Historia ya kanisa la Waadventista Wasabato (SDA)

 
Rosh Hashannah Nimeisoma link hiyo iliyoandikwa na Padri. Hata yeye hajui asili ya sabato ya bwana. Ana mihemko tu.

Jua Ellen G. White ni mwandishi wa vitabu mmojawapo kati ya waandishi wengi wa vitabu vinavyotumika kufundishia katika kanisa la wasabato.

Nakuhakikishia hata wewe ukiandika kitabu kinachoendana na mafundisho ya biblia kitatumika na wasabato bila shida.

Padri amechemka kuhusu historia hii.
 
Vipi kuhusu hili fundisho la kwamba eti kuanzia mwaka 1884 Yesu Aliingia mahali panapoitwa Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) ili kuanza hukumu ya upepelezi (investigative judgement).

Hili fundisho lina misingi ya Kibiblia au zilikuwa ni juhudi za kuwaokoa Millerites na aibu iliyowapata baada ya Yesu kushindwa kurudi mwaka 1884 kama walivyoamini kwenye ile Big Disappointment?
 
Biblia ni pana ndio maana nakuambia patakatifu pa patakatifu siwezi kuelezea ila siyo kama ilivyoelezwa hapo juu. Sikumbuki kifungu hicho japo kipo kwenye biblia.

Wajuvi wanaweza elezea zaidi mkuu
 
Biblia ni pana ndio maana nakuambia patakatifu pa patakatifu siwezi kuelezea ila siyo kama ilivyoelezwa hapo juu. Sikumbuki kifungu hicho japo kipo kwenye biblia.

Wajuvi wanaweza elezea zaidi mkuu
Huwezi kupata kifungu cha kusapoti maana siyo fundisho la Kibiblia. Full stop.

Na kuna msukumo wa kujaribu kuachana na fundisho hilo la msingi ili kuliondoa kanisa kutoka katika kuonwa kama cult fulani iliyofanikiwa sana kama Mashahidi wa Yehova na Wamomoni. Kuachana na kuvitambua vitabu vya Ellen G. White kama mwongozo sahihi wa kanisa na kubakiza Biblia peke yake ilikuwa hatua ya muhimu sana katika kulifanya kanisa kuwa la Kikristo. Likija kuondokana na hili fundisho la uwongo la Investigative Judgement kanisa la Sabato litakuwa limemaliza safari ya kuwa Millerite cult na kuwa kanisa la Kikristo kabisa kabisa.
 
Point
 
na wale wasabato wa masalia mantuweka wapi?
 
Hii makala inahusu SDA. Wewe waweza anzisha uzi ukaelezea hilo pia.
Mkuu naona una hoja nzuri, pia mleta mada jitahidi kujibu hoja kinzani kwa kadri ya uelewa wako, hii inatusaidia sisi ambao ni wachanga kwenye imani hii ya Sabato kuweza kujifunza zaidi. Ningependa huu uzi upate wachangiaji wengi sana mwisho kabisa nikili mimi ni msabato na nina amani sana kuwa msabato
 
kwamba Yesu Kristo atarudi Duniani kati ya chemchemi ya 1843 na chemchemi ya 1844. Katika msimu wa joto wa 1844, Millerites waliamini kwamba Yesu angerejea Oktoba 22, 1844,
Mngejua ya kwamba hakuna time kwenye ulimwengu wasingejisumbua kutabiri.
 

Kanisa la SDA limeanzishwa 1883 na hiyo ndiyo hoja iliyoko mezani

Dini iliyokuwapo kabla ya Ukatoliki ni Judaism ambao wala hawamuamini Kristo kuwa ni Mwana wa Mungu

Makanisani yote ukiondoa RC ni Wa Protestants labda kama hujui tafsiri sahihi ya hilo neno
 
kare ka yesu kazungu ka Roma??...kalikuwa karemboooooo!
 
Kuna wahifidhina na tanganyika wasabato wenye misimamo mikali wasiotumia vitu vya viwandani
 
Yaaa sahihi kabisa
 
Linazungumziwa Kanisa la SDA lilianza 1863
 
Sabato imeonekana kitabu cha mwanzo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…