Historia ya Kabila la Wahaya

Historia ya Kabila la Wahaya

Uyu kweli kalewa matango poli yan umlinganishe mchaga kielimu na Muhaya!Hata wajaruo na Wanyakyusa bado wamewazid kumbe unadhan kuwa na mashule mengi ndo kuwa msomi hata ukifanya research ya wasomi walioko maofsin na wenye kuongoza idarambalimbali kweli mtafikia hata nusu ya Wahaya! Kidogo ungesema mnaongoza kwa biashara na biashara mnayoongoza ni ya kutumia miguvu na kutoa ndugu zenu kafara,lakin ukija kwenye biashara kubwa kubwa na ya kutumia akili bado hamjawafikia Wahaya fanya utafti kati ya Wachaga na Wahaya kabila gani linaongoza kumiliki mashule,hospital ,makampuni mbalimbali na vyuo,ukimaliza nipe mlejesho.Unasema wakoloni walileta Kilimanjaro elimu mapema hata historia ujui!Ujui mkoloni kati ya Kilimanjaro ,Mikoa ya Kusini na Kagera wapi alianzia! Mnaongoza kuwa na Mashule mengi lakin ni sawa na usemi usemao penye miti hapana wajenzi maana watoto wenu badala ya kwenda shule wanakimbilia stand kutembeza maji wakat Mhaya yuko tayar auze shamba lakini mtoto aende shule.
1_hakuna idara utakosa mchaga idara zote tena nyeti
2_uchagan maendeleo n kama ulaya lami kila kona majumba ya kifahari karibu kila Maya
3_kule watu wanasoma ndio maana mkoa upo juu kielimu
4_mhaya kumfikia mchaga labda miaka 40 ijayo
5_kagera imechakaa haswa n mkoa wa tatu kwa umaskin na watu w kagera wanaishi vijumba vya hovyo vya nyasi sasa usomi wenu uchwara faida yak nn?
6_Kilimanjaro n mkoa wa pili kwa makaz bora na maisha bora kule n kawaida mbuz kulala nyumba za block
7_kagera pale bukoba mjin tu panaonyesha jins mlivyo washamba na maskini
8_kibiashara wala sijisumbui kubishana na we mchaga kama sio msomi n mfanyabiashara ma biashara makubwa makubwa na ndgondgo mangi katawala
makampun makubwa yanamilikw nao mfano precision air,IPP ,cocacola,
mbwembwe zenu bure tu kagera n maskin wa kutupwa
 
Yaani Bukoba wako vizuri kuliko wakaz wa Jiji la Dodoma [emoji2][emoji2][emoji2]
Si kweli. Kama tulivyoambiwa hapo juu, wakazi wa Mkoa wa Kagera hupendelea kujiita wakazi wa Bukoba. Lakini Bukoba ni Manispaa tu na hivyo si sawa kulinganisha wakazi wa Jiji la Dodoma na wale wa Manispaa ya Bukoba. Ulichotaka kusema ni kwamba wakazi wa Mkoa wa Kagera hasa vijijini, wapo vizuri kuliko wale wa vijijini katika Mkoa wa Dodoma.
 
utafiti hupingwa kwa utafiti mkuu
kagera nimefka utafti unasadifu uhalisia kule ngara,misenyi,karagwe kuna nn?
vijumba vya nyas shax
angalau muleba kidgo wamejenga bkb vijijn n baadh tu kwingi n makazi duni na miunfombnu hovyo
pale bukb mjin panawachora n jins gan mlivyo,manispaa INA stand yw hovyo vile
manispaa haina daladala cjawwh ona
Jamaa mbona mgumu kuelewa umeambiwa stand inajengwa, Daladala zipo mbna mgumu kuelewa wewe,,,,,,, inabidi tukuchunguze unapotaja maeneo kama ya karagwe eti kubovu Hivi Umefika omurushaka wewe???, kayanga je???, kiyanga???, jamaa angu ngoja nikwambie ni Hivi toka dar mpaka mutukula Kagera hakuna vumbi ni lami tupu, toka Bk mjini nenda karagwe ni lami tupu,,, unataka nini tena ama nikufungue Kingine????, wilaya ya kwanza Tanzania kuwaka umeme ilikuwa Kagera ikiitwa wilaya ya kanyigo (a.k.a ulaya ndogo) Hivi Sasa iko misenyi,,,, tuacheni Na Kagera yetu Jamani
 
