Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hata hawasemi wanatokea Bukoba, utasikia naenda zangu BKHalafu kitu kingine wahaya ninachowashangaa wanapenda sana kusema wanatokea bukoba badala ya kusema wanatokea kagera sijui kwanini hawapendi kulitaja hili neno kagera wao wanang'ang'ania sisi kwetu bukoba.
Kitu kibaya zaidi ukiwambia wakupeleke kwao bukoba unashangaa wengi wanashukia muleba wanaingia vijijini uko mpka unafika bukoba mjini mnajikuta waliobakia wengi ni wamanyema watu tokea congo ndio wenye bukoba yao ila cha kushangaza wahaya walivyo wa ajabu hawezi kukuambia anatokea muleba yeye atakwambia kwao ni bukoba na wanasema hivyo kwa sababu muleba hakuna maendeleooooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nitarudi kwetu Engaruka.