luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
MBNA unahama mada nipo bukoba sijazngmzia ubungoStand ya ubungo dar es salaam umeiona inavyofanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MBNA unahama mada nipo bukoba sijazngmzia ubungoStand ya ubungo dar es salaam umeiona inavyofanana
MBNA unahama mada nipo bukoba sijazngmzia ubungoStand ya ubungo dar es salaam umeiona inavyofanana
1_hakuna idara utakosa mchaga idara zote tena nyetiUyu kweli kalewa matango poli yan umlinganishe mchaga kielimu na Muhaya!Hata wajaruo na Wanyakyusa bado wamewazid kumbe unadhan kuwa na mashule mengi ndo kuwa msomi hata ukifanya research ya wasomi walioko maofsin na wenye kuongoza idarambalimbali kweli mtafikia hata nusu ya Wahaya! Kidogo ungesema mnaongoza kwa biashara na biashara mnayoongoza ni ya kutumia miguvu na kutoa ndugu zenu kafara,lakin ukija kwenye biashara kubwa kubwa na ya kutumia akili bado hamjawafikia Wahaya fanya utafti kati ya Wachaga na Wahaya kabila gani linaongoza kumiliki mashule,hospital ,makampuni mbalimbali na vyuo,ukimaliza nipe mlejesho.Unasema wakoloni walileta Kilimanjaro elimu mapema hata historia ujui!Ujui mkoloni kati ya Kilimanjaro ,Mikoa ya Kusini na Kagera wapi alianzia! Mnaongoza kuwa na Mashule mengi lakin ni sawa na usemi usemao penye miti hapana wajenzi maana watoto wenu badala ya kwenda shule wanakimbilia stand kutembeza maji wakat Mhaya yuko tayar auze shamba lakini mtoto aende shule.
Si kweli. Kama tulivyoambiwa hapo juu, wakazi wa Mkoa wa Kagera hupendelea kujiita wakazi wa Bukoba. Lakini Bukoba ni Manispaa tu na hivyo si sawa kulinganisha wakazi wa Jiji la Dodoma na wale wa Manispaa ya Bukoba. Ulichotaka kusema ni kwamba wakazi wa Mkoa wa Kagera hasa vijijini, wapo vizuri kuliko wale wa vijijini katika Mkoa wa Dodoma.Yaani Bukoba wako vizuri kuliko wakaz wa Jiji la Dodoma [emoji2][emoji2][emoji2]
Jamaa mbona mgumu kuelewa umeambiwa stand inajengwa, Daladala zipo mbna mgumu kuelewa wewe,,,,,,, inabidi tukuchunguze unapotaja maeneo kama ya karagwe eti kubovu Hivi Umefika omurushaka wewe???, kayanga je???, kiyanga???, jamaa angu ngoja nikwambie ni Hivi toka dar mpaka mutukula Kagera hakuna vumbi ni lami tupu, toka Bk mjini nenda karagwe ni lami tupu,,, unataka nini tena ama nikufungue Kingine????, wilaya ya kwanza Tanzania kuwaka umeme ilikuwa Kagera ikiitwa wilaya ya kanyigo (a.k.a ulaya ndogo) Hivi Sasa iko misenyi,,,, tuacheni Na Kagera yetu Jamaniutafiti hupingwa kwa utafiti mkuu
kagera nimefka utafti unasadifu uhalisia kule ngara,misenyi,karagwe kuna nn?
vijumba vya nyas shax
angalau muleba kidgo wamejenga bkb vijijn n baadh tu kwingi n makazi duni na miunfombnu hovyo
pale bukb mjin panawachora n jins gan mlivyo,manispaa INA stand yw hovyo vile
manispaa haina daladala cjawwh ona
Uvivu kivipi????, kama ulidhani utamkuta muhaya anapiga Kazi Za nguvu poleKuhusu uvivu nakubaliana na wewe 100% aisee hawa watu wavivu jamani ukioa muhaya jipange, unakuta mtu hana kazi na hafanyi kazi.