Kuhusu uvivu nakubaliana na wewe 100% aisee hawa watu wavivu jamani ukioa muhaya jipange, unakuta mtu hana kazi na hafanyi kazi.
Uvivu kivipi????, kama ulidhani utamkuta muhaya anapiga Kazi Za nguvu pole
 
huu ni ujinga uliokataa kukutoka kimakusudi, eti mkoa ww kagera uko nyuma kimaendeleo tuambie basi mkoa wako ulio mbele una maendeleo gani ya kuringia, kagera ndo mkoa wenye majanga mengi kuliko yote tz stll sifa yake haikauki midomoni mwa watu.yes mimi ni mhaya kamili na lazima nitetee cha kwetu.halafu humu jf kuna mapoyoyo kibao badala ya kutoa thread zinazojenga umoja wanatoa zile zinazobomoa. umasikini wa mkoa wowote humu tz ni umasikini wa nchi nzima.
Agiza soda nitalipia,,,,,,,, mapoyoyo mengi mno wahaya tuliwakosea nini watz
 
mbona unataka kupingana na takwimu za kitaifa za hali ya umasikini nchini? KAGERA inashika nafasi ya tatu kwa umasikini Tanzania.
Hao wametumia vigezo gani ilihali huku Moro ukaguruni mwaka 2015-16 njaa imewaacha watu hoi
 
Mkuu, kwanza suala la kujiuza halina uhusiano kabisa na wahaya, hata wewe unaweza kuwa mwizi na usiwe mchaga, ila unaweza kujifanya mhaya ili yako yaende utakavyo, pili ishu ya wahaya kutaja bukoba, hiyo ndo sehemu maarufu kama ilivyo Moshi, Songea, Sumbawanga, hadi leo kuna baadhi ya watu wanaamini Moshi, Songea na Sumbawanga ni mkoa, hivyo mtu akisema anatokea bukoba, muulize zaidi anatokea sehemu gani, as Karagwe, muleba, biha'lo, kyelwa, na zamani chato, ilikuwa inakuwa referred kama bukoba ili kurahisisha utambulisho, kuliko nikisema natokea ngara, utaanza kuuliza iko mkoa gani! Anyway, Bukoba na bukoba vijijini maisha yao na struggle zao ni tafauti sana na hayo maeneo uliyotaja, kula ugali bukoba ni symbol ya umasikini, don't play with haya na kuwalisha vyakula vya mifugo, [HASHTAG]#kidding[/HASHTAG][emoji1] [emoji1]
Waambie bhana,,, muhaya kula Ugari ujue life imetight
 
Kiukwel kwa watu waliowai kujaliwa kufika Bukoba .

Hapa nazungumzia maeneo ya vijijin kama bukoba vijijin yaani watu wa kule wanaishi maisha mazuri sana ukilinganisha na mikoa mingine ...yaani uwez kukuta muhaya anakula ugali na maharage au ananyumba ya nyasi...au analima huku mvua inanyesha.

Lakin ukienda mikoa mingine kwa maeneo ya vijijin kama Singida, Tabora ,Dodoma ,Morogoro , Nk
Isee ni hatar sana watu wanamaisha magumu sana.
Kule Uganda Idi Amini Hakukosea
 
Huyo mtoa takwimu angetoa reasons Za Kagera kuwa masikini may be I could agree but now nothing,,,,,,,,,
ingia web ya wizara ya fedha wameweka vigezo vyote
lkn hata kiuhalisia n kweli tembea ngara karagwe misenyi maisha mabovu mno vijumba vya nyasi hakuna mzngko wa Pesa KBS,bkoba nayo imesinyaa kiuchumi ile stand tu n kielelezo tosha
 
Jamaa mbona mgumu kuelewa umeambiwa stand inajengwa, Daladala zipo mbna mgumu kuelewa wewe,,,,,,, inabidi tukuchunguze unapotaja maeneo kama ya karagwe eti kubovu Hivi Umefika omurushaka wewe???, kayanga je???, kiyanga???, jamaa angu ngoja nikwambie ni Hivi toka dar mpaka mutukula Kagera hakuna vumbi ni lami tupu, toka Bk mjini nenda karagwe ni lami tupu,,, unataka nini tena ama nikufungue Kingine????, wilaya ya kwanza Tanzania kuwaka umeme ilikuwa Kagera ikiitwa wilaya ya kanyigo (a.k.a ulaya ndogo) Hivi Sasa iko misenyi,,,, tuacheni Na Kagera yetu Jamani
unachekesha
kagera n maskin ya kutupa,miundombn n dun mno barabara full vumbi pale mjin bukoba palivyochakaa sasa wilayan kutakuaj
umeme umefka Kilimanjaro kabla ya kagera acha ubsh
 
Uvivu kivipi????, kama ulidhani utamkuta muhaya anapiga Kazi Za nguvu pole
kumbe mnadharau kaz ndio maana mkoa wenu n maskin ukienda Kilimanjaro kaz kaz biashara na elimu ndio maana n mkoa wa pili kwa makaz bora na maisha bora
mhaya anategemea mshahara wa lak 5 anajiona bonge LA mjanja,wakati mchaga akiajiriwa lazma afanye shuguli nyngne ili awe tajir
ndio maana wahaya n maskin kumbe
 
Ni kweli mtoa mada hawa watu wamestaarabika sana na wameendelea pia japo madhaifu ya kimaendeleo , kibinadam nk hayakosi
 
unachekesha
kagera n maskin ya kutupa,miundombn n dun mno barabara full vumbi pale mjin bukoba palivyochakaa sasa wilayan kutakuaj
umeme umefka Kilimanjaro kabla ya kagera acha ubsh
msamehe bure hajielewi huyu, anataka ligi asiyokuwa na uwezo nayo
 
