Jicho baya
Member
- Feb 23, 2022
- 11
- 14
Sabato ilikuwa kwa ajili ya wana wa israeli ili kikumbuka Mungu alipowatoa Misri, hawa wengine SDA wanamfuata mtume wao elen G white .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bado yuko?Nani anayemfahamu nabii Mwakiswalele?
MamaSamia2025 wewe ni msabato?Karibu
asante sana kwa somoUliyeandika una mlengo mwingine. Wewe siyo msabato.
1.Sabato ilianza Mungu alipomuumba Adam na Eva siyo 1863.
2. Wana wa Israel waliambiwa wataitunza sabato. Unafikiri wakati wanaisrael wanatoka Misri utumwani ilikuwa 1863 kama ulivyoandika?
3. Wasabato siyo waprotestant. Waprotestant ni tawi la Vaticani na lilitokea pale Padri na Askofu Martin Luther alipokataa amri ya papa ndipo alijitenga na ukatoliki.
4. Wasabato hawamwabudu Ellen G. White bali wanatumia vitabu vyake kama reference tu ( ziada) ila kitabu chao( kiada) ni biblia yenye vitabu 66.
5. Wasabato walikuwapo kabla ya ukatoliki. Katoliki imekuja kipindi cha mfalme Constantin aliyetawala Roma enzi zile na kuabudu jua(Sun day).
Upoooo
Na hapo ndipo watu wanachanganya kati ya sabato na SDAHapa tunaongelea SDA sio sabato.
kuna wasabato aina nyingi tofaut na SDAYou no nothing about sabathians. Naona nikuache tu
Yes lina misingi ya kibiblia, Daniel ndo alipewa hayo maono.Vipi kuhusu hili fundisho la kwamba eti kuanzia mwaka 1884 Yesu Aliingia mahali panapoitwa Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) ili kuanza hukumu ya upepelezi (investigative judgement).
Hili fundisho lina misingi ya Kibiblia au zilikuwa ni juhudi za kuwaokoa Millerites na aibu iliyowapata baada ya Yesu kushindwa kurudi mwaka 1884 kama walivyoamini kwenye ile Big Disappointment?
Brother ni fundisho la kibiblia 100%Huwezi kupata kifungu cha kusapoti maana siyo fundisho la Kibiblia. Full stop.
Na kuna msukumo wa kujaribu kuachana na fundisho hilo la msingi ili kuliondoa kanisa kutoka katika kuonwa kama cult fulani iliyofanikiwa sana kama Mashahidi wa Yehova na Wamomoni. Kuachana na kuvitambua vitabu vya Ellen G. White kama mwongozo sahihi wa kanisa na kubakiza Biblia peke yake ilikuwa hatua ya muhimu sana katika kulifanya kanisa kuwa la Kikristo. Likija kuondokana na hili fundisho la uwongo la Investigative Judgement kanisa la Sabato litakuwa limemaliza safari ya kuwa Millerite cult na kuwa kanisa la Kikristo kabisa kabisa.
Nenda mkajibishane kwenye uzi huu:Brother ni fundisho la kibiblia 100%
Kama hujui kitu fulani au hujafatilia vizur, don't conclude things.
Sina huo muda wa kujibishana, maarifa ya kibiblia ni mambo ya kuongea kwa utulivu na sio majibizanoNenda mkajibishane kwenye uzi huu:
Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato
Kumekuwa na mijadala mingi na mawazo mengi yenye kukinzana katika Tanzania kuhusiana na mafundisho ya Kanisa la Waadventista Wasabato. Hivyo niliamua kuchunguza misingi ya imani ya Kanisa hili ili kupata picha kamili ya mafundisho yao. Ilikuwa dhahiri kuwa imani ya Waadventista Wasabato ni dini...www.jamiiforums.com
Sina huo muda wa kujibishana, maarifa ya kibiblia ni mambo ya kuongea kwa utulivu na sio majibizano
We jamaa una kichwa kigumu sana🤣🤣Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato
Kumekuwa na mijadala mingi na mawazo mengi yenye kukinzana katika Tanzania kuhusiana na mafundisho ya Kanisa la Waadventista Wasabato. Hivyo niliamua kuchunguza misingi ya imani ya Kanisa hili ili kupata picha kamili ya mafundisho yao. Ilikuwa dhahiri kuwa imani ya Waadventista Wasabato ni dini...www.jamiiforums.com
We jamaa una kichwa kigumu sana🤣🤣
Hata Roman Catholic halikuwa kanisa la kwanza Bali walibaka kanisa la mitume wa YESU KRISTO na kuingiza mambo ya kipagani ya Roman empire. Fuatilia historia ya ukristo.Kanisa la SDA limeanzishwa 1883 na hiyo ndiyo hoja iliyoko mezani
Dini iliyokuwapo kabla ya Ukatoliki ni Judaism ambao wala hawamuamini Kristo kuwa ni Mwana wa Mungu
Makanisani yote ukiondoa RC ni Wa Protestants labda kama hujui tafsiri sahihi ya hilo neno
Hujasema ,na utasemaaaaaMnakula nguruwe au hamli
Kwa hakika wasabato si wakristo hata kidogo.Mmmh, ni dhehebu la Kikristu kweli?