Historia ya kisiwa cha Mafia

SAMAZ

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
16
Reaction score
11
LOCATION:-
Mafia ni kisiwa kilichopo ndani ya bahari ya hindi,kina jumla wakazi 46,000 kwa sensa ya 2012.Kinapatikana katika mkoa wa pwani.
Kutoka jijini Dar es salaam, kuna njia tatu kuu
1.Usafiri wa majahazi (kisiju)
2.Usafiri wa boti (nyamisati)
3.Usafiri wa ndege (JNIA)


WAKAZI WAKE
Wengi wa Wakazi wa kisiwa cha MAFIA ni watu kutoka nje ya kisiwa hicho, watu kutoka rufiji ndo watu wakwanzakwanza kufika kisiwan mafia,

UCHUMI
Uchumi wa watu wa Mafia unategemea sana UVUNAJI WA NAZI, pamoja na UVUVI katika bahari ya hindi

*******Karibuni sana kisiwani mafia******
 
Kabila maalufu la huko ni lipi
 
Kuna mtu ametokea kijiji cha chole nilivyomuuliza kabila lake akasema hana kabila. Je, ni kwel?
 
Kuna mtu ametokea kijiji cha chole nilivyomuuliza kabila lake akasema hana kabila. Je, ni kwel?
Ni kweli wakazi wengi wa mafia hawaelewi kabila halisi lao, asili kabisa ya ni watu kutoa COMORO, watu kutoka lamu na pia washirazi
 
Kabila maalufu la huko ni lipi
Ni wagunya ndo maaruf, ila pia kuna wandengereko, wamwela, wamatumbi,wamakonde..na sasa kuna ongezeko kubwa la wasukuma na wanyamwez pia waha
 
Nitarudi tena Ibiza na ile gesti inayomilikiwa na mbunge. ...mmmh gesti ile!!!kweli tembea uone
 
Ni kweli wakazi wengi wa mafia hawaelewi kabila halisi lao, asili kabisa ya ni watu kutoa COMORO, watu kutoka lamu na pia washirazi
Kwa hyo hawana lugha ya asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…