Kwa kifupi, nimeshuhudia threads nyingi sana kuhusu wahaya tangu 2009, nilipoanza kufatilia nyuzi za humu, sijui wahaya waliwafanya nini hasa, wamesoma ndio, they're so educated compared na wengine na ndio maana waliitwa Nshomile miaka ya nyuma, madaktari bingwa wengi, maprofesa wengi, wanasheria nguli wote tanzania, kati ya majina 10, basi 7 ni ya kihaya, majengo na majumba mazuri yote dar, kati ya nyumba 10 basi 8 ni za wahaya, wamiliki wa shule za maana za binafsi tanzania nzima haijalishi mkoa, kati ya shule 10, basi 7 ni za wahaya, wamiliki wa hospitali private kubwa tanzania, kati ya 10 basi 8 ni za wahaya, katika ya raia wa tanzania wanaoishi nje ya nchi especially US, kaangalie list ya majina external affairs utakuta kati ya 100 basi 85 ni majina ya kihaya, fatilia best students katika major universities utakuta majina ya kihaya yanajirudia rudia!! Yes, wanapenda sifa lakini pia wanajua, ndo maana hawaendekezi majungu na umbea kama wazaramo, that's why mnaona wana ringa wanajiskia, ni vile wana elements za kizungu!!! Kubali au kataa you can't underestimate them!!!
Wahaya hawajengi kwao, sawa ndo maana wakajenga kwenu lakini ni nyumba zao, hawajajenga bukoba wamejenga dar, moshi, iringa, morogoro, na mikoa yote tanzania wamejenga, hizo sio nyumba zenu ni zao

Wakisema hawali ugali maana kwao ni chakula cha kimaskini, ni sawa na ndivyo ilivyo kwao, ukila ugali maana yake umeishiwa ndizi, haimaanishi ni kujiskia na kujifia bali sio desturi yao!
Ni kama wajaluo wasivyopenda wali

Mwisho, hakuna nchi yoyote duniani isiyokuwa na maskini wakutupwa, even USA kuna a big number of homeless people ambao hawajui kesho wanaamkaje, Australia kuna hadi wanaopikia kuni in 21century, ukija ASIA, cambodia, vietnam, laos, indonesia, Timor leste kote huko kuna masikini wakutupwa hata nguo kupata ni shida, same to India, lakini mbona wahindi wanajisifia, wanatupelekesha, hamuwasemi kwamba nao ni maskini au kwa vile wamewaajili?
Pls give them some break!!!
Hii imemaliza kila kitu,hongera sana kwa coment nzuri,sema wosia wangu kwa wahaya, mnapondwa sana kutokana na sifa nyingi lakini nyumbani kwenu hakuna kitu.
Yan ukilinganisha maisha ya sifa mjini na maisha halisi ni tofauti ndo mana mnaonekana mizinguo, tofauti na watu wa sehemu zingine tz
 
Huijui bukoba wewe, naona una mchumba wa kihaya unajaribu kuchunguza mazingira ya kwao kiujanja, na ule ugonjwa wa mnyauko ndio umewanyausha mpaka wao, nyumba za nyasi ni kawaida ungeuliza nyuimba za bati huko vijijini ndio ajabu..
 
Halafu kitu kingine wahaya ninachowashangaa wanapenda sana kusema wanatokea bukoba badala ya kusema wanatokea kagera sijui kwanini hawapendi kulitaja hili neno kagera wao wanang'ang'ania sisi kwetu bukoba.

Kitu kibaya zaidi ukiwambia wakupeleke kwao bukoba unashangaa wengi wanashukia muleba wanaingia vijijini uko mpka unafika bukoba mjini mnajikuta waliobakia wengi ni wamanyema watu tokea congo ndio wenye bukoba yao ila cha kushangaza wahaya walivyo wa ajabu hawezi kukuambia anatokea muleba yeye atakwambia kwao ni bukoba na wanasema hivyo kwa sababu muleba hakuna maendeleooooooo
Dah umewapiga rungu la jicho mkuu.
 
Halafu kitu kingine wahaya ninachowashangaa wanapenda sana kusema wanatokea bukoba badala ya kusema wanatokea kagera sijui kwanini hawapendi kulitaja hili neno kagera wao wanang'ang'ania sisi kwetu bukoba.

Kitu kibaya zaidi ukiwambia wakupeleke kwao bukoba unashangaa wengi wanashukia muleba wanaingia vijijini uko mpka unafika bukoba mjini mnajikuta waliobakia wengi ni wamanyema watu tokea congo ndio wenye bukoba yao ila cha kushangaza wahaya walivyo wa ajabu hawezi kukuambia anatokea muleba yeye atakwambia kwao ni bukoba na wanasema hivyo kwa sababu muleba hakuna maendeleooooooo
Wahaya wana penda sifa balaa.
 
Back
Top Bottom