Historia ya Kabila la Wahaya

Historia ya Kabila la Wahaya

Kiukwel kwa watu waliowai kujaliwa kufika Bukoba .

Hapa nazungumzia maeneo ya vijijin kama bukoba vijijin yaani watu wa kule wanaishi maisha mazuri sana ukilinganisha na mikoa mingine ...yaani uwez kukuta muhaya anakula ugali na maharage au ananyumba ya nyasi...au analima huku mvua inanyesha.

Lakin ukienda mikoa mingine kwa maeneo ya vijijin kama Singida, Tabora ,Dodoma ,Morogoro , Nk
Isee ni hatar sana watu wanamaisha magumu sana.

Mikoani ulikuwa ukienda miaka hiyo,unakuta wanaishi kwenye mabanda wanajiuza(malaya),siku hizi wakatakuwa wamehamia mitandaoni.
 
Hv nyie watz wahaya waliwafanyia nn? Mbn huwa mnatokwa sana povu kwa kuwaponda wahaya?
Pamoja na mapungufu waliyonayo huwa hamwoni mazuri yao? Au ni jamii/kabila gn hapa tz halina mapungufu?

Kama mnataka kuitwa great thinkers try to judge logically my men.
 
Wako obsessed sana na wahaya, wanatamani kuwaona wakiwa maskini kama wengine
 
Sio kwel hii... mwenye nyumba wangu mhaya huwa anasema waz waz kabisa,Bukoba kuna hali mbaya sana ya kiuchumi, alitamani kurud kwao lakini hali ya kule mbaya anafanya biashara ndogo ndogo...

Kuna mwingine ni fundi nyumba kule Kibosho Moshi anashangaa Moshi vijijini ilivyotengeka ana vijana wanavyojenga majumba, akaongeza Bk ni kugumu sana ndo mana ameenda Moshi kutafuta maisha.
 
Ukifata takwimu hutakuwa sawa hata Kenya iko juu yetu kiuchumi lakini ukifatilia maisha ya wananchi yako chini sana kulinganisha na maisha ya watanzania,ukifata takwimu hata mkoa wa Mwanza kumi bora haumo lakin je ni kweli mikoa yote iyo inayoizid kitakwimu inaizid kimaendeleo? Ukweli ndo huo Tanzania ni mkoa mmoja2 sijafika lakin yote nilotembea kwa watu wa vijijini Kagera wako vizur uko kuna wengine utadhan wako ulaya kuna sehemu pana nyumba nzur ambazo hata ukienda mjini uzikuti.Binafs kwa hapo2 nawapa pongezi japo wameusahau kuujenga mji wao.
ambaye haijui bukoba nan?
pale stand tuu pananyesha jinsi GAM mlivyo
stand haina miundombn KBS,mji hauna daladala
vijijin ndo balaa,hebu tembelea uchagan alafu uje hapa kutoa mrejesho
 
Hv nyie watz wahaya waliwafanyia nn? Mbn huwa mnatokwa sana povu kwa kuwaponda wahaya?
Pamoja na mapungufu waliyonayo huwa hamwoni mazuri yao? Au ni jamii/kabila gn hapa tz halina mapungufu?

Kama mnataka kuitwa great thinkers try to judge logically my men.
acha povu
mnajitia mbwembwe wakati mkoa wenu n wa tatu kwa umaski
 
Sio kwel hii... mwenye nyumba wangu mhaya huwa anasema waz waz kabisa,Bukoba kuna hali mbaya sana ya kiuchumi, alitamani kurud kwao lakini hali ya kule mbaya anafanya biashara ndogo ndogo...

Kuna mwingine ni fundi nyumba kule Kibosho Moshi anashangaa Moshi vijijini ilivyotengeka ana vijana wanavyojenga majumba, akaongeza Bk ni kugumu sana ndo mana ameenda Moshi kutafuta maisha.
n kweli moshi mijumba ya kifahari imejengwa mno
n kawaida ngombe na mbuz kulala nyumba ya block na umeme
 
Are you sure for what you are talking?.Bukoba ipi unaiongelea?.
Bukoba inahitaji kukombolewa sana kiroho.Ni mkoa ambao haufanani na uhalisia.Watu wanaishi locally sana they bealive much in superstitions than God hasa huko unakosema wewe vijijini.
Ni heri ukaoa mke wa kihaya una neema kuliko ndugu yako akaolewa na muhaya.Siku mkienda au ukaenda kutambulishwa ndipo utajuta na wanaume wengi wahaya wamezaa na wanawake kabila tofauti na kuwaoa hawaendi kuwatambulisha kwao tatizo lipo hapo.
Sina nia mbaya ila uvivu pia ni mkubwa maana hata vibarua wa kukata miwa bukoba kiwandani si wahaya wenyeji hawataki hiyo kazi sasa utawasifiaje watu kama hao.
Simamia ukweli nitakuelewa ila ukweli 70% mnaoolewa na wahaya mko utumwani sana hawajakombolewa sana hasa vijijini ni shida,matambiko mtindo mmoja uchawi balaaa.Duuuuh hapana.
aise
 
Sasa nimeanza kuelewa ni kwa nini
magufuli analaumiwa kwa kujenga uwanja
wa ndege chato.Kujisifia kuwa na stand nzuri
ni wapi stand za mabasi au viwanja vya ndege
vinajengwa na wananchi wa eneo husika?
stand hujengwa kwa mapato ya ndan ya halmashaur husika,hela zenu mnapeleka wapi?
 
Back
Top Bottom