Historia ya Kabila la Wahaya

Historia ya Kabila la Wahaya

Kwa kifupi, nimeshuhudia threads nyingi sana kuhusu wahaya tangu 2009, nilipoanza kufatilia nyuzi za humu, sijui wahaya waliwafanya nini hasa, wamesoma ndio, they're so educated compared na wengine na ndio maana waliitwa Nshomile miaka ya nyuma, madaktari bingwa wengi, maprofesa wengi, wanasheria nguli wote tanzania, kati ya majina 10, basi 7 ni ya kihaya, majengo na majumba mazuri yote dar, kati ya nyumba 10 basi 8 ni za wahaya, wamiliki wa shule za maana za binafsi tanzania nzima haijalishi mkoa, kati ya shule 10, basi 7 ni za wahaya, wamiliki wa hospitali private kubwa tanzania, kati ya 10 basi 8 ni za wahaya, katika ya raia wa tanzania wanaoishi nje ya nchi especially US, kaangalie list ya majina external affairs utakuta kati ya 100 basi 85 ni majina ya kihaya, fatilia best students katika major universities utakuta majina ya kihaya yanajirudia rudia!! Yes, wanapenda sifa lakini pia wanajua, ndo maana hawaendekezi majungu na umbea kama wazaramo, that's why mnaona wana ringa wanajiskia, ni vile wana elements za kizungu!!! Kubali au kataa you can't underestimate them!!!
Wahaya hawajengi kwao, sawa ndo maana wakajenga kwenu lakini ni nyumba zao, hawajajenga bukoba wamejenga dar, moshi, iringa, morogoro, na mikoa yote tanzania wamejenga, hizo sio nyumba zenu ni zao

Wakisema hawali ugali maana kwao ni chakula cha kimaskini, ni sawa na ndivyo ilivyo kwao, ukila ugali maana yake umeishiwa ndizi, haimaanishi ni kujiskia na kujifia bali sio desturi yao!
Ni kama wajaluo wasivyopenda wali

Mwisho, hakuna nchi yoyote duniani isiyokuwa na maskini wakutupwa, even USA kuna a big number of homeless people ambao hawajui kesho wanaamkaje, Australia kuna hadi wanaopikia kuni in 21century, ukija ASIA, cambodia, vietnam, laos, indonesia, Timor leste kote huko kuna masikini wakutupwa hata nguo kupata ni shida, same to India, lakini mbona wahindi wanajisifia, wanatupelekesha, hamuwasemi kwamba nao ni maskini au kwa vile wamewaajili?
Pls give them some break!!!
 
binafsi nimefka kagera misenyi,karagwe ngara na bukoba
maendeleo yako duni mno
pale stand ya bukoba tu n kielelezo tosha kuwa mpo nyuma haihitaji degree
pia kwa mujibu wa takwimu mkoa wa kagera n wa tatu kwa umaskin
Ngara itoe mkuu,Mbona ngara imeendelea kuliko hata Rombo.Nimekaa Tarakea na nimekaa Rulenge Ngara
 
Kuna mdau mmoja anasema kuwa tohara ndo maendeleo ya eneo ila nashangaa operation yote ya pangusa mkono wa sweta inazunguka nchi mzima! Mwingine anasema wadada kujiuza ndo kuna wakilisha watu kuwa masikini basi coffee shop zinazolipa kodi kabisa katika nchi za wa zisingekuwepo, anazungumzia barabara kuwa zina vumbi, aniambie kutokea Dar mpaka Kagera mpakani mpaka Mutukula wapi kuna barabaraba ya vumbi? Kuhusu stand ya mabasi ya mkoa nadhani Morogoro,Singida na Kigoma mjini ndo wana stand mzuri. Kuhusu daradara na njia zinazozunguka mjia nadhani huyu hata bukoba mjini na viuga vyake havijui vizuri! Ila nadhani wanakashifu / kupinga wangetuambia wanatokea mkoa gani! Pili labda mleta mada angetuambia yeye katoa hoja kulinganisha na wapi? Most of them wanasema huu mkoa kitofuati wanaendeshwa na mihemko ya kinadharia au psychological mob + Lombroso theory but tukitumia kitu kinachoitwa symbolic interaction huwezi sema vitu kama hivyo.
Mkuu bukoba sijui kagera ni pa ovyo try to admit this.......mji gani migomba hadi mjini? .....vumbi ndio usiseme
 
Wahaya gani unawazungumzia mimi uzuli nimekaa sana wahaya

Nipo nao hapa manzese darajani yaani wengi wao wananiambia wanajuta kuzaliwa bukoba kwa sababu kuna hali ngumu ya maisha ndio maana wengiiii wanaona bora waje mjini kupiga biashara ya ngono.

Biashara ambayo wanapanga nyumba nzima wanaigawa katika vyumba huku wakiuzaaa papuchii elfu 2 baoo mojaa pamoja na chumba na pia hata baadhi wanaume wanatoa kwa bei cheeee.

