Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Na wako kibao ukiacha wanaopasikia wengi wao waliishiaa standWewe utakuwa umefika stand tu, kila nchango unaotoa ni stand tu, uko kama yule jmaa wa kujenga barabara tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wako kibao ukiacha wanaopasikia wengi wao waliishiaa standWewe utakuwa umefika stand tu, kila nchango unaotoa ni stand tu, uko kama yule jmaa wa kujenga barabara tu
Ngara itoe mkuu,Mbona ngara imeendelea kuliko hata Rombo.Nimekaa Tarakea na nimekaa Rulenge Ngarabinafsi nimefka kagera misenyi,karagwe ngara na bukoba
maendeleo yako duni mno
pale stand ya bukoba tu n kielelezo tosha kuwa mpo nyuma haihitaji degree
pia kwa mujibu wa takwimu mkoa wa kagera n wa tatu kwa umaskin
Mkuu bukoba sijui kagera ni pa ovyo try to admit this.......mji gani migomba hadi mjini? .....vumbi ndio usisemeKuna mdau mmoja anasema kuwa tohara ndo maendeleo ya eneo ila nashangaa operation yote ya pangusa mkono wa sweta inazunguka nchi mzima! Mwingine anasema wadada kujiuza ndo kuna wakilisha watu kuwa masikini basi coffee shop zinazolipa kodi kabisa katika nchi za wa zisingekuwepo, anazungumzia barabara kuwa zina vumbi, aniambie kutokea Dar mpaka Kagera mpakani mpaka Mutukula wapi kuna barabaraba ya vumbi? Kuhusu stand ya mabasi ya mkoa nadhani Morogoro,Singida na Kigoma mjini ndo wana stand mzuri. Kuhusu daradara na njia zinazozunguka mjia nadhani huyu hata bukoba mjini na viuga vyake havijui vizuri! Ila nadhani wanakashifu / kupinga wangetuambia wanatokea mkoa gani! Pili labda mleta mada angetuambia yeye katoa hoja kulinganisha na wapi? Most of them wanasema huu mkoa kitofuati wanaendeshwa na mihemko ya kinadharia au psychological mob + Lombroso theory but tukitumia kitu kinachoitwa symbolic interaction huwezi sema vitu kama hivyo.
Huyu kafanikiwa kujenga virumu vitatu kwao nanawakikisha wahaya wote, Wahaya ni wakali wa mbwembwe tu sio uhalisia.Wahaya gani unawazungumzia mimi uzuli nimekaa sana wahaya
Nipo nao hapa manzese darajani yaani wengi wao wananiambia wanajuta kuzaliwa bukoba kwa sababu kuna hali ngumu ya maisha ndio maana wengiiii wanaona bora waje mjini kupiga biashara ya ngono.
Biashara ambayo wanapanga nyumba nzima wanaigawa katika vyumba huku wakiuzaaa papuchii elfu 2 baoo mojaa pamoja na chumba na pia hata baadhi wanaume wanatoa kwa bei cheeee.
Kama kuna mtu anabisha ajee manzese darajani au aende mwananyamala hospitali au buguruni sokoni au temeke hospitaliii .
NdioAu na mimi ntakuwa Mhaya maanake silagi ugali. Teh Teh Teh
Itakuwa ni tabia yako kunya hadharani au huna marinda mavi yanamwagika tuuuuakijibu mm nakunya hadharani
Kuna watu wana matatizo sana. Unakuta MTU kwao Chamwino Dodoma. Anavyotukana mkoa wa Kagera. Mpaka unashanshangaa. Ukiondoa vikabila kama wanyakyusa na wachaga ndio wanaweza kujitangaza mikoa wanayotoka lakini makabila mengine upuuzi mtupu hawana uwezo wa kusimama apa jukwaani na kusema Mimi mgogo au mzaramoTeh, teh, teh, ...na wewe sema kwenu ni wapi ili tukusaidie kujitambua. Sema wapi kwenu?
Kama unasema umasikini unapimwa kwa kuwa na nyumba unawazungumziaje wahindi wenye Pesa nyingi wanakaa nyumba za kupangaNyumba ni kigezo kimojawapo,, bila hicho utakuwa unafanya survey ya kichovu sana!! Ndiyo maana kwenye dodoso la kupima uchumi wa jamii fulani tunaangalia mpaka nyumba kwamba imeezekwa kwa bati au nyasi?
Kujenga Dar es salaam, Mwanza na Arushastand hujengwa kwa mapato ya ndan ya halmashaur husika,hela zenu mnapeleka wapi?
Stand ya ubungo dar es salaam umeiona inavyofananabinafsi nimefka kagera misenyi,karagwe ngara na bukoba
maendeleo yako duni mno
pale stand ya bukoba tu n kielelezo tosha kuwa mpo nyuma haihitaji degree
pia kwa mujibu wa takwimu mkoa wa kagera n wa tatu kwa umaskin
Kama maendeleo yanapimwa kwa stand basi Dar es salaam ingekuwa ni mkoa masikiniWewe utakuwa umefika stand tu, kila nchango unaotoa ni stand tu, uko kama yule jmaa wa kujenga barabara tu
ktk watu wa ajabu ni wahaya, sifa nyingi wakati hawana loloteasante mkuu kwa kusemaukweli
ukitaka kujua wahaya wakoje angakia pale bukoba mjin palivyokaa kishamba
yaan mji hauna daladala n maajabu,standi ya mabasi INA madimbi utadhan bwawa mjin vumbi tupu sasa huko vijijin si ndo balaa
Hoja ya mtu asiyekuwa na kichwa!Kama unasema umasikini unapimwa kwa kuwa na nyumba unawazungumziaje wahindi wenye Pesa nyingi wanakaa nyumba za kupanga
Aaaaah ! Mkuu hebu muogope Mungu , mimi ni mhaya na nyumbani kwa Babu yangu ni bukoba vijijini , jina la kijiji nimelihifadhi , kwenye hicho kijiji hakuna barabara , huduma ya maji watu wanachota kwenye chemchemi , umeme , huduma ya afya na shule ni majanga na watu ni walevi wa pombe za kienyeji na ni masikini wa kutupwa , nyumba ni za hovyo , nyingi ni mabanda ya nyasi na tope chache sana ndo unakuta mtu kajenga mjengo wa maana , it is simply a ghost town to put it into perspective , hebu niambie ni kijiji gani hicho ulichotembelea ukakuta hakuna nyumba ya nyasi..........Tatizo la wahaya ni dharau na nyodo unakuta mtu anakaa kwenye banda la mbuzi halafu anashupaza shingo , kiufupi I'm not proud of my ethnicity as a Haya