Agiza soda nitalipia,,,,,,,, mapoyoyo mengi mno wahaya tuliwakosea nini watzhuu ni ujinga uliokataa kukutoka kimakusudi, eti mkoa ww kagera uko nyuma kimaendeleo tuambie basi mkoa wako ulio mbele una maendeleo gani ya kuringia, kagera ndo mkoa wenye majanga mengi kuliko yote tz stll sifa yake haikauki midomoni mwa watu.yes mimi ni mhaya kamili na lazima nitetee cha kwetu.halafu humu jf kuna mapoyoyo kibao badala ya kutoa thread zinazojenga umoja wanatoa zile zinazobomoa. umasikini wa mkoa wowote humu tz ni umasikini wa nchi nzima.
Hao wametumia vigezo gani ilihali huku Moro ukaguruni mwaka 2015-16 njaa imewaacha watu hoimbona unataka kupingana na takwimu za kitaifa za hali ya umasikini nchini? KAGERA inashika nafasi ya tatu kwa umasikini Tanzania.
Waambie bhana,,, muhaya kula Ugari ujue life imetightMkuu, kwanza suala la kujiuza halina uhusiano kabisa na wahaya, hata wewe unaweza kuwa mwizi na usiwe mchaga, ila unaweza kujifanya mhaya ili yako yaende utakavyo, pili ishu ya wahaya kutaja bukoba, hiyo ndo sehemu maarufu kama ilivyo Moshi, Songea, Sumbawanga, hadi leo kuna baadhi ya watu wanaamini Moshi, Songea na Sumbawanga ni mkoa, hivyo mtu akisema anatokea bukoba, muulize zaidi anatokea sehemu gani, as Karagwe, muleba, biha'lo, kyelwa, na zamani chato, ilikuwa inakuwa referred kama bukoba ili kurahisisha utambulisho, kuliko nikisema natokea ngara, utaanza kuuliza iko mkoa gani! Anyway, Bukoba na bukoba vijijini maisha yao na struggle zao ni tafauti sana na hayo maeneo uliyotaja, kula ugali bukoba ni symbol ya umasikini, don't play with haya na kuwalisha vyakula vya mifugo, [HASHTAG]#kidding[/HASHTAG][emoji1] [emoji1]
Kule Uganda Idi Amini HakukoseaKiukwel kwa watu waliowai kujaliwa kufika Bukoba .
Hapa nazungumzia maeneo ya vijijin kama bukoba vijijin yaani watu wa kule wanaishi maisha mazuri sana ukilinganisha na mikoa mingine ...yaani uwez kukuta muhaya anakula ugali na maharage au ananyumba ya nyasi...au analima huku mvua inanyesha.
Lakin ukienda mikoa mingine kwa maeneo ya vijijin kama Singida, Tabora ,Dodoma ,Morogoro , Nk
Isee ni hatar sana watu wanamaisha magumu sana.
Huyo mtoa takwimu angetoa reasons Za Kagera kuwa masikini may be I could agree but now nothing,,,,,,,,,mkoa wa 3 kwa umaskin tz n kagera
ingia web ya wizara ya fedha wameweka vigezo vyoteHuyo mtoa takwimu angetoa reasons Za Kagera kuwa masikini may be I could agree but now nothing,,,,,,,,,
unachekeshaJamaa mbona mgumu kuelewa umeambiwa stand inajengwa, Daladala zipo mbna mgumu kuelewa wewe,,,,,,, inabidi tukuchunguze unapotaja maeneo kama ya karagwe eti kubovu Hivi Umefika omurushaka wewe???, kayanga je???, kiyanga???, jamaa angu ngoja nikwambie ni Hivi toka dar mpaka mutukula Kagera hakuna vumbi ni lami tupu, toka Bk mjini nenda karagwe ni lami tupu,,, unataka nini tena ama nikufungue Kingine????, wilaya ya kwanza Tanzania kuwaka umeme ilikuwa Kagera ikiitwa wilaya ya kanyigo (a.k.a ulaya ndogo) Hivi Sasa iko misenyi,,,, tuacheni Na Kagera yetu Jamani
kumbe mnadharau kaz ndio maana mkoa wenu n maskin ukienda Kilimanjaro kaz kaz biashara na elimu ndio maana n mkoa wa pili kwa makaz bora na maisha boraUvivu kivipi????, kama ulidhani utamkuta muhaya anapiga Kazi Za nguvu pole
msamehe bure hajielewi huyu, anataka ligi asiyokuwa na uwezo nayounachekesha
kagera n maskin ya kutupa,miundombn n dun mno barabara full vumbi pale mjin bukoba palivyochakaa sasa wilayan kutakuaj
