaa ila ukiwa mgeni mgeni utapigwaa hadi elfu tanooo
Mkuu mwelekeze vizur asije akaingia nyumba ya mtu mwingine asiyehusika
 
Aaaaah ! Mkuu hebu muogope Mungu , mimi ni mhaya na nyumbani kwa Babu yangu ni bukoba vijijini , jina la kijiji nimelihifadhi , kwenye hicho kijiji hakuna barabara , huduma ya maji watu wanachota kwenye chemchemi , umeme , huduma ya afya na shule ni majanga na watu ni walevi wa pombe za kienyeji na ni masikini wa kutupwa , nyumba ni za hovyo , nyingi ni mabanda ya nyasi na tope chache sana ndo unakuta mtu kajenga mjengo wa maana , it is simply a ghost town to put it into perspective , hebu niambie ni kijiji gani hicho ulichotembelea ukakuta hakuna nyumba ya nyasi..........Tatizo la wahaya ni dharau na nyodo unakuta mtu anakaa kwenye banda la mbuzi halafu anashupaza shingo , kiufupi I'm not proud of my ethnicity as a Haya
mkataa kwao mtumwa. umefanya jitihada ya kumbadilishia babu yako kibanda au unataka kuja na hadithi za bongo bahati mbaya? kapige mjengo wa nguvu pale kijijini kwa babu yako uwavutie na jirani zako. sio mkifika mjini mnasahau makwenu.
 
mwambie asome takwimu
mkoa wa kagera n.mkoa wa tatu kwa umaskini tz
Ukifata takwimu hutakuwa sawa hata Kenya iko juu yetu kiuchumi lakini ukifatilia maisha ya wananchi yako chini sana kulinganisha na maisha ya watanzania,ukifata takwimu hata mkoa wa Mwanza kumi bora haumo lakin je ni kweli mikoa yote iyo inayoizid kitakwimu inaizid kimaendeleo? Ukweli ndo huo Tanzania ni mkoa mmoja2 sijafika lakin yote nilotembea kwa watu wa vijijini Kagera wako vizur uko kuna wengine utadhan wako ulaya kuna sehemu pana nyumba nzur ambazo hata ukienda mjini uzikuti.Binafs kwa hapo2 nawapa pongezi japo wameusahau kuujenga mji wao.
 
1. Umaskin haupimwi kwa kula ugali au nyumba za nyasi
Nyumba ni kigezo kimojawapo,, bila hicho utakuwa unafanya survey ya kichovu sana!! Ndiyo maana kwenye dodoso la kupima uchumi wa jamii fulani tunaangalia mpaka nyumba kwamba imeezekwa kwa bati au nyasi?
 
Mkuu hivyo vigezo vimewekwa na wazungu usikubali kuwa brainwashed.Ina maana wamasai na nyumba zao zile ni maskini chief?
 
Back
Top Bottom