Kama kuna mtu anabisha ajee manzese darajani au aende mwananyamala hospitali au buguruni sokoni au temeke hospitaliii .
Huyu kafanikiwa kujenga virumu vitatu kwao nanawakikisha wahaya wote, Wahaya ni wakali wa mbwembwe tu sio uhalisia.
 
Mimi huwa nashangaa eti watu wanasema Wahaya wana majivuno...jamani hivi mtu kutaja elimu yako, mali zako an cheo chako ndio majivuno?? kama unavyo si unataja tu kama ukiulizwa au kama kuna haja ya kumfahamisha mtu ili ajue anadili na nani!
 
Sijawahi kuona eneo lenye maisha bora na watu wanaojitambua likiongoza kutoa wafanyakazi wa shughuli za ndani (house girls) kwenye mikoa ya jirani.
 
Teh, teh, teh, ...na wewe sema kwenu ni wapi ili tukusaidie kujitambua. Sema wapi kwenu?
Kuna watu wana matatizo sana. Unakuta MTU kwao Chamwino Dodoma. Anavyotukana mkoa wa Kagera. Mpaka unashanshangaa. Ukiondoa vikabila kama wanyakyusa na wachaga ndio wanaweza kujitangaza mikoa wanayotoka lakini makabila mengine upuuzi mtupu hawana uwezo wa kusimama apa jukwaani na kusema Mimi mgogo au mzaramo
 
Nyumba ni kigezo kimojawapo,, bila hicho utakuwa unafanya survey ya kichovu sana!! Ndiyo maana kwenye dodoso la kupima uchumi wa jamii fulani tunaangalia mpaka nyumba kwamba imeezekwa kwa bati au nyasi?
Kama unasema umasikini unapimwa kwa kuwa na nyumba unawazungumziaje wahindi wenye Pesa nyingi wanakaa nyumba za kupanga
 
binafsi nimefka kagera misenyi,karagwe ngara na bukoba
maendeleo yako duni mno
pale stand ya bukoba tu n kielelezo tosha kuwa mpo nyuma haihitaji degree
pia kwa mujibu wa takwimu mkoa wa kagera n wa tatu kwa umaskin
Stand ya ubungo dar es salaam umeiona inavyofanana
 
asante mkuu kwa kusemaukweli
ukitaka kujua wahaya wakoje angakia pale bukoba mjin palivyokaa kishamba
yaan mji hauna daladala n maajabu,standi ya mabasi INA madimbi utadhan bwawa mjin vumbi tupu sasa huko vijijin si ndo balaa
ktk watu wa ajabu ni wahaya, sifa nyingi wakati hawana lolote
 
Nimeishi Bukoba kwa miaka saba, huko watu ni wavivu sana, mzunguko wa pesa kwa Kagera yote ni mgumu sana.
 
Aaaaah ! Mkuu hebu muogope Mungu , mimi ni mhaya na nyumbani kwa Babu yangu ni bukoba vijijini , jina la kijiji nimelihifadhi , kwenye hicho kijiji hakuna barabara , huduma ya maji watu wanachota kwenye chemchemi , umeme , huduma ya afya na shule ni majanga na watu ni walevi wa pombe za kienyeji na ni masikini wa kutupwa , nyumba ni za hovyo , nyingi ni mabanda ya nyasi na tope chache sana ndo unakuta mtu kajenga mjengo wa maana , it is simply a ghost town to put it into perspective , hebu niambie ni kijiji gani hicho ulichotembelea ukakuta hakuna nyumba ya nyasi..........Tatizo la wahaya ni dharau na nyodo unakuta mtu anakaa kwenye banda la mbuzi halafu anashupaza shingo , kiufupi I'm not proud of my ethnicity as a Haya

As long ww ni muhaya huwezi kuikimbii hii budern. Uwe na Sifa au husiwe na sifa Wewe ni muhaya kama wahaya wengine.
 
Mimi ni Muhaya yaaan muhaya haswaa.. Huwa nafurahi sana naposikia watu wanavyotuongelea wahaya. Bila Shaka shida hipo lakini jamani tuna mazuri yetu pia mbona huwa tukiyaeleza hamtaki kabisa kuyasikia tuliwakosea nn Ndugu??
 
Ujue mtu ukitoka marekani alafu ukatua pale posta mpya ukaambiwa hapa ndio Tanzania , alafu kabla ya hapo hukuwahi hata ona Tanzania kwenye picha na wala hujui ukubwa wa Tanzania, basi utajua nchi nzima ya Tanzania ni ipo vile kama posta ,

Hivyo tumsamehe tu mtoa bada kuhusu wahaya , huyu atakuwa ana mahaba na wahaya hivyo chongo anaona kengeza , kengeza anaona chongo,

Pia atakuwa toka amezaliwa hakuwahi safiri mkoa mwingine zaidi ya kagera , bukoba
 
Back
Top Bottom