umeme umefka Kilimanjaro kabla ya kagera acha ubsh
Hii imemaliza kila kitu,hongera sana kwa coment nzuri,sema wosia wangu kwa wahaya, mnapondwa sana kutokana na sifa nyingi lakini nyumbani kwenu hakuna kitu.Kwa kifupi, nimeshuhudia threads nyingi sana kuhusu wahaya tangu 2009, nilipoanza kufatilia nyuzi za humu, sijui wahaya waliwafanya nini hasa, wamesoma ndio, they're so educated compared na wengine na ndio maana waliitwa Nshomile miaka ya nyuma, madaktari bingwa wengi, maprofesa wengi, wanasheria nguli wote tanzania, kati ya majina 10, basi 7 ni ya kihaya, majengo na majumba mazuri yote dar, kati ya nyumba 10 basi 8 ni za wahaya, wamiliki wa shule za maana za binafsi tanzania nzima haijalishi mkoa, kati ya shule 10, basi 7 ni za wahaya, wamiliki wa hospitali private kubwa tanzania, kati ya 10 basi 8 ni za wahaya, katika ya raia wa tanzania wanaoishi nje ya nchi especially US, kaangalie list ya majina external affairs utakuta kati ya 100 basi 85 ni majina ya kihaya, fatilia best students katika major universities utakuta majina ya kihaya yanajirudia rudia!! Yes, wanapenda sifa lakini pia wanajua, ndo maana hawaendekezi majungu na umbea kama wazaramo, that's why mnaona wana ringa wanajiskia, ni vile wana elements za kizungu!!! Kubali au kataa you can't underestimate them!!!
Wahaya hawajengi kwao, sawa ndo maana wakajenga kwenu lakini ni nyumba zao, hawajajenga bukoba wamejenga dar, moshi, iringa, morogoro, na mikoa yote tanzania wamejenga, hizo sio nyumba zenu ni zao
Wakisema hawali ugali maana kwao ni chakula cha kimaskini, ni sawa na ndivyo ilivyo kwao, ukila ugali maana yake umeishiwa ndizi, haimaanishi ni kujiskia na kujifia bali sio desturi yao!
Ni kama wajaluo wasivyopenda wali
Mwisho, hakuna nchi yoyote duniani isiyokuwa na maskini wakutupwa, even USA kuna a big number of homeless people ambao hawajui kesho wanaamkaje, Australia kuna hadi wanaopikia kuni in 21century, ukija ASIA, cambodia, vietnam, laos, indonesia, Timor leste kote huko kuna masikini wakutupwa hata nguo kupata ni shida, same to India, lakini mbona wahindi wanajisifia, wanatupelekesha, hamuwasemi kwamba nao ni maskini au kwa vile wamewaajili?
Pls give them some break!!!
Dah umewapiga rungu la jicho mkuu.Halafu kitu kingine wahaya ninachowashangaa wanapenda sana kusema wanatokea bukoba badala ya kusema wanatokea kagera sijui kwanini hawapendi kulitaja hili neno kagera wao wanang'ang'ania sisi kwetu bukoba.
Kitu kibaya zaidi ukiwambia wakupeleke kwao bukoba unashangaa wengi wanashukia muleba wanaingia vijijini uko mpka unafika bukoba mjini mnajikuta waliobakia wengi ni wamanyema watu tokea congo ndio wenye bukoba yao ila cha kushangaza wahaya walivyo wa ajabu hawezi kukuambia anatokea muleba yeye atakwambia kwao ni bukoba na wanasema hivyo kwa sababu muleba hakuna maendeleooooooo
Wahaya wana penda sifa balaa.Halafu kitu kingine wahaya ninachowashangaa wanapenda sana kusema wanatokea bukoba badala ya kusema wanatokea kagera sijui kwanini hawapendi kulitaja hili neno kagera wao wanang'ang'ania sisi kwetu bukoba.
Kitu kibaya zaidi ukiwambia wakupeleke kwao bukoba unashangaa wengi wanashukia muleba wanaingia vijijini uko mpka unafika bukoba mjini mnajikuta waliobakia wengi ni wamanyema watu tokea congo ndio wenye bukoba yao ila cha kushangaza wahaya walivyo wa ajabu hawezi kukuambia anatokea muleba yeye atakwambia kwao ni bukoba na wanasema hivyo kwa sababu muleba hakuna maendeleooooooo