Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Ifahamu historia ya Wasabato
IFAHAMU HISTORIA YA WASABATO NA AIBU Aibu inayofichwa ndiyo hii ifuatayo: Ni hivi ndugu zanguni, kwa kuiweka bayana historia ya Wasabato, tuambatane katika kuwaelewa watu wanne ambao hutajwa kama watangulizi au waasisi wa dhehebu la Wasabato. Mwishoni nitayapembua waliyofundisha kibiblia na...